Chato kumenoga, NHC yatangaza kuuza viwanja 1,200 pembeni mwa ziwa Viktoria. Panafikika kwa usafiri wa anga, majini na ardhini

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,817
Halmashauri ya wilaya ya Chato ikishirikiana na NHC inawakaribisha watanzania kununua viwanja vya makazi, biashara na viwanda eneo la Rubambagwe lililo katikati ya mji wa Chato na pembezoni mwa ziwa Viktoria barabara kuu ya Bukoba.

Chato inafikika kwa usafiri wa anga, maji na ardhini pia ni mji unaokwenda kwa kasi.

View attachment 1675632
This is lemon business.
 
Mkuu, naomba hili tangazo nitumie DM, naona hapa linagoma kupakulika! Sijui tatizo ni nini! Asante
 
Unajuwa mimi tatizo langu jina 'CHATO' unajuwa wakati mwingine jina lina reflect mtu ukiwa tajiwa msichana mfano jina Maria basi unajuwa tu mhh huyu kama mlokole ila ukisikia jina Lulu unajuwa hapa kitu hata kama sio kweli. Chato badilisheni jina...
 
Back
Top Bottom