Cheaters: The Series

Kongole kwako KigaKoyo, Umekitendea haki kichwa cha habari cha simulizi hii.

Hii ni bonge la 'blue movie' kama 'producers' wakiamua kuifanyia kazi, NA inaendelezeka kuanzia ilipoishia.

Big up.
___
JB59
Thanks mkuu. Nikipata muda nitajaribu kuitafutia muendelezo. Its possible.

By the way, pamepoa sana huku mzee wangu. Kama una kisa chochote please share nasi...
 
Thanks mkuu. Nikipata muda nitajaribu kuitafutia muendelezo. Its possible.

By the way, pamepoa sana huku mzee wangu. Kama una kisa chochote please share nasi...
Kuna mambo yamenishika huku nchi jirani lakini siku si nyingi nitarudi Tz,

Nitakuwa mapumzikoni hivyo naweza kupata wasaa wa kuleta chochote kwa faida ya kizazi cha sasa.
 
Heloo there. huezi fanya namna tukapata kastori kengine, hata kafupi jamani....
Well, thanks for kunikumbuka. Shida nlikatishwa tamaa na hawa mods wa JF. Story unaandika then waiondoa. Ukiangalia mfano hii story ya cheaters, sehemu ya nne imeondolewa na hata sijajulishwa sababu.

Sasa nashindwa elewa mipaka ya uandishi ni ipi. Maana aina ya story nnazoandika unazifahamu, sometimes zinachemsha damu. So naeza jipinda kuandika ikaishia kapuni.

Ingekua sio hivyo ningekua nshadondosha nyingine.
 
Episode 14.

Zahra.

Hello good people.
Kama ambavyo nahisi mtakua mnajua ndugu wasomaji, mimi Zahra nlifunga ndoa. Lakini kabla na baada ya ndoa yangu na Rama, mambo mengi sana yalitokea, mazuri na mabaya. Ili tupate mtiririko mzuri wa hayo yaliyotokea kabla na baada ya ndoa yangu, naomba tuende kama ifuatavyo.

-----Takribani mwezi mmoja kabla ya ndoa----

Binadamu yeyote yule kaumbwa na tamaa. Na kimsingi tamaa ni moja kati ya vitu vilivyosababisha sisi binadamu kama viumbe, tufike katika kiwango hiki cha maendeleo na ustaarabu. Na mimi kama binadamu wengine, ninamatamanio kadhaa katika maisha yangu. Lakini tamanio moja ambalo linawaka katika moyo wangu ni siku moja kupata nafasi ya kufanya mapenzi na Ras. Najua tamaa hizi zilikaribia kuvunja undugu na heshima tuliyoijenga kati yetu, lakini kiukweli nimeshindwa kabisa kuitoa hii picha kwenye akili yangu. Nimejaribu kila niwezalo niweze kulishinda hili ila nimekwama. Kinachozuia kuzifanyia kazi hisia zangu ni heshima niliyonayo kwake. Pamoja na kua ni mwanamme ninayempenda, Ras ni kama kaka yangu, na sitafanya chochote kitakacho vunja hii heshima niliyonayo kwake. So the only option iliyobaki ni kusubiria, huenda siku moja atagundua, mwanamke pekee anayempenda kwa dhati, is only one knock-on-a-door away from him.

Yaliyoandikwa hapo juu ni maneno yangu niliyokuwa nimeyaandika kwenye diary yangu siku ya leo. Ndoa yangu tumepanga iwe wiki ya mwisho ya mwezi ujao. Nikikumbuka hili, najikuta nakosa raha na sometimes natokwa machozi. Naolewa kwa kuwa Ras kama kaka yangu ameniomba sana niolewe. Kwamba itawafanya wazazi wangu huko waliko wafurahi. Lakini kilichonifanya hadi nikubali kuolewa ni Ras mwenyewe aliposema kati ya vitu ambavyo vitamfanya ajisikie vizuri ni kama mm nikiolewa. Ningekataaje kwa mfano. I just had to say yes.

Asubuhi ya leo, kama ilivyokua jana mvua kubwa inanyesha, lakini pia, kama ilivyokua jana, Ras and Da’ Zoya asubuhi ya leo were having sex. Na kama ilivyokua jana, asubuhi ya leo nlikua nasikia kelele za Da’ Zoya kuonesha mechi inayopigwa huko ndani sio mchezo. Lakini asubuhi ya leo kimeongezeka kingine, pamoja na kusikia tu mechi yao, nimeishuhudia live walau kwa dakika chache.

Sijui Ras alikua kalewa bangi, maana ile mi natoka kwenda washroom, naona mlango wa kutokea nje kupitia jikoni uko wazi. Nlipousogelea ndo nawaona wanakatikiana kwenye mvua, dah. Nlijisikia aibu lakini iliyochanganyika na ham ya hatari. Nikawaacha waendelee na yao, mm kama kawaida nikarudi room kujipa raha mwenyewe. I wish Rama ambaye ni mume wangu mtarajiwa atakua ananila vizuri kama Ras anavyowala madem zake. Maana sio Zoya wala Shubi, wote huwehuka wakiwa chumbani kwa Ras.

Ingawa siku ya leo ilianza vizuri kwa Ras, ila sijui nini kilitokea kati yake na Da’ Zoya. Maana baada ya kumsindikiza airport, Ras alivyorudi alikua hana raha kabisa. Baada ya kuona chakula nlichompikia hakichangamkii kama kawaida yake nikimpikia pilau, ilibidi nikae pembeni yake nimuulize kwa upole kama kuna kitu kinamsumbua.
“we acha tu mdogo wangu, mapenzi haya sina bahati nayo” ndo lilikua jibu lake.
“Ila Da’ Zoya anakupenda shem, na inaonekana unampenda pia, so whats the problem?”
Ras akatulia kwa muda bila kujibu. Akaniangalia kwa sekunde kadhaa, kisha akajiegemeza vizuri kwenye sofa alilokalia. “Zoya ndo anaenda kuolewa, muda wote huu nlikua nafikiri nikimuonesha namna gani nampenda atamuacha huyo mchumba wake, ila inaonekana kachagua pesa Zaidi ya mapenzi ya kweli”.

Of course, nlikua najua Da’ Zoya anamchumba, tena wa miaka mingi tu. Na nlikua najua mchumba wake kicheche tu maana alishanitaka hata mm. so siku zote nliamini kwa namna nnavyo mfaham Zoya, hawezi kubali kuolewa na yule bwana ake. So kusikia Zoya kaamua kufunga ndoa na yule bazazi, hata mm nlikua shocked. Nlifikiria niseme nini ili nimpooze machungu Ras, but sikua na maneno ya kumwambia. Nlichofanya kwa kuwa nlikua karibu yake nikauchukua mkono wake mmoja nikaushika kwa mikono yote miwili juu ya miguu yangu. Ingawa kiuhalisia kwa hali aliyonayo alistahili kupata hug, ila ujasiri wa kumhug Ras sikua nao.

“looks like ntaishi alone for the rest of my life”, Ras aliendelea kuongea huku akitoa tabasamu. Tabasamu ambalo nlijua limebeba maumivu na sio furaha. Nlimhurumia, ingawa yy hakua ananiangalia, ila muda wote tunaongea macho yangu hayakubanduka usoni kwake. “Usiseme hivyo Shem, I will always be here for you”, nlivyomwambia haya, Ras akanigeukia na kunipa jicho lile la kama kuniambia ‘you are just saying that to make me feel good’. Nlichofanya nikaukamata vizuri Zaidi mkono wake, “I am not joking Ras, unajua wazi naolewa just because wewe ulipenda iwe hivyo, niko radhi kuahirisha yote so that I take care of you”.

Ras, alitabasam Zaidi aliposikia hivi. Akanikaribia Zaidi na kunizungushia mikono yake mabegani kwangu, “Usijali Zahra, I will be okay. Get married and be happy with your own family”. Maneno yake yakaniuma. Nikaanza kutokwa machozi kimyakimya. Sikutaka anione nikilia, so nikamkamata vizuri ili kidevu changu kiegemee mabega yake. “okay”, nikamjibu kwa kujikaza. Ras akaanza kunishika nywele kama ananibembeleza hivi. Nikajikuta nasahau majonzi yangu na yake. Nikaanza kupata shida katikati ya mapaja. Nikatambua kabisa kwa nyege nlizonazo juu yake, nikiendelea kukaa hapa ntamvunjia heshima. Nikajibandua mwilini mwake nikasepa room.

Nikiwa chumbani nikachukua diary na kuongezea matukio ya siku ya leo. Na namna alivyonifanya nefeel alivyonishika nywele. Ndugu msomaji usijedhani labla nina hobbie sana ya kuandika diary kila siku. Hii ni moja kati ya strategy nlizoamua kuzitumia ili kumfikishia Ras ujumbe. Ilikua kila nikitoka hapa home hii diary naiacha juu ya kitanda, nikitumaini kuwa Ras akiingia atatamani kujua kulichomo na huenda akaamua kunipa nnachotaka. Strategy nyingine ya kumnasa Ras nliipata baada ya kuangalia movie moja hivi ya wakorea. Kupitia hiyo movie nilitambua kuwa mwanaume ambaye ameku friend-zone au ameku ndugu-zone, ataanza kukupa attention pale tu utakapoanza kuwa karibu na mwanaume mwingine. So nikapanga namna ya kuwa karibu na mmoja wa guys ambaye alikua ananifuatilia kitambo.

---------Mwaka mmoja kabla ya ndoa---------.

Rama alianzaga kunifukuzia kitambo sana. Since tuko chuo. Yeye alikua ni mfanyakazi katika idaya ya uhasibu kwenye chuo nlichokua nasoma. Nakumbuka first time mimi kumuona ilikua kwenye foleni ya kupeleka risiti za malipo ya ada ili nipewe kitambulisho cha kufanyia mtihani. That day nlikua niko period, na maumivu yake ndo yalikua yamepamba moto. Kwa kuwa ndo ilikua siku ya mwisho, watu walikua kibao na nisingeweza kutoka kwenye line so ilinibidi niwe navumilia tu maumivu huku line ikisonga taratibu mno.

Kuna muda nlisikia bonge moja la pain, nikawa nimejishika tumbo huku nimefumba macho na kukunja sura, ile nafungua macho nakutana na macho ya Rama ameniangalia. Kipindi hicho sikua namfaham, ila alikua kavaa kitambulisho kuonesha ni staff. Rama akanioneshea ishara kuwa nimfate. Akaniongoza hadi ndani ya ofisi zao, akatoa maelekezo nisaidiwe maana naonekana naumwa, then akaniacha pale. Sikumuona tena that day, ila baada ya siku mbili nikakutana nae getini. Nikamsalimia fresh akaitikia. Nlipotaka kuendelea na mishe zangu, akanistopisha, tena nakumbuka nlikua na Shubi that day. niliposimama kumsikiliza, akaniomba namba ya simu, wakati nasita kutoa, Shubi akaitaja kwa sauti namba yangu, ndo mawasiliano na Rama yalipoanzia.

Sikutakaga kabisa kumpa hata matumaini, so nlikua nampa makavu kabisa kuwa asahau kuwa na mm kila aliponitamkia nia yake ya kufunga ndoa na mimi. Ila Rama hakukata tamaa kabisa. Mpaka namaliza chuo akawa bado ananiomba nimfikirie na kuwa hana nia mbaya na anachotaka ni kuanzisha familia na mm. Ndo wazo la kuwa na mtu ili nimrushe roho Ras likanijia. Walikuepo wanaume wengi wanaonitaka, ila mtu pekee ambaye ningeweza kuwa nae na nikampa masharti ya kutoniomba game mpaka tutakapooana na akakubali ni Rama peke yake.

So nikaanza kuwa nampa attention Rama. Akinipigia napokea, tena nahakikisha naenda kuongea nae sebuleni na kujichekesha chekesha mbele ya Ras ili ajue upande wa pili kuna lijamaa linalegezewa sauti. Siku nyingine namwambia anifuate home, na kabla hajaja nitajipamba vya kutosha, marashi kama yote yani. Ras akiuliza namwambia natoka out na Rama, bt ntawahi kurudi. Ras akawa anaitikia tu sawa. Ikafika kipindi baada ya miezi kadhaa, nikaona Ras kama hajali, tena ndo kwanza ananisifu kwa kupata a good man. Na to make matters worse awa ananishauri nimwambie Rama aanze mchakato wa kuhalalisha mahusiano, yaani ndoa. Dah. Plan ikawa inanitokea puani.

Nlipoona Ras habadili hisia zake kwangu, ikabidi hii project niipige chini. Ila ndo Rama akawa kashakolea juu yangu. Nlimuonea huruma ila sikua na namna nyingine Zaidi ya kumwambia tupigane chini. Baada ya kuona juhudi zake za kunirudisha zinagonga mwamba ndo ikabidi aongee na Ras. Ras kanikalisha chini na kunishawishi niwe na Rama. Eti anamfahamu ni kijana katulia sana, na mambo mengine mengi hasa kuhusu yeye mwenyewe atakavyo jisikia nikiolewa na Rama. Uchumba ukaanza rasmi mimi na Rama. Ilikua ngumu mno, mno, mno kuuambia moyo wangu ukubali matokeo. Na ndo tangu kipindi hicho nikawa naandika diary, ili walau siku moja Ras akiisoma aone kila nlichoamua kufanya is to make him happy.

---------Siku mbili kabla ya ndoa----------

Kadri siku zilivyokua zinasogea ndivyo hali yangu ilivyokua inazorota. Mpaka kufika siku mbili kabla ya ndoa nikawa siwezi tena vumilia. Nlijua kila kitu kimeshapangwa, wageni washaalikwa, zawadi zishaandaliwa, mahali ishalipwa, yaani kila kitu kilikua tayari, ila kuna kitu kilikua kimenikaba kooni, kama kaa lamoto likinichoma. Nlijua mimi mwenyewe ndo wa kulaumiwa, maana nimeacha mpaka mambo yamefikia hapa, ningekataaga hukohuko mwanzo. Lakini part ya lawama nlimuangushia Ras. Alipaswa kutambua hisia zangu juu yake. Lakini hata kama hana hisia hizo kwangu, alipaswa aniruhusu nifanye maamuzi ambayo naona mimi kuwa yatanipa furaha. Sasa maisha gani ya kwenda kuishi na mtu nisiyempenda, nitawezaje jamani.

Nakumbuka ilikua ni jioni, Ras akawa amerudi kutoka kwenye mizunguko ya kufanya final preparations za harusi ambayo kimsingi ilikua inafanyika hapahapa home. Alinikuta nimekaa kwenye sofa, uso ukionesha kabisa kuwa nimelia karibia siku nzima ya leo. Hata chakula sikua nimegusa. Alivyoniona alijua kabisa siko vyema, na amekua akilijua hili kwa wiki kadhaa sasa. Na kama kawaida yake, aliamua kukausha as if haoni siko poa. Ile anataka kupitiliza room kwake, nikamuwahi kwa kumuita, “Shem, I don’t feel right about this. Please call off the wedding, siko ready kuolewa na Rama”. Ras alisimama kimya kwa sekunde kadhaa, then akasogea nilipokua nimekaa.

Akiwa kasimama akaanza kunisomea risala, na kipindi hiki haikua sauti ya kunibembeleza, he was angry. “Umekumbwa na shetani gani we Zahra, unataka wahuni waje wakuharibu ndo ufikirie kuhusu ndoa? Na ni kitu gani kinachofanya usitake kuolewa? Siku zote nakwambia unavyojisikia ni kawaida kwa mtu yeyote, ni uoga ambao unapaswa kuupotezea, sasa wewe endelea kuulea”, Ras alimaliza huku akianza kuondoka. Nlijikuta nalia Zaidi, “tena unyamaze, na nikitoka chumbani nikute hicho chakula ulichopika mchana umekila chote, umenisikia?”, Ras aliongea kwa hasira na akatulia kusubiria jibu, “umesikia?” aliniuliza tena kwa ukali baada ya kutopata jibu, “ndiyo Shem”.

Of course sikutaka kumuudhi. Nlijitahidi nikala, then nikaenda kujifungia room. Nimekuja kupitiwa usingizi usiku wa manane. Hata ndoto nazo zikawa za mauza uza tu. Nikaona hapa tena sina namna ya kuchomoka kwenye huu mtego. Nikatamani nizuge naumwa, ila nlijua wazi Ras atajua kabisa nazuga, na itamuudhi. So kesho ndo naolewa hivyo, yaani mtego nlioutega umeninasa mwenyewe, dah.

Nimekuja stuka saa nne asubuhi. Ni Ras ndo aligonga mlango wangu kuniambia niamke ninywe chai. Ikabidi niamke kivivu nikaenda kwanza kuoga ndo nikatoka kupata chai. Ila nlihakikisha nlipomaliza tu narudi kulala, I was not in the mood kabisa. Nikiwa kitandani vichozi vikinitiririka, nikasikia Ras anagonga tena, “may I come in Zahra”, aliniomba kuingia room kwangu. “yeah karibu shem”, nlimjibu huku nikijifunika vizuri blanketi asije akaniona nusu uchi maana nlikua nimepunguza nguo nikipanda kitandani na kubakiwa na kichupi na sidiria.

Ras aliingia akakaa kwenye kitanda. Wakati huo nimegeukia ukutani maana sikutaka kumface. “Mbona uko hivyo Zahra, unafanya nijisikie guilty, as if nakulazimisha uolewe, au labda kuna faida mm ntapata wakati hii ni kwa faida yako mwenyewe” Ras aliongea kwa upole leo. Ila sikua na lakumjibu, nliendelea kukaa kimya ili nimpe nafasi anipe hayo mawaidha aliyojiandaa kunipa. “why hutaki kuolewa na Rama?” ilibidi aniulize swali baada ya kuona kimya cha muda. “simpendi Rama shem”, nlimjibu kiufupi ila kwa heshima, “lakini Zahra, ni wewe ndo ulikuwa unampenda kipindi kile, kitu gani kilikubadilisha mawazo, au kuna mtu mwingine unampenda?”, Swali la Ras lilinifanya nianze kulia upya. Nlitamani nimwambie kuwa its you, ila sikuweza. Kilio changu kikamfanya ras anishike bega anigeuzie upande wake, blanketi nlilojifunika kidogo liniache wazi, ila likabakia likinisitiri, ila ningejisogeza nyma kidogo tu Ras angeona mwili wangu.

Nlipomgeukia, akaanza kunibembeleza kwa kunipapasa nywele. Ila kila nikiwaza kuwa huenda ndo mara ya mwisho Ras ananishika nywele, kilio kinaongezeka. Alivyoona situlii, ikabidi anihug, ila ili anihug ilibidi alale pembeni yangu. Bahati mbaya katika kunihug na mimi kujiweka vizuri blanketi likawa halinitoshi, maana kwanza amelilalia so hata kulivuta ili linifunike vizuri ikawa ngum. Bt Ras hakuonekana kustukia, maana mikono yake yote miwili ilikua kama imekikumbatia tu kichwa changu. Na mm kwa kutotaka kujivunjia heshima kama siku ile alivyonizabaga kibao, mikono yangu nikawa nimeikusanya tu kifuani kwangu. “nambie ukweli, kuna mtu ulimpenda ukaamua kumuacha Rama”?, kilio changu nadhani kilifanya aamini kuwa kuna mtu labda namlilia. Ikabidi nikatae kwa ishara ya kutikisa kichwa. “are you sure? Sasa mbona unakua hivyo mdogo wangu. Just tell me whats wrong, maybe pamoja twaweza solve”.

Ikabidi nijikaze. Huku nalia nikamwambia, “its you shem, naona kama nakuacha mwenyewe”, maneno yangu yalimfanya anikumbatie Zaidi. Mkono wake mmoja sasa ukawa mgongoni kwangu. “Usiniwazie mimi Zahra, mi ntakua fine. Think about your happiness first”,
“but what if my happiness is with you”, taratibu nikaanza kujitoa ufahamu, liwalo naliwe. Hata hivyo kesho sipo hapa.
“what do you mean Zahra, furaha yako ni kuwa na familia na watoto wako na mume wako”, nikajikuta naanza kulia kwa sauti sasa baada ya kusikia sentensi hii. Why is he making this so hard for me? Nikiwa nalia nikajikuta naropoka katikati ya sauti ya kilio,
“Furaha yangu ni kuwa na wewe Shem, I love you still, I love you so much”, kama ni mtama nishaumwaga. Nikawa nasubiria vibao kama siku ile. But Ras alitulia kimya as if hajasikia chochote. Mi mwenyewe nikawa ile hali ya kulia imeisha, nipo tu nasubiri adhabu. Ile hunihug kwa nguvu kukawa kumepungua, yaani akawa amenilegeza kiasi. Nikajua anajiandaa kusepa zake.

Nikasikia ule mkono uliokua mgongoni ukishuka slowly hadi kwenye pindo la chupi. Nikawa kama sielewi kinachoendelea. Then slowly mkono ukapita juu ya chupi hadi kwenye paja. Ikabidi nimuangalie, as if kumuuliza, ‘for real?’, bahati mbaya macho yake alikua ameyafunga. Alivyorudisha mkono wake kwenye tako langu, nikasmile. Nikamsogelea vizuri. Nikampa lips. Akazipokea. We kissed so passionately. Sikua naamini kinachotokea, ila nikasema kama ni ndoto basi itabidi nihakikishe naliwa kabla hakujakucha au ndoto kuisha kabla sijaonja.

Nlichofanya nikaitoa chupi nliyokua nimevaa, then nikamkamata kama nambeba ili aje juu yangu. Sikujali amevaa shati na pensi, I just wanted him juu yangu. Nikiwa bado nafurahia denda, Ras akawa anapapasa vilivyo makalio kwa pembeni. Na nlikua tayari nishatanua miguu kumpa nafasi. Ras hakuremba, nliona mkono wake mmoja akiupitisha kati yetu, then nikahisi dushe yake ikinipapasa kwenye nanlii yangu kama mara tatu hivi, then nikaifeel ikipenya, “oooh, shem”, nikajikuta naacha kumkiss kuusikilizia mshedede ukipenya sentimita baada ya sentimita. Akaanza kunitwanga ile slow motion. Nlijikuta machozi ya furaha yakinitoka ndugu msomaji.

Sikujua hasa ni nini kilimfanya Ras anile. Ni huruma kwangu kwa jinsi nlivyokua ninasononeka? Au ni kwa kuwa na yeye alikua lonely baada ya kutemwa na mademu zake wote wawili, au ni ugwadu tu alikua nao so kama mwanaume akajikuta kanila. Vyovyote ila kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi ya kumtunzia, yaani since nimeliwa na yule mume wa anti yangu, leo siku moja kabla ya ndoa yangu, nikaliwa na mwanaume ninayemfeel ile kinoma. Zile hisia za mapenzi yangu kwake, na ile hali ya kuwa nimemsubiria kwa muda mrefu, ukichanganya na hali ya baridi iliyokuepo, nlijikuta nainjoi sana game ya Ras. Ndo maana wenzangu walikua wanalia hahaha, kumbe tam hivi. Ila mm nlikua nainjoi kimyakimya.

Baada ya kunimwagia huko ndani, akabaki juu yangu kama dakika tatu nyingine. Sijui alichokua anawaza. Ila baada ya kujichomoa, mi nikashuka ili niende bathroom, ila kabla sijatoka nikatoa ile diary yangu nikampa asome. Mpaka natoka bafuni akawa bado anasoma tu, nikavaa chupi nyingine huku juu nikavaa sweater lililoishia chini kidogo ya matako, then nikaenda jikoni kuandaa msosi. Nimekaa jikoni Zaidi ya saa moja, ndo ras akaja. Nikajua ndo atakua kamaliza kusoma ile diary.

Alichofanya, alinifata mpaka nilipo, akanihug tena, hakua na haja ya kusema lolote. Alinivua lile sweater akanishusha na chupi, then ndo akanipa mambo sasa yaliyofanya akina Zoya walie. Ile room alikua ananionea huruma nadhani, round hii nilikazwa nikakazika, bila kujielewa nikajikuta na mm nazipiga zile kelele. Kimsingi siku nzima ya leo ilikua ni kulana. Tukajikuta hatuongelei hisia zetu wala ndoa ya kesho. Tulikua tunapiga stori, tunacheka, tunajibu simu zinazohusiana na sherehe ya kesho, then tunakulana. Cha msingi aliniomba tu nisisitishe ndoa, na wala sikua na shida, he already gave me what I wanted, na nlijua ingawa hasemi, ila siku nikihitaji ntamfata.

Usiku wa kuamkia siku ya ndoa ndo siku nliyofaidi mapenzi Zaidi katika maisha yangu. Ilifika muda nikawaza kuwa hiyo Kesho Rama atastukia akiniingizia, so nikapanga kumwambia kabisa naumwa tumbo ili asiniguse walau siku tatu za mwanzo. Hadi asubuhi imefika, mi bado nataka mambo. Mpaka mgeni wa kwanza anafika pale home ambaye alikua mtu wa kunipaka hina, ilikua bado namkatikia Ras, tulimsubirisha nje kidogo mgeni, mpaka Ras alivyonikojolea ndo akaenda kumkaribisha, wakati huo mi nikaenda bafuni.

Siku ya ndoa nlikua na furaha kinoma. Sio Rama tu alienishangaa ila hata wageni wengine kama Da’ Zoya mwenyewe hadi akaniuliza mbona nafuraha, nikabakia kutabasam tu. Kuna muda baada ya ndoa ile jioni tukawa wote watatu tumekaa pamoja, mimi, Shubi na Zoya, nikawa nawaza bahati aliyonayo Ras, kula madem wakali namna hii. Baada ya sherehe mi na mume wangu Rama tukawahi kuondoka, watu wakahisi tunawahi kwenda kula tunda, wangejua naumwa tumbo hahaha. Ila kabla ya kuondoka nliongea na Shubi kiasi. Kama kawaida yake kulialia kuhusu kumpenda Ras.. mi nikawa namchana live, nikamwambia kama anampenda angemuacha apigwe vumbi huku moshi wakati anaaccess na ikulu?, yaani angeweza muombea hata nafasi ya ubalozi Ras akapumzike aote shavu, shubi anaishia kujichekesha tu hata haeleweki.

--------Miezi saba baada ya ndoa-------

Jamani eeh. Nina mimba ya miezi saba. Na ingawa kuna uwezekano mimba ikawa ya Rama, ila ninavyofeel kabisa hii kitu ni ya Ras, nasubiri tu baada ya kujifungua nipate uhakika. Ras na mm tunawasiliana karibu kila siku. He is so lonely. Na huku kuwa lonely kwa Ras kukawa kunanifanya nitamani niende kwake mara kwa mara, ila mara zote Ras akawa ananikataza,, na aliniweka wazi kabisa kuwa as long as ni mke wa mtu sitakiwi kucheat, sio na yeye au yeyote mwingine. Shida nyingine, ndoa yangu ikawa inanibore, yaani nlikua naishi tu ilimradi siku zisogee. Yaani maisha haya ndo natakiwa niyaishi forever, mbona ntakoma. Rama hakua mwanaume mbaya, he took care of me very well, ila sikutokea kumpenda. Na ilifika muda hadi yeye alijua.

Kitu kingine kilichotokea ni kuwa baada kama ya miezi mitatu baada ya kuolewa, Da’ Zoya alinipigia simu. Cha msingi alichoniambia ni kuwa yeye ni mjamzito na mhusika ni Ras, sikua na shida na hilo ila sikujua dhamira yake ya kuniambia. Then akaniambia kwa kuwa mimi ndo dada wa Ras, angependa nimlee mwanae, maana yeye hanaga mpango wa kuwa na mtoto na hiyo mimba iliingia tu bahati mbaya. Nlishtuka, inawezekanaje mwanamke ulee mimba miezi tisa then umgawe mwanao. Ila ndo madhara ya kuishi kizungu hayo. Na huenda ndo maana hakua anataka kuolewa na Ras maana Ras anapenda watoto. Ingawa alinambia nisimwambie Ras hadi atakapojifungua, ila ilibidi nimwambie. Sijui waliongea nini wenyewe baada ya hapo.

Kipindi Zoya anajifungua ikabidi nifunge safari hadi dar. Tumbo langu nalo lilikua lishakua kubwa, ikibaki miezi kama miwili au pungufu nijifungue. Baada ya Zoya kujifungua kwa operation, nikaamini kuwa kweli hamtaki mwanae, maana hakutaka kunyonyesha, ilikua ni full maziwa ya formula. Wiki tu baada ya kujifungua akanambia naruhusiwa kuondoka nae, duh. Ikabidi nimweleze kuwa kwa umri ule bado ni mdogo sana, asubiri walau nijifungue pia ili niwe nao wote pamoja, ndo akakubali. Ila ile kukaa nae ule mwezi, niligundua Da’ Zoya kakonda sana, ule uchangamfu na uang’avu wa sura haukuepo tena. Na kuna muda nlikua nahisi kama ametoka kulia. Sikua najua kinachomsibu, mpaka one day alivyoniweka chini kunipa mkasa wa kinachomsibu.

Nilishtuka kinoma. Sio kwa ajili yangu tu, ila Ras. Sikujihofia mimi kwa kuwa wakati wa mwanzo wa ujauzito wangu nilipimwa na kukutwa niko salama. So Mungu aliamua kuniepusha, huenda ili niwalee hawa watoto wa Ras. Zoya aliniomba nisimwambie chochote Ras kwa sasa hadi pale nitakaposikia yeye Zoya amefariki, na ikifika hiyo siku, nimuombee msamaha kwa Ras, maana hakujua na kama angejua katu asingemuambukiza virusi. Kiukweli nilichanganyikiwa hasa.

Baada ya wiki kadhaa mbele na mimi nikajifungua. Zoya alivyokuja kuniona, alikaa na sisi kama wiki mbili then akaniachia mtoto. Akaenda kusikojulikana, maana hakua anapatikana kwa simu wala email. Ras alimsaka kila kona, Zoya aliuza kampuni zake zote, magari na mali zake zote hela akaziweka kwenye account ya Ras. Yaani Zoya alipotea, tukaamini kaenda labda uswisi kumsaka Diop. Siri ya ugonjwa wa Ras nikabaki nayo mwenyewe, hata yeye hajui. Watoto nikawa nawalea wote kama mapacha.

------Miezi 18 baada ya ndoa------

Mnakumbuka maneno niliyomwambia Shubi kuhusu kutomsaidia Ras? Kumbe yalimwingia aisee. Ras akateuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Afrika ya kusini. Nikampigia kumshukuru Shubi, nikamwambia kama kaka yangu asingekuvua chupi angepataje neema kama hizi, tukaishia kucheka. Siku ras anaapishwa ikawa kama family reunion nyingine. Ndo siku nimekutana tena na Marga na mwanae pamoja na mume wake Albert. Albert alifanikiwa kulikuza lile shirika alilolianzisha Ras, na kwa sasa linajihusisha na usomaji wa vitabu Afrika nzima sio tu Tanzania, so Mungu amewajalia wako vizuri. Ila yule mtoto ukimuangalia ni wa Ras kabisa, kama wangu tu. Tofauti ni kuwa Albert huenda anajua kabisa mtoto sio wake, ila Rama mume wangu hana idea. Baada yakuapishwa Ras akaenda zake sauzi. Ila mi nikabaki na ile hali ya kuona kama akipatwa na maradhi huko aliko nani atamsaidia, heri angekua hapa hapa nchini ingekua rahisi kwangu kumhudumia.

Nlijua wazi kuwa Rama asingekubali nikakae na watoto sauzi nimuache alone. Suluhisho pekee ni kama atanipa talaka. Ili kufanikisha hili ilibidi niwe muwazi kwa Shubi. Tena ili aelewe vizuri nilimpa ile diary asome. Ingawa alishtuka ila akaniambia hajashangaa. Kwa kuwa sisi sio ndugu, ilikua very natural kwangu kudevelop feelings kwa Ras, akamsifu Zaidi Ras akisema huenda hata yeye alikua ananifeel, sema alijizuia kwa kuwa alinichukulia kama mdogo wake.

Kuhusu suala la talaka akaniahidi kunisaidia. Ingawa akaniweka wazi kabisa kuwa nikisikia nayeye analiwa na Ras nisishangae maana ingawa anataka kufunga ndoa na prezidaa akistaafu, ila haimzuii kuliwa na Ras akipata chance. Kwakuwa nlishavumilia wakiliwa na huyohuyo Ras nikiwa nimelala chumba cha jirani, sikuona kama nitashindwa. Na sikumwambia kuwa Ras mgonjwa, so akiyafuata atayapata, au huenda tayari anao.

Kwanza kikatafutwa kidada kitam balaa kikaajiriwa ofisi moja na Rama (kwa msaada wa ofisi ya prezdaa) kikaanza kumtega. Na ili ategeke, ilitakiwa mm nianze visa huku ndani, so nikawa natumiwa msg kuonesha nina mwanaume mwingine ambazo kimsingi zilikua zinatumwa na Shubi mwenyewe. Mwanzo Rama akawa anazipotezea hata haulizi. Baadae akaanza kuhoji, mi namjibu short tu. Baada ya visa kuzidi nikaanza kuona mabadiliko ya ratiba zake, nikajua plan A ishaanza kufanya kazi. Kilichofuata ni fumanizi ambalo kimsingi tulikua tumeliset. Hakua na namna Zaidi ya kutoa talaka.

