wameamua nini bila goli?
Wameamua kukaza wagawane izo point
wameamua nini bila goli?
Mkuu unaonaje hii ya leo
Leo ngoma ilikua pouwa tu tumewakosa sn hawa
cute b kwenu siwezi kuja kwasababu mko ktk msiba mkubwa....
Twende bhana .....wafiwa si wanahitaji faraja?
Man u wazee wa kuposesi leo wamepata possession ngap?
Nimekuja tu kuwapa hongera na kuwatakia sherehe njema za ubingwa.
Msimu ujao najua litarudi OT.
Keep Dreaming...ombeni Mou aondoke labda!!!
Je unajipa raha menyewe? lolHahahahahah mini mmoja wa hao wanaume as u know chelseanation hahhhhhahhaa twende emirates uone mambo @KTBFFH