Check mtihani wa Hisabati enzi za wakoloni (1946) kwa kanda ya Kaskazini; babu zetu hawakupita kirahisi...

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,802
18,527
Wanafunzi wa shule za msingi hata na wa sekondari jaribuni kupima number zenu hapa:
1549467830315.png
 
Huo ni mtihani wa darasa la nane, sasa mbona hakuna cha kutisha hapo ni maswali ya kawaida tu
Sawa mkuu ni darasa la saba/nane wewe elimu yako ipi, pengine form six na PCM/PGM. Embu nipe sasa jibu la swali la number 7 part III. Na hili sio ngumu kivile lakini nipe jibu sasa hapa nakusubiri. Acha kupekua fomula kwenye mitandao hutakuwa na mtandao kwenye chumba cha mtihani.
 
mbona mbali sana huko wale watoto wa st st st wapeni mtihani wa kidato cha nne mwaka 1996 ova
 
Siku hizi mtoto anakutana na maswali kama hivi:

Fill in blanks:
1.Rais wa kwanza wa Tanganyika ni Nye_____

2. Moringe Sokoine alikufa kwa ajali ya ga____



Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo kwny swali la kwanza mwanafunzi anatakiwa achague jibu sahihi kati ya haya:
A)remi
B)retu
C)rere
D)redi

Na dogo anachagua D bila wasiwasi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shule ya kwanza kujengwa Tanganyika ilijengwa na Wakoloni huko Kijiji cha Magila mkoani Tanga wakati shule ya Pili ni Tukuyu Polisi iliyopo wilayani Rungwe mkoani Mbeya.
Sipati picha shule hizi zingekuwa zimejengwa mkoani Kilimanjaro hali ingekuwaje humu.
 
Back
Top Bottom