Charminglady

Charminglady

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Mbona sikuoni ukipiga kampeni??ukweli mimi binafsi nakukubali sana japo nikiulizwa why siwezi kuwa na jibu. Nilipoingia humu nimeona wenzako wakipost thread za kujikampenia, nikapitisha macho kuona kama na wewe umejaribu kujitangaza ila wapii......basi jitokeze umwage sera mama!!!! ukweli mie nakukubali tu kiroho safi, naomba na wengine pia mumpigie kura huyu mrembo mchangamfu
 
Inawezekana anapga kampeni za kmyakmya. Si umeona amefika hadi fainali?
 
Huyo ndo mrembo anayetetea taji, hana haja sana ya ku contest kwa sasa, pia mdogo wangu C6 tayari kafanya mambo, sasa pata picha miss na udongo wa pemba,kwa sasa mpigie mdogo wake Arabela
 
Last edited by a moderator:

mie akishinda huyu charming gal nitakuwa na zawadi binafsi ya kumpongeza, ntajazia hapo promota wa miss chitchat alipoishia
 
hahahahaha naona umechomekea mgombea wako kiaina we janja kweli Baba V
 
Last edited by a moderator:
mie akishinda huyu charming gal nitakuwa na zawadi binafsi ya kumpongeza, ntajazia hapo promota wa miss chitchat alipoishia

asante shost kwa kunikampenia, majukumu ndo mengi. achana na Baba V ana chuki binafsi!
 
Last edited by a moderator:
Huyo ndo mrembo anayetetea taji, hana haja sana ya ku contest kwa sasa, pia mdogo wangu C6 tayari kafanya mambo, sasa pata picha miss na udongo wa pemba,kwa sasa mpigie mdogo wake Arabela

wewe Baba V acha visa hata akiwa anakula udongo wa pemba mwanangu charminglady lazima ashinde hili taji, unakuja mdogo mdogo na kampeni kwa Arabela, ha ha haaaa!
 
Last edited by a moderator:
mwenye kisu kikali ndo hula nyama,mi nasubiri mlungula tu ndo nipige kura.
 
ngoja nikupe simu uongee naye,anasikitika miaka yote aliishi na wewe ulikuwa una fire blanks!

Teh teh teh hebu kaangalie tena ka Ashrat uone kamefanana na nani halafu ujiulize kama kweli nilikuwa na shoot blanks
 
Kizuri chajiuza bhana! Chariminglady kifaa achana na lara 1 na cielo kwanza viruka njia halafu mabonge kama Tembo wala hawafai kuwa mamiss wa Chit-Chat ndio maana wanatumia nguvu nyingi kupiga kampeni
Halafu wanagombania wanaume za watu imefikia hatua wananitaka hadi mimi wakati wanajua niko na Amyner na kamwe sitakuja kumwacha NG'OOOOO ila wanakomaa na mimi.....nasema SIWATAKI lara 1 na cielo labda Kipipi (Mwaaaaah)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom