Nyie mnaomjibu huyu pinguani na nyie mnaonekana mapunguani vile vile, huyu ni wakupuuzwa tu, ukikimbizana na chizi na wewe utaonekana chizi. Huyu mwacheni abwabwaje akichoka atatulia....mtu anaongea upuuzi kila siku na nyie bado mnahangaika nae!
Huyu ni shabiki anaetanguliza chuki, anasahau michezo ni burudani. Watu kama hawa mara nyingi hawana amani mioyoni mwao, muda wote wana stress! Wanadhani kubwabwaja kutaondoa stress zao, Mara nyingi mwisho wa watu kama hawa ni kujinyonga.
Mpuuzeni, mwacheni akafie mbali.
Nonda katika ubora wakeUmetumia program ipi kui-photoshop hii picha?
Ona picha ingine zilizowekwa baada ya mechi hii zinavyong'ara na kuonekana, bila chenga wala mikwaruzo!!
Jaribu kui-edit tena!!:heh:
Ona hii? Hii picha ya ukweli link https://www.jamiiforums.com/sports/20023-the-chelsea-fc-thread-1113.html#post11901282
Mechi inayofata mnacheza na timu ipi?Nonda katika ubora wake
Mechi inayofata mnacheza na timu ipi?
PSG vs Chelsea
Chelsea vs Burnley
Leicester City vs Chelsea
Chelsea vs Tottenham Hotspur
West Ham United vs Chelsea
Kama mkataba una buyout clause, bado anaweza kusajiliwa na hao wataalamu wa kusajili.
PSG vs Chelsea
Chelsea vs Burnley
Leicester City vs Chelsea
Chelsea vs Tottenham Hotspur
West Ham United vs Chelsea
PSG
Leicester
Totenham
WHU
Kazi ipo kaka,siyo ratiba nzuri hata kidogo
Katika hizo fixtures, naona ziko 2 ambazo tutafika hapa kufanya sherehe na kukualikeni ninyi wenyeji karamu.
Mkae mkao wa kuliwa!
Msimu huu tumefungwa na Spurs na Newcastle ,wakati mwingine ratiba ngumu ndio rahisi na rahisi ndio ngumu
Mhhh PSG tena ugenini?Sidhani
Then, Good luck! Give it a try.PSG msimu uliopita ilikuwa bora zaidi kuliko msimu huu (statistics zinaonyesha) , Chelsea msimu huu ni bora kuliko msimu uliopita (hili haliitaji statistics) ..
Sisemi kama itakuwa mechi rahisi ila msimu huu chelsea ina nafasi kubwa zaidi ya kuitoa PSG kuliko ilivyokuwa msimu uliopita
Then, Good luck! Give it a try.
Yetu ni macho na masikio. Na matokeo yakiiaibisha Chelsea, mtatualika au tutajialika kuja msibani.
Hivi unategemea kushinda? Unafurahisha sana successor!Ha ha ha! Na tukishinda unakaribishwa pia uje tusherehekee pamoja, au sio mzee wa kusiliba
PSG msimu uliopita ilikuwa bora zaidi kuliko msimu huu (statistics zinaonyesha) , Chelsea msimu huu ni bora kuliko msimu uliopita (hili haliitaji statistics) ..
Sisemi kama itakuwa mechi rahisi ila msimu huu chelsea ina nafasi kubwa zaidi ya kuitoa PSG kuliko ilivyokuwa msimu uliopita
Nimewaona leo na Caen 2-2 kwa kweli PSG uozo mtupu!Mnawachapa hawa kiurahisi tu
Leo PSG imeoteza wachezaji wake 4 kikosi cha kwanza kwa majeruhi!Hawa should be ni mboga kwenu!Hongera kwa kuvuka
Jana b4 game na CAEN Blanc alisema amewapumzisha nguli wake 3 ibra, silva na Blaze. So ucwape moyo kwamba ni majeruh.
Nimewaona leo na Caen 2-2 kwa kweli PSG uozo mtupu!Mnawachapa hawa kiurahisi tu
Leo PSG imeoteza wachezaji wake 4 kikosi cha kwanza kwa majeruhi!Hawa should be ni mboga kwenu!Hongera kwa kuvuka