Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

nilidhani haters wa chelsea humu wapo watatu Wacha 1,prondo na jamaa mmoja wa liverpool,kumbe wapo wengi sana,chelsea wakifungwa wanajifanya wanajua kuupdate,wakishinda ni kama hawaoni thread
 
Hawa mashabiki koko bana hata timu yao ikicheza hawaangalii mpira wanachungulia JF .. ... ... .shukuruni JF khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mpira vipi hapa matokeo .... ... .... .. tulikuwa tunawaangalia Gunners kwanza ... . .
 
Red card for Southampton Morgan Schneiderlin second yellow ... .... ..fungeni chacha against 10 players .. .... ...
 
Nachikia Divers wanapewa kadi chacha khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Full time 1-1
1 point won or 2 two points lost tunafunga mwaka on the Top of the Table.
The Rest Mbuluraaaaaz MIND THE GAD
KTBFFH
 
nilidhani haters wa chelsea humu wapo watatu Wacha 1,prondo na jamaa mmoja wa liverpool,kumbe wapo wengi sana,chelsea wakifungwa wanajifanya wanajua kuupdate,wakishinda ni kama hawaoni thread

Kubali matokeo na ndiyo soka kijana wangu!Angalia mechi ijayo na Totenham ugenini ambayo pia ni mechi ngumu kwako
 
Full time 1-1
1 point won or 2 two points lost tunafunga mwaka on the Top of the Table.
The Rest Mbuluraaaaaz MIND THE GAD
KTBFFH

Ndiyo soka lilivyo,ni kuvumilia tu!Mwaka mpya una game ngumu pia ugenini kwa Totenham
 
Ntuzu agosti 8
Pigeni moyo konde msonge mbele,haina haja ya kulia kwa sababu tu Man City ka close sana gap!Mjipange vyema mechi ijayo na TOTS la sivyo mhhh
 
Last edited by a moderator:
Kubali matokeo na ndiyo soka kijana wangu!Angalia mechi ijayo na Totenham ugenini ambayo pia ni mechi ngumu kwako

we vipi bhana kama ishu ni draw man city nao leo wanatoa,tupo mbele bado point 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom