Tressa
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 954
- 1,046
Chato kama watamdharau magufuli watakuwa wanachekesha,sababu mkaskazini akichukua watabaki kujivunia hivyo hivyo vya magufuli,tatizo watu wa kaskazini wabinafsi Sana barabara nzuri na mataa viwekwe kwao Tu.wao wakijengewa barabara sawa,chato imejengwa haikuwa planned eti kadivert.na watu wa Kanda ya ziwa wanaowashabikia hawawajui vizuri.