"Charm" nini siri ya umaarufu wako?

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Mimi ni mwanajf nisiyechangamana na kundi lolote. Ninastaajabishwa na umaarufu wako mkubwa wewe lady ambao unawadatisha vidume wengi humu jamvini. Nakuuliza, ni nini siri ya kukubalika kwako? Kama unatumia LIMBWATA(dawa ya mapenzi) si uwagawie na ladies wenzako nao wapapatikiwe!
 
come my sweet and tell them,why and how?....eventhough i will love you more than that
 
lahaula! khaaaaaaa, aiseeeee haya charm hebu njoo dadavua hizi tungo humu ndani! kufanya vidume vya watu humu kutwaaaaaaaa mitarimbo ipo hewani wanakuwaza, haya njoo uwape tiba, na urudi kwa mganga wako akupake mmavimavi, maana huo mti wa mpapa haufai!
 
Hahahahahahahah cacico muke ya kibabu umenivunja mbavu mwana wa mwenzio wapi kijiwe leo..??
 
Last edited by a moderator:

Kuna kamchapo kamoja niliwahi kukasikia kako hivi,

Binti mmoja alikuwa anaishi na mjomba wake pale Kinondoni (enzi hizo inaitwa Kino Clan) Sasa akawa na ki boyfriend chake mwenyewe alikuwa anakizimia mbaya ila chenyewe kama kilikuwa magumashi vile. Si ikabidi aende kwa Sangoma aka Mtaalam aka Babu (Ila sio wa Kikombe) Babu akampa Dawa aka Muti aka sumaku aka Kikombe ili aweke mlangoni kale ka boyfriend kake kakija karuke na ndoa ingetangazwa kesho yake tu.

Sasa bahati njema (Mbaya kwa binti) Baada ya kale ka bf kake kumwambia kanakuja akamwaha kitu mlangoni, Kha si mjopmba wake akaibuka ghafla bin vuuuuu akapita mlangoni na kuruka ile dawa! Sasa habari zinasema anko akawa anamng'ang'ania binti anataka tunda hata kazini haendi yuko mlango ni kwa binti tu, binti naye akajifungia chumbani hatoki maana akitoka tu anko ana yeye.......

Unaweza kumalizia mwenyewe story hii.........
 
Back
Top Bottom