Nonda katika Ubora wake..Angalia mwanzoni kabisa mwa video uliyoiweka.
Barnes won the ball but caught Matic high up on his shin with studs showing.
link BBC Sport - Ashley Barnes: FA take no action over Nemanja Matic challenge
Haionekani kuwa Barnes alikwenda na nia ya kuumiza, iangalie kutoka angles tofauti. Angalia replay 0:08 vizuri.
Meanwhile yesterday-22/02/2015-was Ivanovic's birthday!!!
Wakuu lets concentrate kwenye kabumbu haya matusi hayastahili kabisa kwenye majukwaa ya michezo Invisible muwe mnatembelea na huku
Kalou angalia dakika 0:08 ya video uliyoileta. Umeingalia?Nonda katika Ubora wake..
Kalou hili la matatizo ya akili umelidhihirisha wewe kwa jinsi ulivyoporomosha matusi katika hii thread. Duu! Matusi kama mvua za masika.We jamaa una matatizo ya akili......sio bure.
Angalia mwanzoni kabisa mwa video uliyoiweka.
Barnes won the ball but caught Matic high up on his shin with studs showing.
link BBC Sport - Ashley Barnes: FA take no action over Nemanja Matic challenge
Haionekani kuwa Barnes alikwenda na nia ya kuumiza, iangalie kutoka angles tofauti. Angalia replay 0:08 vizuri.
Hivi nonda ulishawah kucheza mpira Wa miguu? Swali hili ni kwa nia njema tu, alichokifanya Barnes ni ile unapiga mpira halafu mguu huo huo unautua kwa nguvu kweny mguu Wa mpinzan wako hapo unakuwa umeuvunja kabisa,
Mwangalie barn aliamka kaanza kutembea na kugeuka kumwangalia matic pale chin dhamira n kutaka kujua ule mguu n vp, kilicho mwokoa matic mguu wake wakati unakitwa aliulegeza kama angekuwa kaukaza habar angeipata mkumbuke Eduardo Wa arsenal alivunjika kwa stail tofaut kdogo sana na hiyo ya matic .
Nonda km hujui mbinu hiz uwanjan ukikaa kimya sio mbaya sana kumbuka essien akiwa Chelsea alifungiwa mechi tatu na fine za kumwaga kwa kuingiza mguu kwa stail za barn kwa mech tofaut tofaut
Chukua mfano km mati ndo angekuwa amecheza vile refa asinge mkawiza. There is something wrong btn Chelsea and FA or mou and FA. Ila tunyamaze maisha yaende.
Angalia mwanzoni kabisa mwa video uliyoiweka.
Barnes won the ball but caught Matic high up on his shin with studs showing.
link BBC Sport - Ashley Barnes: FA take no action over Nemanja Matic challenge
Haionekani kuwa Barnes alikwenda na nia ya kuumiza, iangalie kutoka angles tofauti. Angalia replay 0:08 vizuri.
Angalia video dalika 0:08...halafu ndio maisha yaendelee.
Wewe umechezea timu ipi? Au unacheza mpira kwa mdomo tu?
Mnalalamika kwa sababu mnajua ubingwa ndio unapotea kama msimu uliopita.
Tulieni tu sindano iwaingie vizuri. Tulimwambieni domo la Mou litai-cost Chelsea sana. Mlitubeza,Mnatubeza, mnaatutukana.
Mmebebwa sana mwanzoni mwa msimu na hamkuwa mkilalalmika sana, sasa mnaona timu zingine zinamsogeleeni kuwapiku mnalilia huruma ya waamuzi. Mnajifanya victim.
Sasa msatahamili machungu mambo yakiwa hayaendi kama mlivyotarajia, mjitayarishe kwa msimu ujao na mpunguze majisifu na kuwadharau wingine.

Kalou hili la matatizo ya akili umelidhihirisha wewe kwa jinsi ulivyoporomosha matusi katika hii thread. Duu! Matusi kama mvua za masika.
Namshaurini wewe na Wacha1 m-delete wenyewe zile post ambazo mliamua kuudhi watembelea wa jukwaa hili. Ni ushauri tu.
