Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Plastic, iron, diamond, charcoal call it anything my friend. But football is all about glories. wapo wasiotafuta glories. wana timu zao kama QPR, Derby County etc. wala hawabugudhiwi. wale wanaotafuta glories na wanazikosa sio kwa bahati mbaya bali kwa uwezo wao mdogo ndio watakaobugudhiwa! Na hiyo haijalishi una karne 4 kwenye mpira au una mwezi 1. as long as unataka glory ambayo inakushinda utashurubiwa tu! so RRONDO Cheka sana lkn sisi tunacheka mwisho kwa sababu ndio wenye glory!!!

Sisi ndio Chelsea!!

the last time i checked u won EPL title 2010 and we won 2013.......khe khe khe khe khe khe khe khekhe khe khe khe
 
sisi ni watu wa mataji lukuki kila kona. hatumalizi misimu mwili bila ya kuwa na taji la haja
 
Didier Drogba on Twitter: On the way back to london city home of the blues!!!! Great win and on to the next one!!!!
 
Attachments

  • _79275771_1b168c4d-4689-4c3f-bbb5-112ec699c81d.jpg
    _79275771_1b168c4d-4689-4c3f-bbb5-112ec699c81d.jpg
    27 KB · Views: 82
Usiku mwema the blues supporters wote. Tusubirie kuwatazama semi finalist wenzetu mwaka huu Real Madrid hapo badae
 
Kuna watu walimbeza sn Drogba na wengine wakaanza kudai kua hawezi kufikisha magoli ma4 msimu Huu Lkn tunaona anapiga magoli tu na kufanya astst pia, nini maoni yenu kuhusiana na hili wakuu....

Njoo tupige story kidogo..!

Cc: agosti 8 Viol Skillionare Manumbu Mentor kalou kunguru mjanja Grand PA na rafiki zetu EMT Mourinho RRONDO Malafyale Nzi Mbu

Spaciba balshoi Ntuzu, siku hizi nimeamua kuwa msomaji tu kwenye thread zenu wana EPL. Hampendi changamoto wala kupingwa hasa hapa na kule kwa Majogoo
 
Last edited by a moderator:
Spaciba balshoi Ntuzu, siku hizi nimeamua kuwa msomaji tu kwenye thread zenu wana EPL. Hampendi changamoto wala kupingwa hasa hapa na kule kwa Majogoo

afadhali umeliona hilo....ukitaka ukae humu wewe sifia chelsea tu ila ukipinga chochote kile ni vita utashambuliwa balaa... ila mi nishawazoe....subiri uone watakavyonivamia,thread mbili tu man utd na arsenal humo utasema chochote watu wanakusikiliza tu umalize uondoke ila kwa chelsea na liverpool wanataka useme wanachopenda kusikia.
 
Spaciba balshoi Ntuzu, siku hizi nimeamua kuwa msomaji tu kwenye thread zenu wana EPL. Hampendi changamoto wala kupingwa hasa hapa na kule kwa Majogoo

Mourinho ni kweli hayo yamekua yakitokea ktk thread Hizi hasa ya Liverpool Lkn swala hapa mkuu lilikua ni kumjadili Drogba ndio maana nikawakaribisha nikijua kua na nyie ni wadau wa mpira kutaka kupata michango yenu..! Toeni maoni yenu mkuu... Hayo ni mambo ya kawaida kutokea pale watu wanaposhindwa kujizuia kutokana na matokeo ya timu zao..!
 
Last edited by a moderator:
afadhali umeliona hilo....ukitaka ukae humu wewe sifia chelsea tu ila ukipinga chochote kile ni vita utashambuliwa balaa... ila mi nishawazoe....subiri uone watakavyonivamia,thread mbili tu man utd na arsenal humo utasema chochote watu wanakusikiliza tu umalize uondoke ila kwa chelsea na liverpool wanataka useme wanachopenda kusikia.

RRONDO ile thread yako ya uchambuzi wa ligi ya EPL iko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Eden Hazard is among six
players nominated for the
November PFA Fans’ Player of
the Month award.
It has been an excellent month
for the Belgian international,
helping us extend our lead at
the top of the Barclays Premier
League to six points thanks to
wins over Queens Park
Rangers, Liverpool and West
Brom, but he needs your help
to win – you can vote at
90min Fan Awards
 
Kuna watu walimbeza sn Drogba na wengine wakaanza kudai kua hawezi kufikisha magoli ma4 msimu Huu Lkn tunaona anapiga magoli tu na kufanya astst pia, nini maoni yenu kuhusiana na hili wakuu....

