Cheka Unenepe na Tanesco

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Posted: 4th March 2013 by MillardAyo

1
110.jpg
..

210.jpg
.

310.jpg
.

410.jpg
.

510.jpg
.

610.jpg
.

74.jpg
.

83.jpg
.

91.jpg
.

101.jpg
.

112.jpg
.

122.jpg
.

132.jpg
.

142.jpg
.

151.jpg
.

161.jpg
.

171.jpg
.

181.jpg
.

192.jpg
.

202.jpg
.

212.jpg
.

222.jpg
.

232.jpg
.

242.jpg
.

252.jpg
.

261.jpg
.

271.jpg


Souce: Millard Ayo Offcial Website!

 
I don't believe this comes from tanesco!! What a wicked customer service!
 
Hahahahahahhahahahahahahahah.......aaaaaaa nimewakubali!!!!
 
Huyo mtu aliyepo customer service lazima ni mmoja kati ya waliochora Zombies kwenye mitihani. Hicho kichwa ni shake before use. Hakuna kitu kabisa. Mtu anauliza swali serious kabisa, kwamba mita haibonyezeki anaambiwa agonge na nyundo? Duh, labda hiyo nembo ya TANESCO inatumiwa na mhuni!
 
Huyo mtu aliyepo customer service lazima ni mmoja kati ya waliochora Zombies kwenye mitihani. Hicho kichwa ni shake before use. Hakuna kitu kabisa. Mtu anauliza swali serious kabisa, kwamba mita haibonyezeki anaambiwa agonge na nyundo? Duh, labda hiyo nembo ya TANESCO inatumiwa na mhuni!

Hapo kwenye bold, Bwahahahahhhhh!
Itwakuwa mtu kachezea twitter account ya Tanesco. Haiwezekani wakawa na huduma kwa wateja yenye majibu yale
 
Huyu jamaa aliyeko Customer care ameniacha hoi na hii!


.
 
SOURCE: https://twitter.com/TANESCO_

Nimecheka mpaka mbavu zinauma, hii iko kwenye TWITTER

Tweets

SENETA DAUDI WA KOTA ‏@DAUDIWAKOTA @tanesco_ kuna nguzo yaungua na moto hapa mataa ya st peter


Tanesco ‏@TANESCO_
Ndugu Tanesco hatuzimi moto, hivi unajua kirefu cha TANESCO? "@DAUDIWAKOTA: @tanesco_ kuna nguzo yaungua na moto hapa mataa ya st peter"


Tanesco ‏@TANESCO_ Pia wewe unaweza Kukata, kuna switch karibu na meter yako ya Luku "@IbnLody: @TANESCO_ mbona leo hamjakata umeme? mmejisahau nini?"


Tanesco ‏@TANESCO_
Naona leo kelele zimepingua, lile TENDO LA USIKU linafanyika muda huu. Ndomana TUNAKATA mchana. Mnapenda sanaaa.


Tanesco ‏@TANESCO_
Wasiliana na Vishoka wetu 0713 800 800 na 100. Asante "@GillsaInt: Oi @TANESCO_ napataje umeme wa dili? #LUKU"


Tanesco ‏@TANESCO_
Tumia NYUNDO "@eleuteli: @TANESCO_ hizi mita mpya najaribu kuingiza umeme nikibonyeza haitaki tabu tupu"


Tanesco ‏@TANESCO_
Pole sana, tutarudisha muda si mrefu. Ngoja kuna mbaya wangu uko aipate fresh "@nanyaro_: @Ritaupara Cheche....@TANESCO_ washanitenda..."


Tanesco ‏@TANESCO_
Na bado, mtakoma kuringa mwaka huu "@Preety_mitchy: Tanesco mme niweza leo"

Tanesco ‏@TANESCO_
Saa 12 jioni Umeme utarudi. Tanesco inaomba radhi kwa Wananchi wote, tunajua lile Tendo la wanandoa usiku limeshindwa kufanyika mchana.

Tanesco ‏@TANESCO_
Wanaolipa Bili tunawajua wapo kimyaaa!.. nyie msiojua hata bei ya chumvi kutwa kelele. Na mwaka huu mtajuta nawambia. TUNAKATAA

Tanesco ‏@TANESCO_
Wengine mnalalamika Tanesco kukata umeme Mjini penyewe mmekuja juzi juzi, miaka yote shamba kwenu uliishije?.

Tanesco ‏@TANESCO_
Tunataka Wananchi waanze mazoezi jinsi ya kulizoea Joto la Kaburi "@shyb_zach: @TANESCO_ hivi kwann mnakata umeme wkt wa usiku?"


Tanesco ‏@TANESCO_ Kwanza Manina zako mwenyewe.. Mbeya mgao umetoka Tanesco "@MwanjalaJr26: Sasa mbeya mgao umetoka wapi..? #ManinaZenu @TANESCO_"

Tanesco ‏@TANESCO_ Hongera, una Dowans yako ndani? "@Yericko_Nyerere: @TANESCO_ mie situmiagi umeme wenu kabisa,"


Tanesco ‏@TANESCO_ Tanesco ipo toka 1964, waulize Twitter walikua wapi "@deohugo: @TANESCO_ Tweeting Since: 28 Feb 2013 12:39? Mlikuwa wapi siku zote"


Tanesco ‏@TANESCO_ Kifo hakina taarifa "@Georgeoscar1: @TANESCO_ Mbona mkiwa mnakata umeme hamtoi taarifa yaan mnaharibu ratiba za watu kwel.."


Tanesco ‏@TANESCO_ Kinondoni mnaringa sana, tutawarudishia tukijisikia. "@angel16_elias: @TANESCO_ mbona kinondoni bado haujarudi"


Tanesco ‏@TANESCO_ Mchawi hajirogi "@brino19: @TANESCO_ umeme huu unakatika manyumbani tu MBNA ofisini kwenu aukatiki?"


Tanesco ‏@TANESCO_ Tanesco sio Fundi Simu tafadhali "@angel16_elias: @TANESCO_ simu yangu haiwaki tena mlivokata umeme saa iiiiii itabidi nije apo mikocheni"


Tanesco ‏@TANESCO_ ..Na ukirudi usipounguza vitu vyako utatupa zawadi? "@Murunga_Josh: @tanesco_ umeme ukirudi ukaunguza vitu vyangu mtanilipa fidia?"


Tanesco ‏@TANESCO_ Hili pia ni swali, nianze kujibu lipi? "@IamBariki: @TANESCO_ swali langu vipi?"


Tanesco ‏@TANESCO_ Sasa tukusaidie nini? "@MichaelMwazembe: @TANESCO_ simu yangu nimechaj kupitia Solar"


Tanesco ‏@TANESCO_ Umeme una Jinsia? "@sam_mory: @TANESCO_ eti ni wewe mbaba mmama"
 
ngoja kwanza niende kisumu kusherehekea kushindwa kwa mwanakisumu mbeya kama twiter@tanesco. nikirudi kivumbi cha uchaguzi kimeanza na no mgao.
 
Du!Hii ni kiboko ya mwaka,majibu kama haya mtu unaweza kujisikia kuua mtu.
 
the same wine in a new bottle!!!iko humu ishaletwa na mdau!!!ila kwa title tofauti
 
Back
Top Bottom