Nikachukua wanangu nikasepa zangu sauzi. Mwanzo nikawa nachukua tahadhari kubwa tukiwa tunatiana na Ras, siku zote nilimvalisha ndom, ili niwaprotect wanangu wanaonyoya. Mpaka siku Ras akastuka, why najilinda namna hii. Nikawa namwambia simuamini Rama, maana mtu mpaka namfumania inawezekana kaniambukiza maradhi. Ndo akasema basi tukapime ili tujue. Nikakataa katukatu, sikutaka ajue hali yake. Mpaka siku moja alivyonichukua nikidhani tunaenda mahali tu pengine, nikashangaa tunaingia hosp. kweli tukapimwa, na kama nlivyotarajia, mimi niko salama. Majibu ya Ras kuja, negative.

Nilishangilia utafikiri ndo majibu yangu, na asante Mungu kibao. Mpaka Ras akastuka, nikamtoa wasiwasi kuwa nimefurahi tu wote tuko safe. ikabidi nimpigie Shubi, nikamuweka wazi kila kitu sasa. Akaniambia hii inawezekana, maana mwanaume kupata asilimia zinapungua kidogo, nikamwambia lakini hawa wamekulana muda mrefu sana, akawa ananiambia tu its possible.

Baada kama ya miezi miwili hivi, Shubi akanipigia akaniambia alimuomba prezdaa kufuatilia hosp aliyojifungulia Zoya, na watu wake wa usalama wamemwambia madaktari karibu wote pale wa idara ya mama na mtoto walihongwa na mfaransa mmoja anaitwa Diop ili wampe majibu fake Zoya. Na uchunguzi ulienda mbali Zaidi kugundua hospitali zote Dsm jamaa alihakikisha anaset mambo ili popote atakapoenda majibu yawe positive. So kimsingi Zoya is negative.Nililia ndugu msomaji. Maisha ya binti mzuri mwenye potential kama Zoya yameharibiwa kirahisi tu na mwanaume mmoja. Nikatamani nimjulishe Zoya ila ndo hivyo hakukua na namna ya kumpata.

Oneday niko zangu napitia habari za home Tanzania, nikaona habari kuwa afisa wa jeshi la Rwanda ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Tanzania alipokua anarudi hoteli aliyofikia baada ya kutoka kwenye mkutano akiwa kama mmoja wa member wa msafara wa rais wa Rwanda. Habari zikasema mwanajeshi huyo aliyekuwa afisa wa polisi kipindi cha utawala uliopita, alishawahi kutuhumiwa kwa mauaji ya watusi na wahutu wenye msimamo wa wastani na mahakama za kijadi zilimtia hatiani, lakini baada ya mwaka mmoja akapata msamaha wa rais na kujiunga na jeshi. Nikawa namsikitikia tu, then simu yangu ikaingia msg, “Hi Zahra, thanks for taking care of my babe. Am safe. don’t look for me”.

Nikajua direct ni Zoya. Kuipiga ile namba ikawa haipatikani tena. Tuma text kama zote, ila nikajua keshaivunjavunja hiyo line. Matumaini ya kumuona tena Zoya yakawa hayapo. Ingawa ikawa ndo kawaida yake, kila baada ya miezi sita ananitumia ujumbe then kabla sijajibu anapotea. Kuna ujumbe alisema ikitokea miezi sita imepita hajanitrxt, basi nijue keshakufa.

Baada ya muda, Marga alikubali kutupatia yule mtoto mwingine wa Ras, na hii ni baada ya wao pia kubarikiwa kupata watoto mapacha.

I just hope one day nitamuona tena Zoya, au walau apime tu tena ngoma huko aliko ili aishi kwa uhuru. Until then, I pray for her health, and I will take care of her child as if it is mine.

---------------------The end-----------------

Wasalaam,

Kiga.

View attachment 1517634
Story tamu bruh upo vizur best
 
Mhaho ndo huu sasa
Episode 8.

Ras.

Wapi msuba kwanza? Maana sio kwa kuvurugwa huku. Nimevurugwa sio kitoto mazee. Nahisi nahitaji kutuliza akili ili niweze simulia vizuri yaliyojiri. Katika hii simulizi kuna muda mm ndo nlijiona stelingi, ila mpaka mda huu dah, nahisi nimekua mpira tu, watu wanaenda uwanjani wanasema wanaenda kuangalia mpira ila kumbe wanachoenda kuangalia ni wachezaji. Haina noma lakini, am just a ball, bt without me hakuna game hapa.

Mpaka now nadhani kuna watu wanaona mi kama fala flani hivi. Siwakatazi, mnachofikiria fikirieni. Ila nadhani wote mtakubali kuwa mi ni bonge la loyal. Muaminifu sana. Sijawahi kucheat kwenye maisha yangu. Well sio kwa ujanja wangu na wala siko hapa kuwapondea wanaocheat ila niseme kabisa kuwa so far nimekua muaminifu kwa girls wangu. Hua nikifall in love natoa kila ninachostahili kutoa.

Ila kiukweli kati ya vitu viliniuma katika hii dunia ni kusikia kuwa aliyekua mpenzi wangu yaani Zoya anatoka na Stive. Albert ndo alinipa mchongo mzima. Na akanionesha kabisa na ushahidi wa picha. Niliishiwa kabisa nguvu aisee. Then to make matters worse Zoya akawa anakana vyote nnavyomuuliza. kwanza alinidanganya hata khs ratiba yake ya siku ile. Na cha cha kuumiza na kushangaza zaidi ni tukio alilofanya Zoya kwa Marga. Ikabidi nichukue yale maamuzi. Kilichotokea baada ya pale kila mtu anajua.

Maisha na Marga yalikua ya kuinjoi sana. Nlihakikisha mpenzi wangu anafaidi. Kuanzia trip za mara kwa mara na shopping za kutosha. Uwezo si nlikua nao bana. Marga alifurahia kuwa na mm na pia mi nlifurahi. Ila nitakua muongo nikisema nlimsahau Zoya. Utofauti wake na Marga hasa katika personality zao ulikua ni wazi. Zoya alikua ni msichana mpole asiye na makuu na anayeridhika kwa hali yoyote. Marga was the opposite. She is a wild woman. Na hakua akitosheka na kitu chochote cha kawaida. Kama ni zawadi umemletea kama hajaupenda atakuchana live. Although Zoya was cooler, ila ule ucharuko wa Marga uliyafanya mapenzi yawe ya moto balaa. Kama alivyoimba Mary J Blige,

"...... Bad girls are not good, good girls are not fun....".

