Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mnapanga kikosi kizima utafikili mnakwenda vitani, wapeni chance na watoto kina Bolin wacheze.

wasi wasi and lack of confidence

...heri mseme nyie, kina ANELKA, JT, BALACK, MALOUDA, against PRESTON wapi na wapi bana? yaani wakikaa kwenye team zao za taifa kweli wanajigamba "siku ile tulocheza na Preston,...!" what a shame!
 
Kwanini wasijifunze hata kwa Arsenal kila mechi ina wachezaji wake wa kiwango chake, am sure Wenger hapa angeweka kikosi B
 
Watu wengine bwana!...arghhh!!!...Kisha tungefungwa si mngeleta maneno
tu? Yaani vyovyote vile Chelsea itakavyofanya mtakuja na vijineno tu.
Tuwafanzeni sasa?
 
Chelsick sasa wameporomoka na kushika nafasi ya tatu.
 
Yeah man...but at the end of the season, NOTHING!

Endeleeni hivyo hivyo!
 
Mnapanga kikosi kizima utafikili mnakwenda vitani, wapeni chance na watoto kina Bolin wacheze.

wasi wasi and lack of confidence

...heri mseme nyie, kina ANELKA, JT, BALACK, MALOUDA, against PRESTON wapi na wapi bana? yaani wakikaa kwenye team zao za taifa kweli wanajigamba "siku ile tulocheza na Preston,...!" what a shame!

Kwanini wasijifunze hata kwa Arsenal kila mechi ina wachezaji wake wa kiwango chake, am sure Wenger hapa angeweka kikosi B
That's why you're trophyless for 5 years! Sorry mates, we can't copy the failed system of Mr. Wenger!
 
Watu wengine bwana!...arghhh!!!...Kisha tungefungwa si mngeleta maneno
tu? Yaani vyovyote vile Chelsea itakavyofanya mtakuja na vijineno tu.
Tuwafanzeni sasa?

...ahh haa haaahaa...heri wewe umesema ukweli!

You know nothing, Chelsea hakuna mchezaji anaitwa Bolin, kuna Borini,....Fabio Borini

...msg delivered ndio maana nawewe ume recall mnaye mchezaji 'Bored' πŸ˜€

Chelsick sasa wameporomoka na kushika nafasi ya tatu.

...nami 'nasikitika' kweli bana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..., kila mwaka wao kuporomoka tu. angekuwapo Mourinho kidoogo hadithi ingekuwa nyingine...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…