iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,941
Kinana kimya kabisaWaliomchagua na kumtete wanajuta.
Wa kwanza, ni January Makamba,
Wa pil,i ni Kikwete & Family
Wa Tatu, ni Kinana CCM CC
Hawana hamu kabisa.
Kinana kimya kabisaWaliomchagua na kumtete wanajuta.
Wa kwanza, ni January Makamba,
Wa pil,i ni Kikwete & Family
Wa Tatu, ni Kinana CCM CC
Hawana hamu kabisa.
hayo ni maendeleo mkuu we taa za barabarani mpaka za vumbiMagufuli mtaziona rangi zake halisi muda si mrefu....
Huyu mtu ni mbinafsi sana...
Anaweza hata kuwawekea ng'ombe wake vitanda zizini ilhali wagonjwa wanalala chini!
Photoshop hiyo. Chato lami ni kila mahali kusema kuna taa za barabarani kwenye barabara ya vumbi ni uongo wa mchana kweupe
Nani kasema hakuna taa? Zipo ila alopost anataka ku portray kuwa zimewekwa kwenye barabara ya vumbi. Huu ni uongo ambao kama kweli umepita na ukawa makini picha hii imechezewa. Nipo Chato kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Nipo, sijapitaWe unaebisha ushaenda chato? Mimi nimepita hapo juzi na kweli hizo taa zipo, sijui alikuwa anamaanisha nini kuziweka huko maake magari yenyewe yakuhesabu.
Dah hii kauli aliitolea wapi ?? Sasa hivi Airbus zitatua ChatoPa1 na hayo wananchi wa chato hawampendi anajifanya mungumtu anawatukana hovyo, Aliwaambia wanye mavi wapake barabara iwe lami, yani huyu mkurupukaji HAFAI. Subiri Lowassa akienda Chato ndio mtajionea mafuriko halisi.
Hahahah eti wanye mavi wapake barabara ili iwe lami!!!! noma sana mkuu!!!Pa1 na hayo wananchi wa chato hawampendi anajifanya mungumtu anawatukana hovyo, Aliwaambia wanye mavi wapake barabara iwe lami, yani huyu mkurupukaji HAFAI. Subiri Lowassa akienda Chato ndio mtajionea mafuriko halisi.
Kwani taa ni sh ngapi? Akiwa Rais ataipendelea Tz nzima. Chato ina hispital nzuri toka 2000's ina barabara ya lami toka 2000's. Anajitahidi sana mlikua mnamsema Membe kwa kushindwa kuleta maendeleo kwao.