Ni kweli mkuu...! Kuna mapinduzi makubwa sn amefanya na anafanya Huyu Mourinho.... Ngoja tuone mambo yatakavyokua...!
Kinacholeta burudani zaidi ni kuwa Maurinho mwenyewe anaipenda Chelsea na sasa anafanya vitu sio tu kwa moyo lakini pia kwa mapenzi ya dhati. na hana mpango wa kuondoka. yani zile za mtu kusema nimefika hapa. na uzuri ni kuwa Abrahamovic pia kaona kuwa Maurinho ni human resource adimu na haipatikani hovyo mababarani. na kwamba akitaka mafanikio ya kweli, lazima wawe pamoja. wote wana malengo yanayofanana. ushindi na sio tu ushindi, ushindi mkubwa. Maurinho lazima apate makombe. na sasa anataka makombe yote ayajaze Stamford Bridge. Abrahamovic nae anataka makombe, na of course faida ambayo inaletwa na hayo makombe. This marriage is fantastic.
Yani hapa ni vijana tu wawe tayari kutumika. na tazama akina Oscar, Willian, Hazard wanavyocheza. wanacheza kwa furaha na determination za ajabu. yani watu wanajituma utadhani wameahidiwa kuingia peponi baada ya mechi! na hawa bado vijana wadogo sana. they are still growing. Imagine Chelsea ya hawa watoto at 27 itakuwaje!!!
Ukitaka kuona timu ilivyobadilika, linganisha mfumo wa sasa na ule wa awamu ya kwanza ya Maurinho darajani. enzi zile timu ina mijitu mikubwa, akina Crespo, Njitap, Lampard, Drogba etc. walikuwa wanaume wa shoka. wakiwa kwenye mstari unaona watu wakubwa kweli kweli. lakini Chelsea ya sasa ina mchangayiko huku play makers wakiwa sio physique kiasi hicho. sokuna bonge la mchanganyiko wa uchezaji. speed, penetration, dribbling, crosses hasa za chini, pace setters na even penalties. Na hizi engine ili ziweze kupenetrate lazima zipande na zishuke kukaba ili kufungua mianya kwenye defence za maadui. yani kwa kifupi kwa jinsi tulivyo, ukipaki basi tunakufunga, uki counter attack Matic atakuzuia na utakuwa umejifungulia njia.
as long as Maurinho is here, sioni ni kwa jinsi gani tutasimamishwa na especially English teams kwa sasa! itabidi na wao waanze kujibadili sana ndani ya timu zao kuweza kuleta upinzani wa maana. vinginevyo hata mwakani tutawaacha zaidi ya hivi tufanyavyo sasa!
Chelsea ndio sisi!!!