Cheaters: The Series

Hongera Kigakoyo,nimezipenda sana simulizi zako,natamani niyajue maisha ya Marga na yule msaliti wako aliyekupoka kampuni
 
Sis walaji wa tunda kimasihara tuliokithibitsha kipaji chako toka kule kwenye uzi pendwa , bado tuko pamoja na ww.Ingawa huku matunda yanaliwa kistaarabu kwel kwel.
Ahahahahahahah
 
Sis walaji wa tunda kimasihara tuliokithibitsha kipaji chako toka kule kwenye uzi pendwa , bado tuko pamoja na ww.Ingawa huku matunda yanaliwa kistaarabu kwel kwel.
Ahahahahahahah
Asante boss. Tunajaribu kupita kwenye mstari ulioko kwenye mpaka wa ban
 
Jamaa unajua sana, acha tuivumilie arosto ya wiki kwa wiki ila ikifika jumamos tu arosto inakata kabisa kwa utamu huu
 
Back
Top Bottom