Kuna na jamaa nae alianza kutaja mambo ya "mama za watu." Hivi ni ushabiki wa aina gani huu?
Link https://www.jamiiforums.com/sports/20023-the-chelsea-fc-thread-1127.html#post11969863
Angalia video dalika 0:08...halafu ndio maisha yaendelee.
Wewe umechezea timu ipi? Au unacheza mpira kwa mdomo tu?
Mnalalamika kwa sababu mnajua ubingwa ndio unapotea kama msimu uliopita.
Tulieni tu sindano iwaingie vizuri. Tulimwambieni domo la Mou litai-cost Chelsea sana. Mlitubeza,Mnatubeza, mnaatutukana.
Mmebebwa sana mwanzoni mwa msimu na hamkuwa mkilalalmika sana, sasa mnaona timu zingine zinamsogeleeni kuwapiku mnalilia huruma ya waamuzi. Mnajifanya victim.
Sasa msatahamili machungu mambo yakiwa hayaendi kama mlivyotarajia, mjitayarishe kwa msimu ujao na mpunguze majisifu na kuwadharau wingine.
The say kwa nini hutaki kuangalia hiyo video 0:08.?Ha ha ha he was trying to make tackling, aisee nonda wewe kama takoling zingekuwa hivyo wachezaji wangekuwa na miguu ya bandia
Chelsea are not appealing on the grounds of wrongful dismissal. Wanatafuta huruma tu ili Matic apunguziwe adhabu.Mourinho scoffed at the idea of Chelsea appealing against Matic's dismissal. "Have you ever seen Chelsea win an appeal?"
Nafahamu umeongea kimafumbo lkn hiyo haina shida umefikisha ujumbe kwamba wewe una akili ila hao ndio wenye matatizo ya akili....lkn na wewe pia uache kupost utumbo hapa. Sijui siku chelsea ikichukua ubingwa utakuja kufuta post zako utumbo hapa km Mou alivowaambia FA waiombe msamaha chelsea kwa kumfungia Costa na kumuacha huyo jamaa alietaka kumvunja mguu Matic?
Bado unazungumza kiushabiki ndugu. Replay ya video 0:08 inakupa back ground ya tukio. Baada ya kuiangalia rudi kama utakuwa na msimamo wako kuwa Barnes alikusudia kumkwaa(kumpiga daluga) Matic na kumvunja mguu.Umekomaa na 0:08 video yako ndo inaanzia hapo? Kwa nn tusianzie 0:01 had mwisho vp km angekuwa amecheza mati kwa maon yako ingekuwa n faulu au takoling jibu kiuanamichezo sio kishabiki.
Umekomaa na 0:08 video yako ndo inaanzia hapo? Kwa nn tusianzie 0:01 had mwisho vp km angekuwa amecheza mati kwa maon yako ingekuwa n faulu au takoling jibu kiuanamichezo sio kishabiki.
The say kwa nini hutaki kuangalia hiyo video 0:08.?
Ukiangalia utaona Matic ndio alimfata jamaa na si kinyume chake.
Sina uhakika kama hata umesoma na kuelewa maelezo aliyotoa huyo EX-Liverpool.
Not a foul. Matic ndio alimfata jamaa, jamaa alikuwa na mpira na wakati anapiga mpira Matic alijileta full force wakati jamaa yuko katika move ile ya kuondoa mpira. Ndio sababu mwamuzi hakutoa adhabu, sio kwa sababu hakuona. Wachezaji wa Chesea wangemzonga mwamuzi kama kawaida yao basi Barnes angepewa yellow. Lakini kama umeangalia basi hivyo ndivyo ilivyokuwa.Nimeiona Mara nying sana hapo unapoongelea camera zinaonesha kwa nyuma tukio zuri ukiwaona kwa mbele angalia wakati mguu unakitwa uso Wa Barnes ulikuwa unaangalia WAP
Huyo ex livapul anapingwa na Michael Owen kwa hiyo nao wanaelekezana km sisi hapa. I want to hear from you was it foul or not?