Cheaters: The Series

Episode 12. A

Koku.

Kati ya vitu nllikua sijui ni namna gani Shubie ananichukia. Nlichokua najua kwa hakika ni kuwa mi na yeye hatuko karibu kivile, ila kwa nliyoyasoma wiki iliyopita nimejikuta napata picha halisi kuwa imbombo kweli ingafu. Of course nampenda mwanangu. Najua hawezi jua maana kila nlichofanya kwake ilikua ni kwa ajili ya kulinda future yake. Iwe ni kumtelekeza kwa mama, iwe nikumpeleka boarding since chekechea, iwe nikumficha ficha kuhusu her own ancestry, yooote was because of her. Bila kuchukua maamuzi ambayo mimi na mama yangu tuliyachukua, Shubi asingekua hapa alipo leo. Leo Shubi anatembelea magari ya serikali, anamajumba ya kifahari , yote haya yamewezekana kwa sababu ya sacrifice yangu. Ila haezi jua. Na simlaum maana kiukweli hakupaswa wala hapaswi kujua.

Eti ananiita malaya, haya bana. Angejua the way i sacrificed for her asingethubutu kunitusi. Nakubali, am not perfect. My mind is twisted big time. Nlijishangaa eti namimi namtamani Ras, akati najua kabisa anamla mwanangu. Im really nuts. Ila ndo ivo siwezi jilaum. Maana hii imeletelezwa na matukio kadhaa kwenye maisha yangu. Nimempendaga mwanaume mmoja tu in my life. Na mpaka umri huu bado nahangaika na mapenzi. Nimeolewa ila ninahaki ya kutafuta furaha ya nafsi yangu. Ndo kitu pekee nnachoweza fanya. Furaha yangu ni kwanza kupata mwanaume atakaye nifanya nifeel love kama nliyofeel mwanzo kabisa. Lakini pili ni kuhakikisha nalipiza kisasi kwa wote waliosababisha maumivu kwenye maisha yangu. Sio kisasi cha kawaida msomaji. I kill them. Nshafanikiwa kumuondoa mmoja wa watesi wangu duniani, my mission is to eliminate the remaining ones. Mmeshangaa eeh?, hahah. Na sio nyie tu, namna nlivyo huezi dhania, i am beautiful, married, educated, ...... bt will not rest till i kill them all.

Shubi alisema hamjui baba yake,ni kweli. na akasema kila akiniuliza abt baba yake nakuaga mkali na kumwambia baba yake keshakufa, ni kweli pia. Ntaanzia wapi kumweleza unadhani. Maana mazingira yenyewe ya kupatikana Shubi ni utata mtupu. Kwanza mm mwenyewe sijui baba hasa wa Shubi ni nani. Na wala sitamani kujua. Hili jambo ni moja kati ya siri nyingi nlizobeba kwenye maisha yangu. Only my mom knows me kiundani, no one else. Kimsingi hata hilo jina ninaloitwa now, Koku, jina ambalo lipo hadi kwenye vyeti vyangu, sio langu. Sikuzaliwa naitwa hivyo. Nlilipatapataje? Well, ili niwape kisa hicho cha jina langu inapaswa nimwage siri zangu zote hadharani.

Kwanza mi sio Mtanzania. Naam, kama utapima uraia kwa kuangalia eneo la kuzaliwa, basi mimi sio Mtz kabisa. Lakini naipenda hii nchi nadhani zaidi hata ya baadhi ya Watanzania wenyewe. Mi nimezaliwa Kigali. Yeah I said it. Mi mnyarwandwa kwa kuzaliwa. Baba na mama wote wanyarwanda. Baba yangu alikua askari polisi mama alikua Daktari, so maisha yetu yalikua walau ni ya uchumi wa kati. Hata ule mtaa nlio zaliwa na kukulia ulikua ni watu wenye kujiweza. Kwa mfano jirani wa karibu yetu alikua pia Daktari anafanya kazi na mama, nyumba ya jirani mwingine pia kulikua na afisa wa polisi mwenye kacheo kakubwa tu.

Maisha yalikua yanasonga poa sana. Yaani utotoni nimeinjoi sana, ile kucheza kitaa, marafiki, makorokocho ya kuchezea, trip za mara kwa mara, lakini hasa niliinjoi upendo wa wazazi wangu hasa baba. Wazazi wangu walichelewa kidogo kunipa mdogo wa kucheza nae, mdogo wangu wa kiume alizaliwa nikiwa na miaka kumi. Hii ilipelekea watoto wa majirani ndo wawe kama ndugu zangu. Wale majirani zetu wawili walikua na watoto wa kiume. Yule Daktari mwanae tulikua tunamuita Tall, maana alikua na lile umbo la kitusi hasaa, tall and handsome. Kule kwa polisi nako kulikua na watoto wawili, mmoja wa kiume aliitwa Habi. Huyu Habi kwao walikua ni wahutu, kama mimi tu, maana baba na mamayangu wote wahutu. Pamoja na kuwa Tall na Habi walikua wamenizidi kidogo miaka, ila wao na dada yake Habi ndo walikua watoto tuliokua na kucheza nao. Yaani marafiki hasa.

Nlivyofika umri wa kuvunja ungo nikaanza kujengeka kike. Tena sio ile ya kuchomoza maziwa tu, hapana, yaani within a short while baada ya balehe nlikaanza kufunga tela. Tena sio tako la kupimiwa na kibaba, yaani nikajenga shape moja matata, lile la kuwatoa mate wanaume mafataki. Na kama ilivyo kawaida kwa wazazi wengi wa kiafrika, nikaanza kufungiwa ndani na kuambiwa nisicheze na wavulana. So ikawa shule home, home shule. Ila huezi mfuga mtoto maisha yake yote. Nlipokua na 15 years nikatinga sekondari. Huko nikawakuta Tall na Habi ndo masenior wa shuleni pale. Habi alikua mtundu mtundu sana tangu utoto, hivyo sikushangaa alivyokuwa wa mwanzo kunitongoza. Sema nikawa nampotezea tu.

Tall yeye hakuaga na muda na madem. Ingawa sikua na hisia za mapenzi kwa yeyote pale shule, ila ghafla ile personality yake ikaanza kunivutia. Bahati mbaya sana Tall alikua pia na sura nzuri, so wale wasichana visu wa shule ndo wakawa wanamsarandia awe nao. Sometimes wanazipiga kabisa. Tall mwenyewe hana hata habari. Hii ikazidisha hisia zangu kwake. Ingawa nlikua kidato cha kwanza ila nlijikuta nazama kihisia kwa Tall. Yani inafika muda msosi unawekwa mezani unabaki unauchezea tu, mawazo yote kwa Tall, dah, Tall mwenyewe sasa, bado ananiona mm kama katoto kalekale kalikokua kanacheza nae kuendesha matairi mtaani. Akiniona utasikia , “aaah, dogo vipi shule? Kazana bana usije muangusha maza, yeye daktari alafu ww ushindwe kutoboa hata form four “, ntajidai kujichekesha pale then ananipita.

Nikaanza utaratibu wa kwao ili anifundishe. Mwanzo ikawa ngum kupata ruhusa hasa kwa maza. Ila mzee aliingilia kati akawa upande wangu na kumshawishi maza waniruhusu niwe naenda kusoma na Tall. Kimsingi Sikuaga na shida sana kwenye masomo. Kama wanavyosema wataalam wa mambo yasiyo na uthibitisho, ‘mtoto hufuata akili za mama yake’, so I was good. Ila kilichonipeleka ni ile nafasi ya kuwa tu karibu yake. Nlichopenda zaidi ni ile alivyokua ananisindikiza jioni baada ya ‘twishen’,. Pamoja na kua moyo wangu ulikua kwa Tall, ila Habi hakuchoka kunisarandia. Tena Habi alikua anatongoza kikubwa, yaani alikua ananihonga vitu balaa, ila nlikua napima, nikiona kanipa kitu kinaeza leta maswali home nakikataa.

Baada kama ya miezi sita hivi tukiwa term ya pili ya mwaka wangu wa kwanza pale shule, ndo Tall akanielewa. Naona ile kusindikizana na kuwa karibu na mm muda mwingi kukamfanya aanze kunipenda. Siku moja ananirudisha home jioni, wakati namuaga ghafla tu akanivuta mkono akanikumbatia. Nlihisi kajoto flani hivi amazing. Kwa mara ya kwanza mikono ya mwanaume ikagusa matiti yangu, tena alivyona makusudi, alipitisha mkono ndani ya blouse nliyovaa akayaminya live. Ile nyama kwa nyama. Kidogo nipige kelele pale nje ya nyumba yetu.

Tukawa wapenzi Rasmi. Bahati mbaya nikawa na wivu sana kwa Tall. Yaani nikimuona kasimama na msichana tu ntaanza kulia. Hii ikafanya habari kufika kwa Habi, kuwa Tall kashashinda vita ya kunipata. Habi alimind kinyama. Nikawa chanzo cha kuvunja urafiki wao. Nakumbuka kuna siku alimfuata Tall class kwao akamshushia kipondo cha hatari. Tall alivyo mpole masikini hakuweza kujitetea.

Kuitwa ofisini ikajulikana chanzo ni mie, dogo wa form one hahaha. Kuulizwa nikakana katukatu kuwa na mahusiano na Tall. Nikawaambia Tall ni kama kaka yangu, ananisaidiaga tu kunifundisha nothing else. Ikabidi hadi wazazi waitwe, nikashikilia msimamo. Wakati huo wote namhurumia kinoma mpenzi wangu. Habi akapewa kama suspension, then familia hizi tatu kwa kuwa ni majirani ikabidi zikutane kuwaweka sawa vijana.

Tukakutania nyumbani kwetu. Baba Tall akaanza kutuusia pale umuhumu wa shule, maneno yakaonekana kumuingia kisawa mwanae maana alikua amejiinamia tu. Baba Tall hakugusia kabisa mambo ya kupigana. Ila ilivyofika zamu ya Baba Habi kuongea sasa, dah! Hadi nikajiuliza mbona hata mm na umri wangu mdogo namshinda busara huyu mzee.,

kwanza kaanza kumlaum Tall kwa kutaka kuniharibia life. “nyie watoto wa kitusi kazi yenu kuharibu maisha ya mabinti zetu, msione Mhutu anaakili shule mtafanya juu chini ili mumtibue afeli. mwanangu alichofanya ilikua kumlinda huyu.mdogo wake, na mm nasema usipojirekebisha wewe Tall nitatumia cheo changu kama polisi kukutia adabu", yaani huyu mzee angejua huyo mwanae ndo mharibifu wala asingesema aliyoyasema.

Ikabidi Baba Tall ndo aanze kumuombea msamaha mwanae. Mi sikuweza kuongea chochote pale, ingawa nlitamani sana nimtetee Tall. Baba yangu ndo akajitahidi kusawazisha mambo, “Baba Habi unakosea sana kuingiza issue za makabila kwenye kesi kama hii, hili suala watoto wenyewe wamekana kuwa hawajihusishi kwenye hayo mambo, sana sana tuwaonye tu na tusaidiane kuwajenga kama watoto wetu” mzee wangu alikua na busara sana. Kisha akanigeukia mm, “Mwanangu, hawa mbele yako ni kaka zako, ni kama ndugu zako kabisa, hata siku moja usiwavunjie heshima” kisha akawaangalia Tall na Habi, “Vijana mmekua pamoja hapa mtaani kama ndugu. Msije mkalisahau hilo, na huyu binti ni mdogo wenu, mnatakiwa mumchunge na mumlee, nyie sio wa kugombana, bali mnatakiwa mshirikiane na pale mnapolemewa ss wazazi wenu tupo, mmenielewa?”, wakaitikia ndio mzee. Baba Habi hakutaka hata kuendelea kukaa, akamchukua mwanae wakasepa.

Ikabidi kikao kiishe. Mi na Tall tukaenda nje tukawa tunapiga story tu za kawaida, ila huko ndani tukawa tunasikia namna baba ake Tall na mzee wangu pamoja na maza wanavyo liadress suala la ukabila. Kimsingi waliiona hatari iliyoko mbele. Waliongelea namna ambavyo vyombo vya habari vinavyokuza uhasama na jinsi mpasuko unavyoendelea kukua. Mzee wangu ingawa ni Mhutu ila hakupendezwa kabisa na hali ya mambo. Baba Tall yeye alikua analalamika pia, lakini lawama zake kubwa ilikua kwa wakoloni. Kwamba sera za kikoloni ndo zimeleta hii migawanyiko. Baba Tall alikua anasema hata yeye inamuuma kuona wasomi wengi katika nchi wanatoka kabila lake ambalo ni wachache. Akasema inamuuma kuona hata pale hospitali anakofanya kazi, daktari wa kihutu ni mama yangu pekee, wengine wote watusi. Yaani wazungu walihakikisha watu wachache ndo wanapata elimu na kuacha majority bila huduma za msingi, na matokeo yake ndo hii mipasuko ya kikabila. “leo hii majirani tunashindwa kuelewana sababu tu ya makabila yetu, na huu ni mwanzo tu jirani, siku mbaya zaidi ziko mbele yetu" baba Tall alisisitiza.

Yale mawaidha ya wazee badala ya kuzima hisia zangu kwa Tall ikawa kama imezichochea. Kilichonisikitisha ni kuwa Tall alionekana kuanza kujiepusha na mm. Sasa sijui alikua anamuogopa Habi au ni yale mawaidha ya siku ile. Cha kusononesha zaidi, Tall akapata kidem kingine. Walah nlipojua kidogo nife kwa uchungu. Bt nguvu ya kumface ndo sina. Ingawa wazazi hawakunizuia kwenda kwao kusoma, ila ile ratiba ya kunisindikiza Tall akaistopisha. Tukimaliza kusoma ni bye, dadeki, mbona nlikonda.

Likizo ya christmass one day nipo kwao kina Tall tumekaa mezani tunasoma, ikabidi nivae ujasiri nimhoji,
“naona likizo hii unamiss dem wako" Tall akawa anatabasam tu huku kaendelea kusoma kitabu chake.
“Do u love her?”
“Yeah, hana mabwana wengi so am happy", ndo nikaelewa sasa, Tall alihisi mi natoka na Habi.
“Tall, nakuapia, you are the only one I love, nakuhakikishia kuwa Sijawahi kuwa na Habi na wala haitatokea", Tall akawa ananiangalia kama ndo ananiona kwa mara ya kwanza.
“Mbona ulikua unapokea zawadi zake, maana nshaambiwa kila kitu", nikakosa jibu maana ni kweli nlikua nazipokea.
“Kama usingeniacha mpaka sasa ungekua ushalala na mm na ukagundua hakuna mwanaume ambae amepata nafasi kwangu, that would have been the only way to prove myself to you”, it was an invitation wrapped in layers of lamentation. Nikabaki kimya kuona reaction yake.

Do u still love me" nlimuuliza baada ya kuona hasemi kitu. Tall akaitikia kwa kichwa. Na mm nikatulia. Nikawa sasa nasubiri muda wa kuondoka nione kama atanisindikiza, au la. Of course alinisindikiza. Tumefika nje ya home kwetu this time sikusubiri yy ndo aanze kunihug, I made the first move. Bt alichonifanyia Tall sitasahau. Ile nimemhug tightly, miili zero distance, kama nlivyotarajia mkono mmoja kaipeleka kifuani, yes, kamguno kwa mbaaali nkakatoa, nkahisi ile raha nliyoimiss, sema this time bwana, mkono mwingine kaupeleka takoni, ingawa ilikua juu ya nguo ila mpapaso wake na mminyo wake nliufeel kinoma.

