Hahahaa tunaanzia kwenu kwanza alafu tunakuja kwetu hapo badae...lkn kusema ule ukweli huu mchezo na Hull City utakua mgumu sn lkn ili tujiweke ktk mazingira ya kuchukua ubingwa lazima tushinde huu mchezo wa leo ili kuepuka msongamano wa ukaribu wa points km nyie lol....
Niwatakie kila la heri ktk mchezo wenu...
Mi nashaangaa sana kwanini mpaka sana bado watu wanaizungumzia chelsea wanaacha habar current kama kutupwa nje kwa man city na asernal?...kweli chelsea ni team kubwa sana uingereza.
Huwezi kuuza maneno bila kutaja chelsea au mourinho aisee
Chelsea isipochukua kombe la epl msimu huu ntachukua maamuzi magumu