Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
na timu unayopenda kwa moyo ambao sio wako ni arsenal au sio? karibu sana mkuu kwenye jukwaa lako inabidi tukukaribishe manake tuliliteka hili jukwaa.Timu nizipendazo kwa moyo wangu
Chelsea
Yanga
Na Zanzibar
Timu nizipendazo kwa moyo wangu
Chelsea
Yanga
Na Zanzibar
Timu nizipendazo kwa moyo wangu
Chelsea
Yanga
Na Zanzibar
si unaona karudi lol.kachoka kuchungulia jukwaa lake kwa mbali.Naona unaamua kumshawishi Masanilo arudi kwenye jukwaa...hahaaaaa,safi sana.Atarudi tu na tunamsubiri kwa hamu sana
si unaona karudi lol.kachoka kuchungulia jukwaa lake kwa mbali.
Hahahahahaahh ligi ya mwaka huu balaa tulipowafunga Arsenal nilijua tumekuwa mabingwa kumbe mhhhhh
hahhahahahahhahahah Masanilo yaani hata Arsenal timu nzuri dunian huipendi, je na Man City?
Ligi nzuri sana ya UK ila FIFA wanaujinga sana hakuna nominee wote wanatoka Spain....hivi jamani nani kama drogba duniani?
Ligi nzuri sana ya UK ila FIFA wanaujinga sana hakuna nominee wote wanatoka Spain....hivi jamani nani kama drogba duniani?
Tatizo lako Masanilo huwa unamanisha kitu fulani, hapa Drogba utakuwa umemuweka kwasababu alitutunguwa........all in all, sijajuwa kwanini hata Drogba wasimuweke nae!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! inawezekana wanautaratibu wao mkuu such that Drogba akaachwa!!!!
kuhusu drogba kukosa nadhani kitu ambacho wanaweza kukitumia kama kigezo cha kumuacha ni fujo alizofanya hile mechi ya champions league against barcelona.zaidi ya hapo hakuna kisingizio wanachoweza kutumia kwani drogba mwaka huu ni tishio baada kuweka maringo pembeni.Tatizo lako Masanilo huwa unamanisha kitu fulani, hapa Drogba utakuwa umemuweka kwasababu alitutunguwa........all in all, sijajuwa kwanini hata Drogba wasimuweke nae!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! inawezekana wanautaratibu wao mkuu such that Drogba akaachwa!!!!
Matanga yanaisha leo rasmi wakati Chelsick watakapokumbana na vibonde walioshika mkia kwenye kundi lao. APOEL Nicosia. Kakuta anaanza kwa mara ya kwanza kwenye mchuano huu pale Darajani.
Kakuta ambaye amefanya kasheshe na kesi bado kuamuliwa.