Njoo tupige story kidogo..!

Cc: agosti 8 Viol Skillionare Manumbu Mentor kalou kunguru mjanja Grand PA na rafiki zetu EMT Mourinho RRONDO Malafyale Nzi Mbu

mkuu mm ni miongoni ambao sikuona umuhimu wake wakati tungeweza kusajili another potential striker ila kwa sasa kunakitu nakiona kwa DD every time he step to these champion league games its champagne staff
 
Last edited by a moderator:
mkuu mm ni miongoni ambao sikuona umuhimu wake wakati tungeweza kusajili another potential striker ila kwa sasa kunakitu nakiona kwa DD every time he step to these champion league games its champagne staff

Mkuu ni kweli mkuu.. Lkn hapo ndio unapoweza kuona Mourinho kua Ana akili sn Huyu kocha...!
Kuna michango mizuri sn alitoa mkuu Manumbu ktk hili ni mizuri sn kiasi amemaliza kila kitu ktk Hizo hoja zake...!

Labda niongeze kitu kimoja kuhusiana na DD, Km timu ikiwa na Hali mbaya Yani wale Striker wenzake wakiwa majeruhi Huyu bwana ninavyo mfahamu lazima apambane sn uwanjani... Rejea mchezo wetu na Man Utd..! Huyu jamaa alikua anajua kua Costa ni majeruhi na pia Lemy hajapona vzr... Ilibidi asimame Imara na kusukumana na mabeki sn..! Kwahiyo mkuu Km timu inakua ktk shida Huyu bwana Anacheza Km zile nyakati zake za kusukumana na kina Vidic
 
Last edited by a moderator:
Chelsea may have found their
replacement for Drogba. The
23 year old Andrej Kramaric
who has simply exploded
this season is looking closer
to becoming the Blues’
newest goal machine. In 19
games this season, the
Croatian has scored an
impressive 27 times.
Currently under contract with
Rijeka, he will more than
likely leave this winter when
the club is hoping to take
their last chance of making
some money off of their
most appealing player. With
his contract set to expire in
June 2015, Kramaric is not
lacking offers. Aside from
Chelsea, Arsenal, Juventus
and Milan have also looked
into his performances. The
striker made his debut for
Croatia recently and has
already scored twice in four
games.
According to the Daily Mail, if
Chelsea plan on signing the
Croatian, they will have to
step up their game. Juventus
look like the most
determined to secure his
signature. They have already
made an offer towards the
club and promised the player
some massive bonuses in
case targets are reached.
Currently managed by his
father, Kramaric has to do
some serious thinking
during the next few weeks.
His future is about to be
decided and Chelsea and
Juventus seem the closest to
signing him. His chances to
perform on a regular basis
are fairly equal with both
sides. It only remains to be
seen how the 23 year old
plans his career. He looks like
a promising young striker
who could do a great job at
Stamford Bridge, as long as
he will be given the chance
to perform.
 
Mkuu ni kweli mkuu.. Lkn hapo ndio unapoweza kuona Mourinho kua Ana akili sn Huyu kocha...!
Kuna michango mizuri sn alitoa mkuu Manumbu ktk hili ni mizuri sn kiasi amemaliza kila kitu ktk Hizo hoja zake...!

Labda niongeze kitu kimoja kuhusiana na DD, Km timu ikiwa na Hali mbaya Yani wale Striker wenzake wakiwa majeruhi Huyu bwana ninavyo mfahamu lazima apambane sn uwanjani... Rejea mchezo wetu na Man Utd..! Huyu jamaa alikua anajua kua Costa ni majeruhi na pia Lemy hajapona vzr... Ilibidi asimame Imara na kusukumana na mabeki sn..! Kwahiyo mkuu Km timu inakua ktk shida lazima Huyu mtu abadikike sn...!

Yap DD pale ambapo anahitajika anatupa tukitakacho, bado anamentality nzuri labda pace tu ndio imepungua na si kosa lake ndio umri tena
 
Last edited by a moderator:
Wakuu vijana wako tayari kufanya mambo makubwa sana kwa chama letu. tuwatie moyo kwa namna yoyote ile iwayo.

