uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,216
- 788
Tupo pamoja Chelsea
Ntuzu agosti 8 Mentor kalou Skillionare uyui kwetu Grand PA
Wakuu ni mechi gani unakumbuka ya chelsea ilipoteza ikakuuma sana mpaka leo hata hutaki kuangalia marudio?
Aisee mimi mechi ya manchester united vs chelsea ,champions league 2008 iliniumiza sana kutolewa kwenye matuka kwa Anelka kukosa pernati.

Mkuu Leicester aliwapigaje 5-3 majuzi timu iliyopanda daraja,aibu sana
ile ya lukaku aliyo kosa penarr kipuuzi hadi leo naiota ilikuwa dhidi ya buyern munich
Mkuu lukaku ile mechi aliniudhi sana yaani kapiga penati kivivu,pale ingetakiwa bonge la shuti la kumwumiza kipa
hiyo niliumia ila siyo sana coz umeme ulikatika half time dakika za nyongeza, so sikuishuhudia live .......Ntuzu agosti 8 Mentor kalou Skillionare uyui kwetu Grand PA
Wakuu ni mechi gani unakumbuka ya chelsea ilipoteza ikakuuma sana mpaka leo hata hutaki kuangalia marudio?
Aisee mimi mechi ya manchester united vs chelsea ,champions league 2008 iliniumiza sana kutolewa kwenye matuka kwa Anelka kukosa pernati.
hiyo niliumia ila siyo sana coz umeme ulikatika half time dakika za nyongeza, so sikuishuhudia live .......
mi mechi niliyoumia roho ni BACELONA vs CHELSEA UEFA Semi final 2009 ....... refa aliwabeba Bacelona wazi wazi, mpaka leo nawachukia bacelona.
simkumbuki yule refa ila mpaka leo nammaindi.
Grand PA
Halo umenikumbusha machungu mana nakumbuka Essien aliifungia CHELSEA goli kwa mkwaju mkali wa umbali wa karibu mita 40 hivi na yule refa aliwabeba barca mno. Iniesta alisawazisha goli na alishangilia mno mpaka akavua na jezi yake huku drogba akipewa red kadi. Tulitolewa kwa faida ya bao la ugenini. Dah! ubovu wa marefa si Bongo tu. Nafurahi tulilipiza kisasi 2012 baada ya kuwatoa kwa goli la ugenini. CHELSEA DAIMA!