Ila kwanini tupoteza mida kuongelea yaliyopita? Pamoja na kuwa yanaumiza ila pia kwa sasa kama mjuavyo ndugu zangu, nimefulia. Na kama wanavyosema wahenga wa kibeberu, "the highest ones fall the hardest". Yaani nilihit the lowest point of my life, sio tu kiuchumi bali hata kiitikadi. Nikikumbuka namna nlivyokua juu sikutarajia ntafulia namna hii, yaani inafika mda hata buku jero ya msosi wa mchana nakosa dah! Ukiona mtu anakuomba msaada ndugu zangu kama unao mpe. Hakuna kitu kinashusha thamani kama umasikini.

Kufulia kwangu kulikuja ghafla sana. Sikua nimejipanga kabisa. Nliamini nilichokijenga ni taasisi ambayo ni ngumu kufutika. Ni taasisi iliyokua na malengo na misingi inayoweza vuta pesa kutoka popote kuanzia serikalini mpaka kwa wadau binafsi. Katika kipindi nlichokua fresh nlifanikiwaga tu kununua kiwanja Bunju, sikua na akiba wala asset nyingine. So unaeza imagine mshtuko na hali yangu after kufulia.

Sikufulia kwa sababu ya kutumia pesa vibaya labda. Hapana. Maana wananzengo hamchelewi sema Marga kanifilisi hahahaa. Haikua hivyo. Ilikua hivi. Siku moja Albert aliyekua mhasibu wa shirika langu ofisini. Kaniambia kuna shida kidogo boss, “shida gani" nikauliza kutaka kujua zaidi. “report ya external auditors sio nzuri, inaonesha shirika limetumia kiasi kikubwa cha pesa kwa matumizi ambayo hayakupangwa kwenye bajeti" Albert akanielezea. Nilipotaka ufafanuzi zaidi maana kiukweli yeye kama mhasibu mara zote alikua ananihakikishia kila tunachofanya kipo according to the plan.

Albert akaanza kutoa mifano ya activities tulizogharamikia na ambazo hazikua kwenye bajeti. “Boss unakumbuka ile ziara ya mikoani, bajeti ilisema tutalala hoteli hizi za kawaida ila tukakaa hotels za kitalii kama Mount Meru”, nikasimama kwa hasira, “Albert si ww ndiye uliyesisitiza kuwa fungu linatosha na kwa hadhi ya watu tunaoandamana nao tunapaswa kukaa huko? Inamaana unataka kusema ulinishauri vibaya sivyo?”,

Albert hakuonesha hata kujutia. Na nliona kama anatabasam kwa mbali. Aliendelea kunipa maeneo mengine yaliyoainishwa na external auditors. Maeneo yalikua mengi, bonus zisizo na mantiki kwa wasanii, manunuzi ya gari mbili za ofisi, jengo la ofisi tunayotumia nk. Kimsingi nikamwambia atoke ofisini. Alivyotoka tu nikamuandika barua ya kumfukuza kazi.

Kimbembe kikaja namna ya kumaliza issue na wafadhili. Maana mpaka wakati huu haikua ubalozi mmoja tu unaotupa sapoti, ilikua ni umoja wa ulaya. Ikabidi niende hadi makao makuu ya umoja wa ulaya. Pale nikakuta wale wanaoshughulika na mahusiano na mashirika kama langu wapo kwenye kikao. Sikuhitaji akili ya ziada kujua kilichokua kinajadiliwa. Nimekaa pale mapokezi zaidi ya 2hrs. Baadae nikaitwa ndani.

Kufika si namkuta Albert ndani. Nikajua tu huyu fala ndo katengeneza mchongo mzima. Na amesuka huu mpango for a long time. Kikao changu na wao kilikua kifupi sana. Kiujumla niliambiwa tu kuwa Umoja wa ulaya umepokea taarifa ya wakaguzi kwa masikitiko makubwa. Na kwa maana hiyo hawatatoa tena ushirikiano kwa shirika langu mpaka pale uongozi utakapobadilika. Maana yake ni kuwa walikua wanataka nijiondoe katika shirika. Shirika ambalo mm kwa msaada na ushauri wa Zoya tulilijenga. Nikaelewa sasa namna Steve Jobs alivyofeel alipotimuliwa kwenye ukurugenzi wa kampuni yake mwenyewe ya apple.

Kwa kuwa niliamini shirika linamalengo mazuri, sikutaka kuwa sababu ya shughuri zake kukwama. Nikajiuzuru. Cha ajabu, umoja wa ulaya ukamteua Albert kuwa msimamizi wao katika shirika. Na haikuchukua muda akatake over umiliki wa shirika. Ikawa ushahidi kuwa amesuka.mpango mzima. Alijidai mtumishi mwaminifu, kumbe anamalengo ya kunipindua.

Albert alinipindua kwenye kazi yangu. Kilichoniuma zaidi hakuishia tu kunifilisi, akaenda mbali zaidi kamchukua na mpenzi wangu. Iliniuma sana aisee. Kila nlivokua natoka asubuhi nikijua kabisa Albert atatia tim na kumla mpenzi wangu ndani ya my own room. Yeah, nlijua kila kinachoendelea. Na ilikua inanichoma kinoma. Ila umasikini bana mbaya sana. Pamoja na kujua manzi yangu anagongwa ila nikajidai kipofu, sioni kinachoendelea. Ningefanyaje ss, maana sikua na uwezo wa kuhudumia familia yangu na kipindi hiki nshakua baba tayari.

Kuna muda Zahra ambaye alikua dada wa kazi pale home alikua kama anatamani aniambie kinachoendelea ila akawa anasita. Nakumbuka kuna siku wakati natoka nikaamua kumuuliza, “kuna issue yote inayoendeleaga hapa nikiwa sipo", binti akaangalia tu chini hajibu kitu. “si nakuuliza?” alipoona nasisitiza ikabidi anidanganye “hapana shemeji" huku machozi yanamtiririka. Nikajua hawa huwa wanatiana hata mbele ya housegirl.

Marga alipoona mipango yangu yote ya kurudi kwenye ramani ya pesa inakwama, ikabidi anichane live. One day nikiwa najiandaa kutoka asubuhi akaniomba tuongee kwanza. Alichoniambia, “Ras, samahani kama ntakuudhi, ila am moving out", yaani simple tu. Sometimes wanawake wanaroho ngum aisee. Ila hii niliitarajia pia, siwezi danganya kuwa niliamini Marga atakua na mm mda mrefu na hali yangu ya sasa.,

Mawazo ya kwanza kuja kichwani ni kuhusu mwanangu. sikuwaza tena abt Marga maana tayari najua anachoependa yeye ni pesa tu. Najua hata yeye alijua kuwa tayari najua khs yy na Albert. Na kumake matters worse akaniambia “usipate shida kuhusu mtoto, sio wako". Dadeki nikakaa chini.

Marga alimove out. Ila namshukuru kuwa kabla hajamove aliacha amelipia kodi pale ya mwaka mzima. Aliniachia pia karibia kila kitu. Alibeba tu nguo zake. Nikaanza rasmi maisha ya ubachelor. Yaani ilikua ni kipindi kigum sana kwangu. Bangi tu ndo ilikua inanipa faraja na moyo wa kutokata tamaa. Mtoto nimepokonywa, mpenzi amechukuliwa dah. Na ile kuambiwa mtoto sio wangu nikapata picha kuwa hawa walianza kulana zamani. Ikaniuma zaidi, ila sikua na la kufanya.

Nikapata wazo la kuwa muuza vitabu. Sio kwamba ndo nliona kuwa ni njia itakayonipa pesa, hapana. Kipindi hicho nlitaka tu mahali niwe naenda na kupitisha siku huku nikipata pesa ya kula walau mlo mmoja kwa siku. Ndo kuanza kwenda kuuza vitabu Posta.

Baada ya kama miezi minne tangu Marga asepe, oneday narudi home namkuta Zahra nje ananisubiri. Baada ya salamu nikawa natamani kujua kumetokea nn kule walikohamia. Nikamkaribisha ndani ambako kwa kweli palikua pako vurugu mechi, sox, viatu, boxer kila mahali. Zahra alivyopata sehem ya kukaa ndo akanieleza, “nimeamua kutoka kule maana yule shemeji ananisumbua sana" kwa nnavomjua Albert hata sikushangaa. “amekufanyia kitu kibaya?” nikamdadisi, “hapana, ila kila akiona dada yuko mbali anaanza kunishika na wakati mwingine atanilazimisha tufanye bt nikawa nakimbia namuacha mwenyewe nyumbani. mpaka dada akirudi ndo namm narudi",.

Nikamuuliza kama Marga anajua, akasema mchana wa siku hiyo Marga ameshuhudia kwa macho yake Albert akilazimisha kumkumbatia wakiwa jikoni. Ila Zahra hakusubiri kutimuliwa, akamwambia tu kuwa kwa tabia za huyu mwanaume iko siku atambaka so akaomba aondoke. Marga hakupinga. Na kwakuwa hana ndugu wala mahali pa kwenda hakua na jinsi zaidi ya kuja hapa.

Sikujua niamue nn. Kwanza mm mwenyewe tu hela ya kujihudumia mwenyewe sina ntawezaje kuhudumia watu wawili? Kama alisoma mawazo yangu vile maana akaniambia, “kuja kwangu hapa haina maana kuwa nataka uniajiri, hapana, naomba hifadhi yako tu maana pamoja na kuwa sina mahala pengine pa kwenda, najua uliishi na mm kama ndugu yako” akaendelea, “wanaume wote ambao nimekaa kwao waliishia either kunibaka au kunitaka, ila ww ulikua wa tofauti kwangu. Ww ni mtu pekee ambaye nakuamini utanichukulia kama mdogo wako. Naomba msaada wako kaka yangu maana sina pengine".

Maneno yake yalinisikitisha. Ikabidi nimwambie hali halisi kuwa sio kuwa sitaki kumsaidia ila uwezo wa kumlisha sina. Yaani sina chochote. Akanambia nisijali tutakula kinachopatikana na pia kuna vihela alikua ametunza so hatuwezi kukaa njaa.

Ndo ikawa nimepata mdogo wa hiari. Tuliishi kama ndugu. Alinisaidia walau kupaweka pale home ktk hali ya kustaarabu. Kuwepo kwake kukanipa pia hamasa ya kutafuta pesa zaidi maana nisingependa kuona tunalala njaa. Miezi ikakatiza. Oneday ktk story na Zahra akaniambia angependa kujiendeleza kimasomo maana huu muda alio idle angeweza kusoma ile wanaita QT.

Nikaona ni wazo jema, nikamsaidia kujiandikisha kufanya huo mtihani, ambao ukiufaulu unapata sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha nne. Nikawa nikirudi jioni naanza kazi ya kumfundisha. Hii ikanipa hamu ya mm pia kurudi shule. Nlichofanya nikauza kile kiwanja changu kule bunju. Sikutaka kwenda law school, nikajiandikisha kozi ya uzamili (masters), nikalipa kabisa ada ya mwaka mzima. Ikabidi nimwambie Zahra ajiandikishe kwenye kituo cha mafunzo hayo ya QT ili awe anaenda asbh then akitoka awe anakuja posta kunipokea kijiwe cha vitabu ili mm niende chuo kwa masomo yangu ambayo yalikua yanafanyika jioni. Ikawa hivyo.

Baada ya muda nlishangaa kuona mauzo ya vitabu yanaongezeka. Hasa Zahra akiwa ndo anauza. Yaani mm nlikua nikiuza sana ni vitabu viwili, ila Zahra alikua akija jioni kauza si chini ya vitabu 10. Na kwa kuwa kwenye kila kitabu kulikua na faida ya Tsh 2000/ kwa kweli hali ikawa inaenda poa sana. Kila siku tulikua tunaweza weka akiba kidogo. Then Zahra akaja na idea ya kuongeza vitu vya kuuza pale kijiweni hasa cultural products, tshirts za kiras na kofia pia. Nikaona ni wazo zuri. Tukapaongezea vitu pale kijiweni na vikawa vinaenda kwa kweli. Tukawa kimtaamtaa tuko walau fresh. Yaani hatukosi hela ya pango, nauli wala chakula. Nikaona Zahra kweli kichwa ingawa umri mdogo.

Tumelisongesha life namna hiyo kwa muda mrefu. Then one day nipo zangu kijiweni nimekaa kwenye bench nikasikia yule shoe shiner wa jirani yangu anaongea na mdada. Sikutaka kumuangalia anayeongea nae, ila sauti ikawa kama naifananisha, yule mshkaji akawa anamuongelesha kwa namna ambayo ni kama wanafahamiana, “……… ila leo best yako hayupo yupo Ras mwenyewe" kabla hajajibu nikageuka kumcheki anayekaribishwa….

Ndo macho yakakutana na my beautiful Zoya. Ndo nikagundua nlikuaga nampenda kiasi gani huyu mwanamke.

Nikasimama. Nikabaki namuangalia na yeye ananiangalia. Sikuweza sema kitu ndugu msomaji…. Cha kushangaza hata yeye hakusema kitu ananitazama tu. I felt like I should say something, anything…. No……everything, bt I just couldn’t…..
 
Nawashukuru sana wote mliofuatilia story hii. Panapo majaliwa tutakutana wakati mwingine tena, inshAllah.
Was so nice, imenichukua siku mbili kuimaliza hii series, thanks a lot nahongera sana kwa kipaji ulichonacho, mungu azidi kukubariki kupitia kipaji chako.
Nahitaji muendelezo wa ile story ya mapacha story iko pande mbili dar na arusha KigaKoyo
 
Back
Top Bottom