Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Road to Wembley

final-whistle-verdict--we-gave-everything.img.png


ivanoviiiiic

ana magoli mengi kuliko .............
2520712400000578-2928916-image-a-108_1422398888534.jpg



The Liverpool defender missed the ball completely but referee Michael Oliver waved away the claim and signaled for a goal kick

251FAB9000000578-0-image-a-30_1422391410054.jpg



Thibaut Courtois did well to keep out Liverpool full back Alberto Moreno in the first half after the Spaniard unleashed an effort towards goal

251FC19000000578-0-image-a-23_1422390763327.jpg



[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Emre Can was outstanding last night

[/FONT]
251FA12300000578-0-image-m-19_1422390383822.jpg
 
Uwiiiiiii!! Ntuzu si ndo nimestuka sasahivi jamani game limenipita,Aiseee hongereni sana nacheki hapa highlights aiseee ilikuwa kazi nzito,hongereni sana kwa kusonga mbele. kalou MEANDU #TheBlues fans.
everlenk asante sn na pole sn kwa kulala...............mchezo ulikua mgumu sn LFC walikua wamekuja vzr lkn MOU amedhihirisha mpk sasa kua yeye ni zaidi ya BR.


Nimekuwa mtu wa kwanza kuwapongeza Ntuzu na kalon hapa!

Why tukimbie wakati Majogoo yamepigana dakika 120 Darajani?


Asante sn mkuu Malafyale mmecheza vzr lkn bado chelsea walika wazuri zaidi yenu hasa kipindi cha pili na extra time yote
 
Last edited by a moderator:
Tangu lini mwanafunzi amzidi Mwalimu wake??BR hana uwezo wa kumfunga Mou.
 
Zuuma aliwabania sana majogoo hakuna mpira wala mchezaji wa liva aliyempita kizembe alikaza mwanzo mwisho baloteli ....kwisha habar yake
 
When asked about whether the striker could receive any retrospective action, Mourinho told Sky Sports: "No. Speak about Costa and the penalty that he had and was not given.

"Let Costa play his football."

“If I speak, the FA will punish me as they always do so I think it's better for you to do it,” he added.

“It’s so clear so it’s difficult to accept. Even winning the game, I have to ask myself why? But the most important things is that we won."
 
Mourinho added: "The group is happy. The group deserves a lot and the supporters were absolutely fantastic.

"The final at Wembley always means a lot. It doesn’t matter. FA Cup or League Cup, Wembley is Wembley.

"Wembley is history and the fans love to go and they pushed us for that. They were fantastic."
 
Hongereni wana blues wenzangu. ingawa hivyo binafsi nimesikitishwa na matokeo ya jana. it should have been more than 1 - 0 kwa kweli. 2nd half na zile exra time tulichezea chezea nafasi za kufunga goli zaidi ya 3. baada ya kufunga bao 1 ilikuwa kama vile waliambiwa kuwa atakayeanza kufunga goli 1 basi ndo mshindi. yani pale hgolini Liver tulishawafungua sijui mara ngapi lakini vijana wakawa slow na kama vile wanajua hawawezi kufunga goli lingine. binafsi ilikuwa inanipa pressure isiyo ya lazima manake hizo chances jamaa wangechomoa tungekuwa tunazijutia saa hizi.

anyway, wale wavamizi washaenda zao. hatuwaoni tena humu sana sana labda Man City wangeuze matokeo yaliyo wazi ya wao kupigwa J1 hii!!!
 
Nonda hao Man City hamna kitu mkuu!Team iliyo kwenye form sasa kumzuia Mourihno ni Liverpool hasa kama Dan atarudi na Arsenal tu!

Hawa wengine Chelsea anawadunda easily kabisa!City bila Yaya hamfungi yyt yule above .5 teams

hivi nyie wa kumsumbua Chelsea mko nafasi ya ngapi vile??? Chelsea aache kufikiria waliopo getini kwake awafikirie nyie mliopo mtaa wa saba sijui sita huko! keep dreaming
 
hivi nyie wa kumsumbua Chelsea mko nafasi ya ngapi vile??? Chelsea aache kufikiria waliopo getini kwake awafikirie nyie mliopo mtaa wa saba sijui sita huko! keep dreaming

May 15 Man U watkuwa nyuma yangu na watamfukuza LVG
 
Zuuma aliwabania sana majogoo hakuna mpira wala mchezaji wa liva aliyempita kizembe alikaza mwanzo mwisho baloteli ....kwisha habar yake

Dogo anakuja vizuri sana. naamini atakuwa replacement mzuri tu wa JT. Nadhani mwisho wa siku atakuwa ni yeye na Cahill pale mwisho. Cahill hakupenda jana kuwekwa bench lakini ndo hivyo! uzuri ukipewa nafasi unatakiwa kukaza ili nafasi ibakuwa kuwa yako. huu ushindani unaongeza ubora wa mchezaji binafsi na timu kwa ujumla
 
Dogo anakuja vizuri sana. naamini atakuwa replacement mzuri tu wa JT. Nadhani mwisho wa siku atakuwa ni yeye na Cahill pale mwisho. Cahill hakupenda jana kuwekwa bench lakini ndo hivyo! uzuri ukipewa nafasi unatakiwa kukaza ili nafasi ibakuwa kuwa yako. huu ushindani unaongeza ubora wa mchezaji binafsi na timu kwa ujumla


Mkuu Manumbu Mourinho Kuna vitu anafanya kumuelewa haraharaka unajua inakua shida. Kwanza kwa kumchezesha Zouma ktk big game km Ile anampa uzoefu huyu dogo Na kumjenga ktk kukomaa. Na pili Mou weekend hii Ana big game Na City km unavofahamu Terry umri umeenda kidogo hivo anachoka sn kwahiyo tunahitaji pacha wake alie fiti ndio maana Jana Cahill alikua bench Ili jumamosi yeye awe ndio beki chambo yani akukuruke kweli then Terry awe Ni mtu wa kusafisha zile zinazomzidi Cahill. Na ukizingatia City hawana mchezo wowote ktk ya wiki kwahiyo wamepumzika vya kutosha.

Fabregas kiasi fulani amechoka Na kwa mpira wa kazi km wa Jana kwake yeye ulikua Ni mgumu maana yeye sio mchezaji kwenye kikilikakala km Ramires ingawa Ni Fundi ktk kutoa pass za magoli lkn Mimi ningepemda Mou ampe muda kidogo apumzike km uliona Jana baada ya kuingia Ramires Lfc wakapwaya ktkt tofauti Na walivyoanza. Maana Ramires Ni shughuli sn huyu jamaa ingawa ktk pass za kumalizia Faby Yuko pouwa.

Nimeona umesema kwamba ulikua Na PRESSURE kutokana Na kufunga goli moja Tu. Mkuu Jana Lfc kufungwa ilikua lazima Ata km wangefanyaje maana tulikwenda kwao kutafuta draw au kushinda Na kweli tukapata matokeo ambayo tuliyokua tunayataka. Kwahiyo biashara Na hawa Lfc ilikua inaisha darajani ndio maana BR hakupenda kabisa matokeo ya first leg pale kwake maaana alikua anajua kua darajani itakua kz ngumu ambayo Ni kweli imetokea.

Well, tulifanya makosa kadhaa Na Lfc wakashindwa kuzitumia hizo nafasi vzr hasa kipindi cha kwanza Na tuliporudi kipindi cha pili makosa yalikua machache sn maana Lfc walikua wanacheza mpira wa kasi sn hasa wakipata counter attack Na wakimtegemea Sterling ktk kukimbia maana wanajua beki wetu Ni wazito kukimbia Na Terry umri umeenda lkn Mou kwa kuliona Hilo hakutaka Ivanovic apande mbele Mara kwa Mara Na Matic akapewa majukumu ya kukata mipira ktk dimba la Kati ambayo ingeweza kumfikia Sterling Na ndio maana Ata walivyo muingiza Baloteli bado Sterling alicheza ktkt Na wakawa wanatumia mipira ya kuvizia.

Kwa kifupi mkuu Lfc walijiandaa vzr Na wanastahili pongezi lkn timu bora ndio iliyoshinda.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom