Wewe nilikwambia usome zile nyuzi nilizoweka humu,nilikwambia kwamba humo kuna kila kitu lakini hutaki kusoma,sijui kwanini uko hivyo.
Haya sasa,kuna scientific papers nyingi sana,lakini nitakuwekea moja tu kuonesha kwamba hakuna HIV/AIDS,bali kuna AIDS(sina uhakika kama utakuwa umenielewa).Pia nakuwekea documentaries kuonesha historia fupi ya huo ugunduzi wa huyo mnayemwita HIV halafu usikilize na kulinganisha maelezo na evidence za wanasayansi wa humo ndio utajua kama kweli HIV yupo au hayupo.Mojawapo ya documentaries hizo ni ya huyo mgunduzi mnayemwamini Luc Montagnier,msikilize kwa makini mgunduzi huyu ndio utajua kwamba ugunduzi wa HIV ni blaa blaa.Hata huyo Montagnier mwenyewe anasema huyo HIV(feki) anaweza kuondolewa mwilini kama una kinga nzuri(ha ha haaa,haya mambo unahitaji kutulia sana,utaelewa tu kama utaweka mipasho pembeni).
Hapa ndipo nitajua kama kweli wewe ni msomaji au uko kupinga tu.
documentaries;
1.
https://www.youtube.com/watch?v=1Ga01hvqOow
2.
https://www.youtube.com/watch?v=PyPq-waF-h4 .....Luc Montagnier.
hapo chini kuna scientific paper;
Tatizo lako toka mwanzo nililokwambia Ni kuwa unabeba Vitu kutoka Google na youtube kisha husomi wala kutazama unacholeta hapa.
Hapo ktk Hio video ya kwanza tu huyo Dr John Moore pamoja na Helena Papadopules Hakuna statement moja wametoa ambayo ni Conclusive inayosema HIV Viruses HAKUNA. Bali Ni Speculations tu km za kwako kwa madai kuwa Hakuna Scientific study inayoonyesha Kuwa Wapo na wakaongezea Kusema Kuwa (We interpreted different from them) means those who claim that HIV do Exist , wakati huo huo The word leading Scientists like Dr Galore na Dr Thatcher wamesema Opposite?
Unapotoa Strong claims kama hizi NI LAZIMA uweke SOLID Undesputed EVIDENCES to Proof your claims Otherwise itakuwa ni kama yale malumbano ya Was Armstrong went to the Moon or not.
Nani ktk Hao Scientists wote ulio wa quote hapo juu kamchukua mgonjwa hatta mmoja aliyekuwa Diagnosed na HIV Kisha akampima na Kutoa Scientific evidence alongside the Petient him/ herself as a Solid Evidence? Na Hali ya Huyo mgonjwa Ikabadilika (with the valid Tests )? ?
Sikiliza
Deception Science sio Blah..blah.. na Ktk Ulimwengu wa kwanza Hakuna Upuuzi wa Kuzuia watu kufanya Researches na Kutoa Details zake Hadharani. Science is about PROOF and Not Speculations or Opinions.
Unapotaka Ku challenge ones research unachotakiwa ni Kuleta Another SOLID and Concrete Undesputed EVIDENCE to prove your Claims.
And so far kutokana na So called Evidence you have provided Non of it Proved otherwise. Almost All of them wanakimbilia kwenye Suala la isolation of the (HIV) Virus from the Cell kitu ambacho kinaonyesha udhaifu wa Hizo Claims zao.
Leo tunajua Kwamba unaweza Ku pin point Virus ktk cells kwa Purification na sio lzm ki Isolate hao Virus.
Kitu ambacho kinafanyika ktk Researches mbalimbali.
Usikimbilie kusema Watu hawakusomi, sikiliza Hio video ya Kwanza kwa mara ingine tena kisha Nambie Au tuambie hapa Dakika ya ngapi ya Hio Clip/clips Inayoonyesha SOLID PRACTICAL Evidence inayoonyesha HIV Viruses is A non existence. Kutokuweza ku isolate Virus ktk Cells SIO enough Evidence kuwa Virus huyo hayupo, sijui km unanielewa hapa. Sometime you can SEE the viruses without purifying or Isolate it or by simply using Electro micrograph (scop).
Hata Dr Mwakipesile anaweza kudai kafanya Research kwenye lab yake iliko Mbagala Lkn tatizo linakuja je! Hio research yake Ni Valid and Acceptable?
Na Kumalizia Tu, All Dr's na So called researchers ktk hizo video zako zote hakuna hatta mmoja wao aliepo ktk Ile List ya The World respectable Scientists. Baadhi yao hata majina yao tabu kuyaandika.
Endelea Kupekuwa Nasubiri Kujifunza km kuna jipya.
Ile tabia ya selective hearing hapa haitakiwi kabisa.
Take everything on board before you start making conclusions.