Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,328
- 283,338
Anatuhumiwa kushirikiana na Katibu Mkuu Salum Mwalimu aliyekalia kuti kavu kuunga Mikono ccm pamoja na kutafuna hela za Chama
Tulionya Mapema sana kuhusu madhara ya laana ya Usaliti lakini tulipuuzwa
Soma Pia: Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu
Tunaomba lolote limkute, Amina
Tulionya Mapema sana kuhusu madhara ya laana ya Usaliti lakini tulipuuzwa
Soma Pia: Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na Imani na Salum Mwalimu
Tunaomba lolote limkute, Amina