mikel anatunyima ushindi wapi matic leo?
kuna mambo mengine ni kwa ajili ya arsenal tu
Naona mmefufuka.....! Basi mtupe pole sio mnaoholojeka tu hovyo!
Najua umeongea ki ushabiki tu, lakini ukweli unaujua. Soton kesho kutwa anapakuliwa than linabakia pengo dogo baina yenu.Man U hii ya LVG na RRONDO irudi kileleni?This is more than a jok jamani!
Man U hata kwa Sotton Jumatatu hatoki salama
Newcastle 0-5 CFC
we are going for 3
Arsenal kashakaa moja
Arsenal tangu rais ni mkapa mpaka leo
sasa huo wakati wa mkapa chelsea ilikuwa inagombea isishuke daraja
Kuna mdau alishawahi andika humu "KILA SIKU ZINAVYO KWENDA NA CHELSEA INAZIDI KUPUNGUA MAKALI YAKE". Hapo kabla nilidhani jamaa anasukumwa na ushabiki, lakini sasa naanza kumuelewa.Kama walivyosema wengine bahati haikuwa yetu leo. Na bora tumefungwa tena na timu ya chini. It's a wake up call. Na hii itaondoa pressure kwa timu na tunaanza kucheza bila pressure ya statistics
Mpira umeisha? Sana sana wanatuzidishia hasira tu hawa
Ni kweli,Newcastle hawakuwashinda dimbani ila wao walipata nafasi 3 wakatumia 2 vyema tofauti na nyie mlio poteza nafasi kibao!
Naanza kuona tatizo la kumalizia sasa linarudi tena
wiki mbili, tatu zilizopita tulikuwa tumeshawapa ubingwa. Mmeshapoteza advantage ya 6 to 9 points. Ligi sasa ndiyo inaanza kuwa tamu. Nasubiri Maureen atakavyochonga baada ya mechi, sababu kabla ya mechi alikuwa analia kuwa Newcastle huwa wanaikamia Chelsea tu wakicheza na timu nyingine wanakuwa kama wanacheza mechi za kirafiki. Poleni sana.