Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,633
- 2,378
umaarufu wa dhihaka, ....Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Wape mudaNi chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Anadhani kwa vile jana kilionyeshwa kwenye TV kwa muda mrefu kwa mara ya kwanzaLabda kama hujui maana ya Umaarufu 😁
Wa maelekezoumaarufu wa dhihaka, ....
Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Exactly.......... hakuna umaarufu wowote, hata akienda Mbowe, wataambulia ridicule from the society!Wa maelekezo
labda umaarufu kutoka kwa wanaFISIEMUNi chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Hao watu wengi ni wangapi na ni kina nani. Au wewe ndo unajihesabu ni watu wengiNi chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Soon wataanza kugombana wenyewe kwa wenyeweExactly.......... hakuna umaarufu wowote, hata akienda Mbowe, wataambulia ridicule from the society!
time will tellSoon wataanza kugombana wenyewe kwa wenyewe
Tuombe uzimatime will tell
Zitto Kabwe amejitahidi sana pale ACT ya zambarao lakini hwapi?Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe