Arsenal amecheza vizuri kipindi cha kwanza.sijuwi kama mourinho atafanya mabadiliko second half.hali si shwari angalau kupiga hat trick moja au mbili hivi ili kushinda hii game.kila la heri blues.
Man u karibuni jukwaani mtushangilie dhidi ya washika gobole.
Hahahahahah mini mmoja wa hao wanaume as u know chelseanation hahhhhhahhaa twende emirates uone mambo @KTBFFH
Utakubali tu kua siku yenu ile ilikua mbinu
wameamua nini bila goli?Leo arsenal wameamuaa leoo