Akikujibu nitagSamahani mkuu, walikua hawafundishwi?
Kwako na PCM yako sio shida, lakini kwa akina kalume kenge wa darasa la saba yaweza kuwa kigongo.Mkuu swali gani hapo limekufanya uone mtihani huo mgumu hadi ukauleta?
Nina wasiwasi ulikimbia hesabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ni darasa la saba/nane wewe elimu yako ipi, pengine form six na PCM/PGM. Embu nipe sasa jibu la swali la number 7 part III. Na hili sio ngumu kivile lakini nipe jibu sasa hapa nakusubiri. Acha kupekua fomula kwenye mitandao hutakuwa na mtandao kwenye chumba cha mtihani.Huo ni mtihani wa darasa la nane, sasa mbona hakuna cha kutisha hapo ni maswali ya kawaida tu
Siku hizi mtoto anakutana na maswali kama hivi:
Fill in blanks:
1.Rais wa kwanza wa Tanganyika ni Nye_____
2. Moringe Sokoine alikufa kwa ajali ya ga____
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi mtoto akiona NYE anamalizia GEZIHapo kwny swali la kwanza mwanafunzi anatakiwa achague jibu sahihi kati ya haya:
A)remi
B)retu
C)rere
D)redi
Na dogo anachagua D bila wasiwasi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda English imemchanganyaMkuu swali gani hapo limekufanya uone mtihani huo mgumu hadi ukauleta?
Nina wasiwasi ulikimbia hesabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! we jamaa n mpuuzi kweli, nimecheka sana..Hapo kwny swali la kwanza mwanafunzi anatakiwa achague jibu sahihi kati ya haya:
A)remi
B)retu
C)rere
D)redi
Na dogo anachagua D bila wasiwasi.
Sent from my iPhone using JamiiForums