Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vimburukenge vya CHELSICK vinachungulia tu vinaogopa upepo khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yaani katimu kenyewe ni majanga tu ndiko kalikuwa kanadai kupewa EPL november khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. No updates nothing matumbo joto ... ... ..

Utaviona baada ya mechi vinakuja kujibu hii hoja chacha hivi vinagwaya.

Uko wapi? umemuona jongoo.
 
nimechekaje? ngoja wenye timu yetu tuanze uchambuzi taratibu mapka siku ya fainali.

Mjaza server mwenyewe anajijua ,sio wewe..
Sasa hivi atakuwa amekipeleka kitandani, maana kilikuwa kinamuwasha sana
 
_80565683_ivanovic_reuters.jpg

jamaa alipiga kichwa hataree sana, utadhania alipiga kwa mguu kumbe kapiga kichwa. hahahaha! tukutane wembley tukachukue kombe letu.
 
Hongereni sana lkn frankly speaking sasa mkijua mnacheza na Majogoo mtashika adabu yenu na hamta tabiri tena matokeo!

Liverpool wamcheza vizuri sana, kwa kuwa tu ilikuwa mechi mbili nilikuwa na matumaini makubwa kuwa tutapita,
Mou ni mzuri katika kushinda two tie games ,,,
Emre Can saluti kwake..huyu dogo yuko vizuri sana,
RAHEEM kama hataki kusaini mkataba aende tu, atafungua nafasi, for better players ,sio mzuri kama wanavyomsifia.
Zouma huyu dogo naye anastahili sifa zake..
Baloteli is a waste of money,

All in all with a better finisher pale mbele, Liverpool wangepita kwa goli nyingi tu
 
Dakika 120 Darajani tells you that Liverpool anaweza mfunga yyt na popote pale ktk EPL

Mmekaza kwasababu ni mmecheza na chelsea lkn mkikutana timu zingine inakua hovyoooo. We angalia tu Man City kwenye FA kafungwa na timu ndogo tu tena Etihad na yeye ni bingwa mtetezi lkn vyombo vya habri duniani havikuona km hiyo ni habari na kuandika sn Chelsea na nyio wote mmefanya hivo ndio mjue Chelsea nikiboko.

Kipindi cha kwanza mlichza vzr lkn kipindi cha pili na hizo Extra time mmechemka sn.....pole sn mkuu.
 
Mkuu hujajua tu kuifunga Chelsea huwa ni habar, hii thread huwa inajaa sana lkn had sasa naona wapo watatu tu
 
Liverpool wamecheza vizuri sana, kwa kuwa tu ilikuwa mechi mbili nilikuwa na matumaini makubwa kuwa tutapita,
Mou ni mzuri katika kushinda two tie games ,,,
Emre Can saluti kwake..huyu dogo yuko vizuri sana,
RAHEEM kama hataki kusaini mkataba aende tu, atafungua nafasi, for better players ,sio mzuri kama wanavyomsifia.
Zouma huyu dogo naye anastahili sifa zake..
Baloteli is a waste of money,

All in all with a better finisher pale mbele, Liverpool wangepita kwa goli nyingi tu

Nimependa uliyoyaandika.
Mwamuzi alipeta pia fouls nyingi ambazo Chelsea walifanya na hivyo katika statistics inaonekana "Fools" walifanya fouls nyingi.

Mourinho alikuwa analalamika wiki chache zilizopita kuwa makocha na wanahabari wanawapa tumbo joto( pressure) waamuzi ili watoe maamuzi dhidi ya Chelsea. Leo Mourinho alikuwa yuko sooo desperate kiasi ambacho alikuwa analazimisha maamuzi yapendelee Chelsea.
Costa hakustahili kubaki uwanjani kwa zile fouls za kutaka kutengeneza majeruhi(ankle) kwa Liverfools. Fouls zote mbili zinaonekana si bahati mbaya bali alidhamiria kuumiza, hasa ile ya kwanza.

And Chelsea boss Jose Mourinho, who missed Ivanovic's decisive goal as he was in a heated debate with fourth official Phil Dowd, showed how much another trip to Wembley meant to him by celebrating wildly with his staff at the final whistle.
It was a result that helped banish Chelsea's embarrassment of losing 4-2 at home to Leage One Bradford City in the FA Cup fourth round in their previous outing. link BBC Sport - Chelsea 1-0 Liverpool (aet, agg 2-1)

Ntunzu apate nafasi leo ya kutuliza maumivu.
Lakini mjitayarishe kusononeka Mechi yenu na M. City.

Mmekaza kwasababu ni mmecheza na chelsea lkn mkikutana timu zingine inakua hovyoooo. We angalia tu Man City kwenye FA kafungwa na timu ndogo tu tena Etihad na yeye ni bingwa mtetezi lkn vyombo vya habri duniani havikuona km hiyo ni habari na kuandika sn Chelsea na nyio wote mmefanya hivo ndio mjue Chelsea nikiboko.

Kipindi cha kwanza mlichza vzr lkn kipindi cha pili na hizo Extra time mmechemka sn.....pole sn mkuu.

Mkuu tumechemka sana dakika 120 bao 1-0?

Hii ndiyo ilipaswa iwe fainali na Majogoo wameionyesha dunia kama wanajua mpira
 
Nimependa uliyoyaandika.
Mwamuzi alipeta pia fouls nyingi ambazo Chelsea walifanya na hivyo katika statistics inaonekana "Fools" walifanya fouls nyingi.

Mourinho alikuwa analalamika wiki chache zilizopita kuwa makocha na wanahabari wanawapa tumbo joto( pressure) waamuzi ili watoe maamuzi dhidi ya Chelsea. Leo Mourinho alikuwa yuko sooo desperate kiasi ambacho alikuwa analazimisha maamuzi yapendelee Chelsea.
Costa hakustahili kubaki uwanjani kwa zile fouls za kutaka kutengeneza majeruhi(ankle) kwa Liverfools. Fouls zote mbili zinaonekana si bahati mbaya bali alidhamiria kuumiza, hasa ile ya kwanza.

And Chelsea boss Jose Mourinho, who missed Ivanovic's decisive goal as he was in a heated debate with fourth official Phil Dowd, showed how much another trip to Wembley meant to him by celebrating wildly with his staff at the final whistle.
It was a result that helped banish Chelsea's embarrassment of losing 4-2 at home to Leage One Bradford City in the FA Cup fourth round in their previous outing. link BBC Sport - Chelsea 1-0 Liverpool (aet, agg 2-1)

Ntunzu apate nafasi leo ya kutuliza maumivu.
Lakini mjitayarishe kusononeka Mechi yenu na M. City.

Nonda hao Man City hamna kitu mkuu!Team iliyo kwenye form sasa kumzuia Mourihno ni Liverpool hasa kama Dan atarudi na Arsenal tu!

Hawa wengine Chelsea anawadunda easily kabisa!City bila Yaya hamfungi yyt yule above .5 teams
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom