Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,981
- 16,149
Nilieleza jinsi ambavyo shetani ni roho hutafuta watendea kazi wenye mwili.
Kumuangamiza mtu kirahisi humtumia ndugu wa nyumbani mwake.
Na Mungu ni hivo hivo, huwalinda na kuwatumia wateule wake (chosen one) kufanya kusudi lake.
Ukifanya yako na kumkataa Mungu yeye Mungu hana shida na wewe, lakini Mungu akitaka amtandike Mtu, Anachokifanya Mungu anakupa roho ya kukosana na wateule wake, hapo ndipo Mungu atajipatia wasaa mzuri wakukuadhibu,
Huwezi ukashindana na chosen one kwa lolote na ukashinda.
Sio mapenzi, sio ujuaji, sio umaarufu, sio heshima, sio kukubalika huwezi mzidi.
Mungu alimuingizia Samsoni nyege za kumpenda binti wa Kifilisti, Mungu akijua fika watajichanganya kumkela samason awape vitasa.
Usijichanganye kumuonea wivu chosen one.
Na mala nyingi hawa chosen one wanaonekanaga kwa macho ya nje kama ni watu dhaifu ila kumbe wanaukaribu sana na Mungu.
Chosen one akikasirika juu yako ni heri akulipe kisasi kwa mikono yake, lakini akiacha na kusema Mungu atamlipia, my friend kuhaibika kwako kupo karibu.
Umewahi kusikia mtu kamvunjia heshima mtu ambaye kesho yake huyo Mtu anatakiwa akupitishe upate cheo kikubwa cha kazi.
Siku zote chosen one hupata nafasi ya kulipa kisasi tena kwa urahis sana, na kama ulikosea pakubwa nafikiri huo ndio utakua mwisho wako wa maisha.
Pushpa