Charminglady

Charminglady

Inawezekana anapga kampeni za kmyakmya. Si umeona amefika hadi fainali?

Ni kweli...................manake hata Lowassa hapigi kampeni majukwaani..............lakini ona anavyomwagika
 
Huyo ndo mrembo anayetetea taji, hana haja sana ya ku contest kwa sasa, pia mdogo wangu C6 tayari kafanya mambo, sasa pata picha miss na udongo wa pemba,kwa sasa mpigie mdogo wake Arabela

Baba V ahsante sana aminia
 
Last edited by a moderator:
Kizuri chajiuza bhana! Chariminglady kifaa achana na lara 1 na cielo kwanza viruka njia halafu mabonge kama Tembo wala hawafai kuwa mamiss wa Chit-Chat ndio maana wanatumia nguvu nyingi kupiga kampeni
Halafu wanagombania wanaume za watu imefikia hatua wananitaka hadi mimi wakati wanajua niko na Amyner na kamwe sitakuja kumwacha NG'OOOOO ila wanakomaa na mimi.....nasema SIWATAKI lara 1 na cielo labda Kipipi (Mwaaaaah)
charminglady kila mara anagombea utafikiri lipumba bhana! Awaachie na wenzie nafasi, hata mie namkubali na nilihusika kumchagua.......ila this time tumgee Arabela wajameni!!
 
Last edited by a moderator:
charminglady kila mara anagombea utafikiri lipumba bhana! Awaachie na wenzie nafasi, hata mie namkubali na nilihusika kumchagua.......ila this time tumgee Arabela wajameni!!

Kipipi shost angu me cjaomba kugombea bali nilichaguliwa na lundenga. ndo maana hata cna mzuka sana wa kufanya kampeni!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom