Cheaters: The Series

Jumamosi kama jumamosi, hahahaah.

Nina habari njema na mbaya.

Njema ni kuwa ninaandika na soon itawajia.

Mbaya ni kuwa hii episode ya leo itaishia katikati.

Njema zaidi ni kuwa kipande kilichobaki kitamaliziwa jumapili jioni.
 
Back
Top Bottom