Nikadhani ndo basi, kwamba zoezi limeishia hapo…. Bana,bana, si kaniletea mdomo wake kwangu, midomo ikagusana, akaanza kuninyonya lips, nlikua sjawahi kufanyiwa hii kitu. nliishiwa nguvu ndugu msomaji, nlikua nmesmama lakini nlihisi naelea, yani kama sikanyagi chini vile. Huku napigwa denda, huku napapaswa maziwa, halafu naminywa matako. Ile feeling mpaka leo sjawahi ifeel. Kiufupi sikulala sku ile, kimoyomoyo nikawa namshukuru dem mpya wa Tall kwa kumfundisha hiyo michezo. Mi nlikua sjawahi kukiss namna ile.

Mpaka tunafungua shule nikawa nishamrudisha Tall. Na this time sikutaka kujivunga. I wanted him all the time. Break time niko nae, luch time niko nae, yaani bampa to bampa. Ikabaki kutiwa tu. Na nlikua tayari anile. Tukawa tumepanga tutafute siku, sema wote waoga wa kwenda guest halafu kwetu hatuezi kufanyia maana kuna mdogo wangu na kwao kulikua na ndugu wengine. So tukawa tunasubiri tu opportunity. Ndo wakati tunasubiri yakatokea ya kutokea.

On 6th April 1994 Juvenal Habyarimana's plane was shot down. Just one man's death ikaleteleza yote haya. Nafananisha lile tukio la mauaji yale ya Archduke Franz Ferdinand wa dola ya Austria-Hungary kule Sarajevo. Ile siku pale home nakumbuka it was panic all over. Sio nyumbani wala kitaa. Kila mtu akawa anasubiri taarifa ya nini kifuatacho sasa. Tukiwa tupo pembeni ya redio, si ndo yakaanza matangazo ya ‘popote uonapo Mtusi, piga ua hao ndo Mende waliomuua rais wetu', within just few hours tukaanza kusikia vilio vya watu kupigwa njiani, ilianza kama utani, ila mpaka kufika jioni ikawa ni rasmi ndugu zetu watusi walikua wanasakwa wauawe. Nakumbuka nlijikuta nalia, nlimfuata mdogo wangu nikamkumbatia huku nalia, sikua nalia kwa ajili ya nchi yangu, nlikua nalia kwa kuwa sikujua kama mpenzi wangu Tall yuko salama.

Mida ya saa tano usiku tukasikia hodi. Sio hodi zile kama mnazopiga huku bongo za amani kabisa, hapana, ni ile hodi inayokufanya uhisi hofu na wasiwasi. Mzee akachukua panga lake mkononi akauliza, “nani?”, ingawa alijikaza asionekane weak mbele yetu, ila sauti yake ilijaa hofu kupindukia. Nakumbuka mama alituchukua akatupeleka chumbani kwake. Sikujua kinachoendelea mpaka mama alivyokuja kututoa.

Kufika sebuleni wa kwanza kumuona ni Tall. Sikuweza jizuia aisee. Nlimkimbilia na kumpa kumbatio moja matata. Machozi ya furaha yakawa yananitiririka. Yaani kama wazazi wetu walituamini tulivowaambia hatuna uhusiano, leo ilikua ni ushahidi kuwa tuliwadanganya. Baada ya kuhakikisha ni mzima, I sat beside him. As if naogopa atanikimbia. Ndo wakatusimlia yaliyowakuta yeye na baba yake. Baba Tall akasimlia akisema akiwa anatoka kazini ameshuhudia hali mbaya sana huko barabarani. Kwa kuwa alikua kwenye gari hakuweza kujulikana. Ila alipofika nyumbani hao wahuni wakaanza kutupa mawe juu ya nyumba, wakaona watoke, watafute mahali salama. Akashukuru sana kwa hifadhi.

Tumekaa nao pale siku tatu. Chumba changu wakawa wamewa baba Tall na mkewe. Tall akawa analala sebuleni. Mi na mdogo wangu na mdada wa kazi tunalala chumba kingine na baba na mama nao another room. Baada ya hizo siku tatu ni kama tukazoea, tukaona maybe the worse has passed. Weeeeee! Ndo kwanza vita ilikua imeanza.

