....?there is no virological, nor epidemiological evidence to back-up the HIV-AIDS hypothesis. Instead, the virus is biochemically inactive and harmless, and AIDS is not behaving as a contagious disease?
Kwa maana hiyo HIV(kama jina) ipo ila sio chanzo cha AIDS.
Na hata deanilists kutoka taasisi ya Perth Group Australia wakiongozwa na Eleni Papadopulos hawajawahi kusema kwamba HIV haipo, ila walichosema;
?there is no proof that a retrovirus HIV does exist. Not in test-tubes, not in AIDS patients and not in anyone who is "HIV" positive.?
................
Ila kimsingi HIV ni harmless Virus, na haijawahi kusababisha ugonjwa wowote ule kwa binadamu.
Sasa kwa mtazamo wangu kwa Deception kusema kwamba HIV haipo ni kwasababu ya kukosekana kwa ushahidi usio na shaka juu ya ya uwepo wa HIV kwa wagonjwa wa ukimwi.
........
Unajua mkuu hapa tutapata shida sana kuelewesha baadhi ya watu humu ndani.Hii ni kwasababu watu hawa wanaopinga hawajui mambo mengi sana kihistoria kuhusu suala hili,pia uelewa na uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana hata katika mambo ambayo ni basic sana.Tatizo linalojitokeza hapa ni watu kujua mambo yafuatayo;
1.Jina la HIV limetokeaje.
2.Ni kitu gani kimepewa jina hilo.
3.Kwanini kitu hicho kimepewa jina hilo.
4.Je,kitu hicho kinaakisi jina hilo?
Haya ni mambo ya msingi sana kuyatumia kama kweli watu wanataka muafaka.Sasa nitafupisha ili watu waelewe kwanini nimesema hakuna HIV kulingana na mambo 4 hapo juu.
Watu wawili walikaa na kufanya makubaliano ya kupachika jina kirusi aina ya retrovirus family(ambacho wao wanasema wamekigundua katika tafiti zao za kimaabara) jina la HIV.Watu inabidi wafahamu kwamba HIV ni jina tu, kwa mfano,mimi nikimwita
kahtaan kuku haina maana kwamba kweli yeye ana sifa za kuku,la hasha,ni jina tu.
Watu inabidi wajue kwamba hakuna retrovirus yoyote mwenye uwezo wa kushusha kinga ya mtu,kwa mantiki hiyo basi,bila kujali kama kina Gallo na Montagnier walimuona au hawakumuona retrovirus huyu kwenye damu ya mgonjwa,mantiki hii peke yake inatosha kusema kwamba HAKUNA HIV,yaani hakuna kirusi kinachosababisha upungufu wa kinga mwilini,yaani there is no Human Immunodeficiency Virus(HIV) as its name 'HIV' sounds.Tatizo watu wana bypass maana/kirefu cha HIV,wanachukulia kirahisi tu.
Mantiki nyingine inayoweza kutumika kusema kwamba hakuna HIV ni ile inayo base kwenye tafiti za wagunduzi hao,kwamba hakuna evidence yoyote inayoonesha isolation/purification ya huyo wanayemwita HIV kutoka kwa human blood,HAKUNA.Watu inabidi wafahamu pia kwamba hata kama walifanya isolation/purication ya huyo wanayemwita HIV,bado jina hili 'HIV' haliakisi uhalisia wake kama jina,yaani kirusi anayesababisha Ukimwi,kwakuwa hakuna kirusi chenye uwezo wa kushusha kinga ya mtu.
Sasa hayo maneno yenye rangi nyekundu ndio ukweli wenyewe ulivyo na zile documentaries zote zinaelezea hayo.Pia niliweka scientific paper ambayo nina uhakika ndugu yangu
kahtaan hakuisoma kabisa kitu ambacho nilikitarajia,sidhani hata kama aliifungua paper hiyo.
Niliwahi kusema kwamba,kwenye suala la paper/evidence,kila upande una vitu ambavyo unaviita evidence,lakini suala la msingi linakuja kwamba,Je,evidence hizo zinaakisi uhalisia wa kile kinachotokea mtaani/mahospitalini?
Ukweli ni kwamba alternative AIDS hypothesis imethibitika kuakisi kile kinachotokea mtaani/mahospitalini na mainstream HIV/AIDS hypothesis has proven wrong.
Ila mkuu jamii ya humu ndani kuna watu ambao wanafanya HIV/AIDS hypothesis kama dini,ni vigumu sana kwa watu hawa kubadilika.
Kama HIV hana uwezo wa kusababisha AIDS,basi haina maana ya yeye kuitwa HIV.Kwa mantiki hii peke yake ni sahihi kusema kwamba HAKUNA HIV.Wenye akili walishanielewa zamani sana.
Note;
Mkuu nime edit post yako kidogo ili iendane na mantiki yangu.