CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

CHADEMA NI CHUO CHA KUZALISHA WANASIASA MAHIRI CCM, ACT NCCR NA SASA CHAUMMA. CHADEMA ISHUKURIWE MNO. INA INAVIPA PROMOTION VYAMA
 
Hivi Marekani kuna vyama vingapi vya siasa?! China je?! Uingereza je?! Ujerumani?! Japan?! Korea Kusini?! Nimetaja tu baadhi ya nchi ambazo zina uchumi mzuri Duniani kama mfano tu. Kuna haja gani ya kua na vyama vingi vya kisiasa ili kushindana na chama tawala?! Kwanini wasiungane tuwe na vyama viwili tu ambavyo wananchi watakua huru kufanya maamuzi ya uhakika maana kura zitabalance vizuri na hata chama kikiwa madarakani kitakua kinajua wazi kabsaa kua wakizingua wananchi wanaweza kufanya yao kupitia sanduku la kura maana hapatakua na mgawanyiko na mtawanyiko wa kura kama yaliyokaribia kutokea 2015 baada ya kuungana na kutengeneza UKAWA. Huu matawanyiko wao unawasambaza kura na kuwavuruga wananchi tu ndo maana wanaona bora tu kuendelea na chama tawala maana sasa hawaaminiki. If we decide to have ana apposition party it must be one opposition party, we ushawahi kuona wapi upinzani unakua zaidi ya chama kimoja afu wote mnampinga mmoja?!
 
Umaarufu wa nyoko?
 
mara pap wanaanza kupata madiwan na wabunge
 
Hicho chama hakijawahi kupata hata diwani toka kiasisiwe 2013 na hii 2025 hawaambulii kitu.

Kama Mrema na Mwalimu waliangukia pua wakiwa CDM yenye ushawishi,huko gizani ndiyo watatoboa?
 
Hata Amber rutty ni maarufu vipi ana manufaa yeyote kwako?
 
Mungu ibariki Chauma, ilinde dhidi ya mahasidi wote na watu wenye roho mbaya
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…