Hahahaha mazoezi nafanya mwenzio na ukiniona hutaamin lol
The professional PFA Player and young player yupo kamili gado kuwaonyesha yeye ni mkali kuliko Courtious........
Safiiii... Ukinifunga nakupa zawadi nyingne, tena ya mazoezi... Tunapiga mbio mpaka msataaaa.
Courtois ni habari nyingne.. Hawezi fanana na huyo beki bora.. 😀😀
Hahahaha !!! Sawa.....
Achana DDG hiyo ni habari nyingine ulimwengu inamjuaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Aaaah wapi... Kama anataka akubalike... Leo ndo siku yake.. Hivi unazani kumuweka Cech benchi ni kazi ndogo!??
PC akija Utd.. Anakua namba1 mama.
Hapo nitakukatalia mpaka mwisho Cou ni bora lakini DDG ni bora zaidi..........
Hapo nitakukatalia mpaka mwisho Cou ni bora lakini DDG ni bora zaidi..........
Mi kubeba ndoo ndio swala kubwa Zaidi....
Haya mama.. Umegomaaa
Kwani nimekukatalia ndoo haubebi??? Ndoo unabeba lakini kwa machozi nitakuwa siku hiyo pembeni yenu ndani ya Blue jezi na Champagne yangu nikiwapongeza.......
Mi Leo nimeivaa kweli kweli
Hahahaha!! Angalia badaye usiichane lol......
Hahaha!! Nimelala salama bana na nikapata maono kwamba tumewachapa 2-1.
Ha ha ha ha ha, haya sio maono Bali nahisi mawazo ndo umewaza mpaka Ukiwa unalala, basi na ukaota hivyo hivyo......usiwaze sana hata nikikufunga sio mengi ni kidogo tu. Si unajua sio vizuri dent kumwaibisha mwalimu ila kuonyesha Kwamba anajua ni muhimu.
Hahahaha!! Sikio halizidi kichwa ndugu yangu.......
Visingizio alivyovianza kocha wa man u mmeshaanza kuvipigia chapuo tulieni tu kichapo hakiepukiki! Kwani man u ndio timu pekee iliyopata majeruhi msimu huu?Carrick,Blind,Jones....hapo tayari hatuna holding midfielder
Hatimaye haya maneno kabla ya mechi umeyatolea maana.....sasa ngoja utaona everything has it's first time, na leo yatakuwa masikio ya sungura haya.