Nakumbuka ilikua ni jumamosi. Ile kulala nyumba moja na mpenzi wangu alafu sipati nafasi ya kuwa nae ikawa inaninyima usingizi. Jumamosi hiyo nikaamua liwalo na liwe. Ile nyumba yetu ilikua inaeneo kubwa kwa nyuma ambako tulikua tunafuga ng'ombe wa maziwa. Sasa ilivofika muda kama saa tano usiku hivi kila mtu kalala nikaamka, mwilini mimejifunga kitenge tu ambacho nimekifungia nyuma ya shingo. Ndani nikawa na kichupi tu. Lengo ilikua leo lazma nimpe bikra yangu Tall usiku ule. nikaenda hadi sebuleni alipokua kalala Tall, nikiwa natamani denda tena. Nae hakufanya ajizi aliponiona aliamka akakaa, then akanisogeza alipo kaniweka mwilini mwake akaanza kutambaa na mwili wangu. Kile kitenge kikawa kimesogea kimeniacha mimi na rasilimali zangu zikiwa wazi. Nmelala pale pembeni yake, Tall akawa anajichagulia tu aguse wapi. Tako laini, maziwa dodo, kiuno telezi, paja angavu. Na hakjlaza dam. Nikaanza kutoa.miguno. akaona hapa tutadakwa, tukatoka nje, nyuma ya banda la ng'ombe. Sku iyo nadhani ng'ombe ilikua washuhudie video live.

Maana alivyofika tu nyumba ya banda, akatanua kitenge changu, utam wote unamuangalia. Kile kigiza kikatufanya tujiamini hakuna anaeweza kutuona. Muda huu kaanza kwa kunyonya chuchu zangu. Nikaanza hisi hali ya ajabu mwilini, Tall hakutaka kuchelewa, akapitisha mkono juu ya kitumbua, nikajikuta namng'ata, sio kwa hisia zile. Akashusha suruali nikajua sasa kifuatacho kutiwa. Akaninyanyua mguu mmoja, akaanza kuhangaika kuipitisha, inateleza tu. Kila akijaribu kitu hakikai sawasawa. Akaona haitawezana, akanilaza chini. Akanipandia, kwa juu, mi nishapanua miguu, ishara ya kumruhusu anitoboe, akaanza kuilengesha. Akapata kiupenyo kidogo, bt kabla hajazama ndani tukasikia sauti ya jiwe kwenye bati, Puuuuuuh!.

Tall akasimama fasta, akaninyanyua ili anirudishe ndani. Tushachelewa. Pale nje ya nyumba kukawa tayari na vijana kama 20 wakiwa na mapanga na mikuki. Tukabaki tumekumbatiana kwa uoga, uzuri giza lilikua limetuficha. Vijana wale wakaanza kupiga kelele “watoe hao mende!....watoe…watoe la sivyo tunachoma nyumba…..”, mi muda wote naogopa wasije jaribu kitasa cha mlango maana mlango upo wazi. Kama vile niliweka maneno kwenye ubongo wa wale filauni. Si mmoja wapo kaenda test kitasa. “pako waziiiiiiii", imagine nlivyofeel. Imagine zaidi Tall alivyofeel.

Group lote likazama ndani. Wakwanza kutolewa alikua baba, mama na mdada wa kazi wakawa wamepigishwa magoti pale mbele. Nikaishiwa nguvu nikakaa chini. Haikuchukua muda, Baba na mama Tall wakaletwa pia, wao wakalazwa kifudifudi. Then kakatoka kadogo kangu, kanalia tu maskini hakajui kinachoendelea, “mamaa……. Mamaa” kalikua kanaita kwa sauti wanayotumia sana watoto wa naokulia arusha. I wanted to go and take him, bt Tall akanizuia pale, nikaaa nalia tu kimyakimya. Yule dada wa kazi nadhani aliona hali ya hatari, alipopata upenyo akachomoka mbio za hatari. Akafukuziwa na jamaa kama wawili hivi wengine wakabaki pale.

Baba yangu akawa anajidai mwanadiplomasia, akawa anaanza kuwahutubia wale vijana kuhusu utaifa, wakaanza nae, akapigwa na kitu kichwani nikashuhudia my father akilala chali motionless, baba Tall akanyanyuka amsaidie rafiki yake, yeye hakupigwa sijui na kitu kizito, hapana, alikatwakatwa kama nyama buchani. I was sure he died there and then. Nikamkumbatia zaidi Tall. Mama Tall yeye akaanza kushout, shout yenyewe ilikua ni ujumbe kwa mwanae Tall, “Run my son, Run", alijua Tall atakua mahali anaangalia. Aliirudia hii sentensi kama mara tatu tu, nae akala shoka.la kichwa.

Wakamgeukia mama yangu sasa. “Huyu maza nae mmalizeni tu, hawa ndo vyoo vinavyotunza mende", likanyanyuliwa bonge la panga. I could not stay quiet. “Noooòoo!”, nikashout huku nanyanyuka nimfate maza. Tall hakuniruhusu, akanishika mkono akanivuta tukikimbia kuelekea barabarani, huku nyuma nikawa nasikia kelele za kukimbizwa.

That day nlijua ndo siku nnakufa. Ile tunafika barabarani ghafla tunakutana uso kwa uso na Habi. Tena hakua mwenyewe. Anakundi la watu kama 20 pia. Wote wana silaha za kijadi. Habi nae kawa mmoja wa wauaji. Tall aliishiwa nguvu. Akawa amenishika tu mkono. Wale vijana waliokua na Habi wakamzunguka wakimshambulia kwa maneno na mangumi. “muacheni" ilikua ni kauli ya amri ya Habi. Wale vijana wakatulia, wanamuangalia Habi kama hawamuelewi vile. “nimesema muacheni, huyu anataarifa muhimu za kumpa mzee". Ndo jamaa wakamuelewa. Akawa ametusaidia kutuokoa.

Habi akawa ametoa maagizo kwa genge lake ambalo yeye ndo alikua kama kiongozi waendelee mbele. Nikamwambia asante Habi, wala hakuitikia, wakatuacha pale. sisi tukapata upenyo wa kuendelea kukimbia. Kwani tulifika mbali basi. Kumbe kundi.lile lingine lilikua linatutafuta bado. Kama hatua kumi tu.mbele wakatunasa. I still remember the look in Tall’s face. Ni kama ilikua inarudia yale maneno aliyoyatamka Jesus, Mungu wangu Mungu wangu, mbona umeniacha.

Walivotufikia cha kwanza wakampiga mtama, chini. He went down without a single cry. Shoka la kwanza lilimkata begani, akawa anawaangalia tu wauwaji wake huku amelishika bega lake. Then panga la pili likamkata bega lingine, hapa akanigeukia mimi. Akaniangalia kwa macho yenye tabasam. As if ananambia stay strong. Ingawa bado mpaka leo Nashwindwa kuelewa alichotaka kuniambia in those final moments of his life. He just stared directly in my eyes. And then the final blow came. Direct kichwani kwake, shoka likatua. I could not watch it any further.

Nikasikia navutwa kwa nguvu………

Ndugu msomaji naomba niendelee kesho maana nikikumbuka hii siku mpaka leo najikuta nalia kwa uchungu.

Screenshot_20200503-125635_Google.jpg
View attachment Sayat Demissie Eskesher እስክሽር - (Official Audio).mp3
 
Attachments

  • Family Picture - Kim Jin Ho (English Lylic).mp3
    15.7 MB · Views: 7

View attachment 1503723View attachment 1503729
Ulivyomalizia..
nna hakika kuna watu wamemwaga, wamemaliza..
kesho watamalizia kukojoa
kuna watu wana hisia, hatari!
 
Kuna episode ya mwamba wa kuitwa Albert, naisubiri kwa hamu sana. Ako na mengi ya kutueleza kuanzia kumtapeli ras mke na kampuni, mpaka maisha yake huko aliko. Nadhani karma hajamsahau!
 
Back
Top Bottom