Cesc Fabregas claims he's playing the best football of his life | ProSoccerTalk

Cesc Fabregas claims he's playing the best football of his life

"I feel that right now I am playing some of the best football of my career," Fabregas said. "I am in my best position, 100 per cent. I feel more in control of the game, I touch the ball all the time, I feel happy, I go and get the ball from here, from there, I can go forward, Oscar drops deep. I feel free, I feel confident, I feel in control and that's what I like the most in football.

"Sometimes, in the last three or four years in the national team and Barcelona, I was playing like a No 9. I mean, I have to do it for the team and I enjoy, and it's all good. But, here, where I am playing today, it's where I enjoy my football the most."

Fabregas also discussed the need to put substance over style, something that may not have been the case at Arsenal but is certainly one of Mourinho's tenets.

"Potentially, this team can be very, very good but we have to win trophies," Fabregas said. "I always said it, no one remembers if there was a great, great team and you don't win. We have to win and that will say a lot from us. People will judge it how they want to judge it. The most important thing is to keep it going and at the end of the season we can talk.

"I didn't come here to just play well and that's it. I came here to win trophies and if I could play well and enjoy myself, the better. There will be games I cannot enjoy myself because other teams will approach games differently. But the most important thing for me is we know what we are doing, we know when we defend, when we have to attack, when we slow the pace, go quicker. I think right now, we are doing that very, very well."

Fresh off their 5-0 win over Schalke on Tuesday, Chelsea and Fabregas face Sunderland at Stamford Bridge this Saturday.
 
Mkuu Manumbu maneno mazuri sn hayo ya Fabregas na maneno hayo yanawakata midomo wooote wale waliokua wakimponda Jose Mourinho kwamba hua anapenda kuuwa wachezaji ktk uchezaji wao kwa kufata vile anavyotaka mwenyewe....!

Haya maneno ya Faby hayo....

Cc: RRONDO Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu haya mapinduzi ayafanyayo Mourinho darajani watu watakuja kuyakubali tutakapoingia nusu fainali UEFA na fainali yenyewe. utapigwa mpira mkubwa mpaka watu watatujua kwa sasa tunacheza mpira utokao nje ya sayari hii. kwa sasa wanaona tupo tupo tu tunashinda na kwenda. wanatukubali kidogo kidogo. Ila wakati muafaka ukifika na wakati huo cohesion ya timu ishakuwa kubwa sana watu wanapeana mapande bila hata ya kuinua uso ndipo watatukubali. na kizuri ni kuwa vijana wenyewe watakuwa wanayafanay haya mambo huku wakifurahia kuucheza mpira. magoli yatakuwa kama vile yanaumbwa kumbe watu wanayatengeneza na kuyafunga. Yani kikubwa hapa ni kuomba uhai tu, tushuhudie tunavyokwenda mbali!

Chelsea ndio Sisi!!!

Mkuu Manumbu maneno mazuri sn hayo ya Fabregas na maneno hao yanawakata midomo wooote wale waliokua wakimponda Jose Mourinho kwamba hua anapenda kuuwa wachezaji ktk uchezaji wao kwa kufata vile anavyotaka mwenyewe....!

Haya maneno ya Faby hayo....

Cc: RRONDO Malafyale
 
Ntuzu haya mapinduzi ayafanyayo Mourinho darajani watu watakuja kuyakubali tutakapoingia nusu fainali UEFA na fainali yenyewe. utapigwa mpira mkubwa mpaka watu watatujua kwa sasa tunacheza mpira utokao nje ya sayari hii. kwa sasa wanaona tupo tupo tu tunashinda na kwenda. wanatukubali kidogo kidogo. Ila wakati muafaka ukifika na wakati huo cohesion ya timu ishakuwa kubwa sana watu wanapeana mapande bila hata ya kuinua uso ndipo watatukubali. na kizuri ni kuwa vijana wenyewe watakuwa wanayafanay haya mambo huku wakifurahia kuucheza mpira. magoli yatakuwa kama vile yanaumbwa kumbe watu wanayatengeneza na kuyafunga. Yani kikubwa hapa ni kuomba uhai tu, tushuhudie tunavyokwenda mbali!

Chelsea ndio Sisi!!!

Ni kweli mkuu...! Kuna mapinduzi makubwa sn amefanya na anafanya Huyu Mourinho.... Ngoja tuone mambo yatakavyokua...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom