Charlie Sheen reveals he is HIV Positive

Mkuu acha hizo.

Acha kumtusi mtu, hii sio face 1000 babu.

Huwezi mjadala kaa kimya fuatilia tu.

Matusi ni kuonyesha jinsigani kichwa chako kilivyo.

Hio ngoma yako au?
Mbona humkatazi kuchekacheka.
Au uko nae hapo mna nanihii.
 
Personally nimesha-debate endlessly kuhusu hili jambo humu jamvini, and I know the ordeal! In the midst of all the hype that conspirators are trying to raise kwamba HIV does not cause AIDS and bla bla nyingi tu, one fact remains unchanged,, HIV-AIDS is real! Sisi wote ni mashahidi,, we have seen, witnessed, felt and experienced effects za HIV-AIDS kwenye familia zetu. Tumeona watu wakiumwa na kuteseka even before ARV hazijaanza kutumika kwenye jamii zetu,, halafu eti Mtu mmoja anakuja humu na kudai kuwa ARV husababisha AIDS na bla bla kibao nyingine.

Tatizo hasa la mijadala kama hii ni kuwa the two debating sides hazina uelewa sawa ama unaokaribiana when it comes to human medicine. Mimi siwezi kukesha humu ku-argue na mtu ambaye hata basis ya scientific studies and research pamoja na interpretation ya findings za scientific studies (establishing disease cause, pathology, progression and drawing association) hafahamu. Siko katika level ground na mtu kama huyu, we don't speak the same language.

Niliwahi kuweka link hapa ikieleza evidence that HIV causes AIDS, naomba nirudie kuiweka kwa thread hii pia. Link hii inajibu maswali yoote ambayo conspirators wana-raise, tena kwa scientific data. Hakuna swali ambalo litaulizwa humu ambalo halijawahi kuulizwa kabla, na majibu yake yote yapo.

Link ni hii : EVIDENCE THAT HIV CAUSES AIDS
 
Hakuna alichoandika toka mwanzo akaambatanisha na Ushahidi uliohakikiwa na Science.
Mtu anaweza kuleta madai ya aina yyt lkn tatizo linakuja atakapombwa Ushahidi wa madai yake.

Muulize hayo madai yake zaidi ya kukopi Google lini Scientists walikaa Lab wakafanya hitimisho kuwq HIV Hakuna?

Na km bado ananisoma hapa alete hio Research hapa tupate faida wote sio Maneno matupu.

Hio ni kazi ya walevi

Mkuu Kahtaan, unaposema ni lini Scientists walikaa Lab wakafanya hitimisho kuwq HIV Hakuna, je unafahamu kwamba waliohitimisha kwamba HIV ni sababu ya ukimwi walikiuka scientific protocol?

Je unafahamu kwamba waliohitimisha HIV ni sababu ya ukimwi hawakuishirikisha scientific community ili kuja na uthibitisho wa pamoja na hatimaye kuhitimisha kwamba HIV ndiyo sababu ya UKIMWI?

Je unamfahamu mtu wa kwanza kuclaim kwamba HIV inasababisha UKIMWI na na kwanini aliclaim hivyo?

Unafahamu kwanini scientist wali question hii hypothesis?

Unapotaka ku argue kuhusiana na huu ugonjwa usiangalie miaka hii ya 2000 tu, unapaswa ku trace back kwenye mzizi wa hili tatizo, yaani since 1983 pale kirusi cha kwanza kugunduliwa ambacho ni LAV. Founder wa hiki kirusi ni Dr.Luc Montagnier, na huyu ni Co-founder wa HIV ukimtoa Dr.Robert Gallo.

Luc Montagnier hakufanya exactly isolation ya HIV, yaani alishindwa kuki isolate kirusi cha HIV kama independent entity. Alichokifanya Luc Montagnier sio isolation ya kirusi exactly, na hili halina ubishi kwasababu muhusika mwenyewe amekiri, na hakukiri jana wala juzi since 1990 kwenye mkutano wa dunia wa ukimwi huko San Fransesco, USA.

Kwahiyo scientist ambao ni deanilist walifanya criticaL analysis kuhusiana na isolation ya kirusi aliyofanya Montagnier, na hitimisho lilikuwa Montagnier hakufanya isolation ya HIV, na hili mwenyewe Montagnier amekiri.

Unaweza kusoma analysisi yao hapa: http://www.theperthgroup.com/Nobel/Montagnier1983Paper.pdf

Kitu ambacho kinanipa doubt wengi wa medical expert wakiwa wana argue wanaonesha wazi kutofahamu background ya HIV/AIDS, lakini inawezekana ikawa sio kosa lao sababu wengi hawana muda wa kusoma vitabu na kufatilia facts mbalimbali zilizopo kwenye huu ulimwengu labda kwasababu ya kuwa busy na wagonjwa.

Mwisho kuhusu scientist kuhitimisha kwamba HIV is not the cause of aids, wenye mamlaka kwenye hii dunia hawataki na wenyewe wanajua kwanini hawataki. Ila scientist walishaomba nafasi ya kuprove wrong HIV/AIDS hypothesis lakini wakakataliwa kwa sababu ambazo hazina mashiko.

Sasa kinachoonekana hapa watu wenye maslahi wameamua kuungana na Robert Gallo ambaye naye alifunguliwa kesi ya kimaadili baada ya kuiba hicho kirusi cha HIV kutoka Luc Montagnier. Ila aliyegundua kirusi mwenyewe yaani Montagnier amekiri wazi kwamba hakufanya isolation ya HIV.

mzee wa kigonzile tatizo linalojadiliwa hapa sio HIV kuwa sababu ya AIDS bali Wanachodai hao hao wadau wawili hapo juu ni kuwa HIV is A non existence completely.

Kutambua presence ya Virus ktk Cell kwa kufanya isolation or purification is a different subject all together.
Na mimi ninachojaribu Kuwaonya hawa watu ni kwamba unapoleta madai yyt yanayohusu Science basi siasa na Maneno matupu hayana nafasi ktk Hili.

Ameniwekea 2 videos na so called scientific factors written back in 1992 km evidence kuwa HIV Viruses is all Hoax.
Sasa kwa maneno km haya wanadhani wanaisaidia Jamii kumbe wanazidi Kuathiri hasa hao wagonjwa ambao wamesha athirika.

Na Hii sio mara ya kwanza kwa Mtanzania Kubeba vitu from dodgy source i.e google na kuanzisha Uzi usio na faida yyt.
Na kukaa kimya ni Makosa manakr Upuuzi wa namna hii unaweza kuleta athari zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Kitoabu naanza kukusoma ktk nyuzi tofauti unavyopotosha ummah na kuongeza Psychological issues ktk vichwa vya wagonjwa wa maradhi haya.
Sijui wewe ni muumini wa dini gani au unaamini Mungu at all.
Unaingia ktk uzi wa mtu aliye athirika na UKIMWI kisha unamuandikia kuwa Hayo Maradhi hakuna!
Mkuu huna hata Haya kwa kuona Huna unachimsaidia Huyo Mgonjwa?
Je! Wewe ungekuwa Umeshahakikiwa Na Dr kuwa una AIDS God forbid kisha akatokea Jamaa asie na Ushahidi wa aina yyt na Kukuropokea kuwa "Hakuna maradhi km hayo, we umedanganywa tu" na wakati huo huo Mgonjwa naathirika na kila siku hali yake inazidi ku deteriorate, kwa busara zako unategemea Unamsaidia Huyo Mgonjwa Au Unamzidishia Matatizo?
Au hutambui Kuwa Wagonjwa wengi wenye maradhi ya namna hii wanapambana na vita mbili ndani ya miili yao.? Vita ya maradhi ya mwili na maradhi ya fikra?

Km huna Mungu unaemuogopa na Kumuheshimu basi Ona japo Huruma km binaadamu wengine.
Onyesha uungwana Wa binaadamu wenye Akili Timamu.
Au Kuna msemo unasema "what goes around comes around ".
The day your loved ones tells you they got it try to tell them that its all bunch of liars, AIDS never excited in the first place and see what they will do to you.
Shame on you. And you should be ashamed for that.

And To all HIV or AIDS Sufferers.

Stop counting your losses and start counting your blessings. Only then will you discover that losses are always easier to point out and count than blessings. And that your blessings will always outnumber your losses, for they are truly immeasurable.

Thank you.
 
Last edited by a moderator:
mzee wa kigonzile tatizo linalojadiliwa hapa sio HIV kuwa sababu ya AIDS bali Wanachodai hao hao wadau wawili hapo juu ni kuwa HIV is A non existence completely.

Kutambua presence ya Virus ktk Cell kwa kufanya isolation or purification is a different subject all together.
Na mimi ninachojaribu Kuwaonya hawa watu ni kwamba unapoleta madai yyt yanayohusu Science basi siasa na Maneno matupu hayana nafasi ktk Hili.

Ameniwekea 2 videos na so called scientific factors written back in 1992 km evidence kuwa HIV Viruses is all Hoax.
Sasa kwa maneno km haya wanadhani wanaisaidia Jamii kumbe wanazidi Kuathiri hasa hao wagonjwa ambao wamesha athirika.

Na Hii sio mara ya kwanza kwa Mtanzania Kubeba vitu from dodgy source i.e google na kuanzisha Uzi usio na faida yyt.
Na kukaa kimya ni Makosa manakr Upuuzi wa namna hii unaweza kuleta athari zaidi.

Mkuu ndio maana nikakuonya toka mwanzo kua "nenda kajadili mambo ya dini" huku hupawezi, hukusikia.

Ona sasa hapa, ndio umeandika nini?

Hapo hapo unakili kua HIV hasababishi AIDs lakini unatetea kua HIV yupo.

Lakini kumbuka nilikuomba unipe picha yake hapa, ukashindwa Fanya hivyo.

Sasa swali linakuja, kama HIV hausiki na kushusha kinga ya mwili, nini hasa tunachojadili hapa?

Kwani Max shimba aka mzee wa upako yuko wapi sikuhizi?
 
Last edited by a moderator:
kahtaan

Mkuu itakua vizuri ukileta hapa comment yangu yoyote niliyosema Ukimwi haupo.

Kinyume na hapo utakua unaongopa na mtume (saw) amekea sana uongo.

Mm nasema ukimwi upo tena ulikuepo tangu bara la Africa halijagunduliwa.

Ninacho pinga ni sababu ya ugonjwa huo kutwishwa huyo HIV.
Usipo nielewa hapa nitautilia shaka uislam wako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ndio maana nikakuonya toka mwanzo kua "nenda kajadili mambo ya dini" huku hupawezi, hukusikia.

Ona sasa hapa, ndio umeandika nini?

Hapo hapo unakili kua HIV hasababishi AIDs lakini unatetea kua HIV yupo.

Lakini kumbuka nilikuomba unipe picha yake hapa, ukashindwa Fanya hivyo.

Sasa swali linakuja, kama HIV hausiki na kushusha kinga ya mwili, nini hasa tunachojadili hapa?

Kwani Max shimba aka mzee wa upako yuko wapi sikuhizi?
Unaropoka ovyo na kusambaza Upumbavu ktk majukwaa kwa kuleta madai yasio na Mashiko.
Unashindwa kutambua basics kuwa HIV sufferer wasio na AIDS ni wengi tu .
Wewe na mwenzako Mnadai HIV hakuna, mara ghafla unaleta habari kuwa HIV haisababishi AIDS.
Make up your mind young man.

Suala La HIV kusababisha AIDS ni lingine kabisa wala halijadiliwi hapa.

Wewe na huyo Google researcher wako mmedai HIV virus HAKUNA KABISA. So called Evidence mnatuletea Mipasho.

Ukiendelea kuleta maneno yako ya kipuuzi Utachafua Uzi sasa hivi.
Ficha Upumbavu wako waungwana wakuone wa maana..

Kisha unajikwaza kuwa unajua.
Kandamba wahed.
 
mzee wa kigonzile tatizo linalojadiliwa hapa sio HIV kuwa sababu ya AIDS bali Wanachodai hao hao wadau wawili hapo juu ni kuwa HIV is A non existence completely.

Kutambua presence ya Virus ktk Cell kwa kufanya isolation or purification is a different subject all together.
Na mimi ninachojaribu Kuwaonya hawa watu ni kwamba unapoleta madai yyt yanayohusu Science basi siasa na Maneno matupu hayana nafasi ktk Hili.

Ameniwekea 2 videos na so called scientific factors written back in 1992 km evidence kuwa HIV Viruses is all Hoax.
Sasa kwa maneno km haya wanadhani wanaisaidia Jamii kumbe wanazidi Kuathiri hasa hao wagonjwa ambao wamesha athirika.

Na Hii sio mara ya kwanza kwa Mtanzania Kubeba vitu from dodgy source i.e google na kuanzisha Uzi usio na faida yyt.
Na kukaa kimya ni Makosa manakr Upuuzi wa namna hii unaweza kuleta athari zaidi.

Mkuu itakua vizur ukileta hapa comment yangu yoyote niliyosema Ukimwi haupo.

Kinyume na hapo utakua unaongopa na mtume (saw) amekea sana uongo.

Mm nasema ukimwi upo tena ulikuepo tangu bara la Africa halijagunduliwa.

Ninacho pinga ni sababu ya ugonjwa huo kutwishwa huyo HIV.
Usipo nielewa hapa nitautilia shaka uislam wako.

We Kitoabu soma uelewe.
Taarabu na mipasho sio hapa.
 
Last edited by a moderator:
Unaropoka ovyo na kusambaza Upumbavu ktk majukwaa kwa kuleta madai yasio na Mashiko.
Unashindwa kutambua basics kuwa HIV sufferer wasio na AIDS ni wengi tu .
Wewe na mwenzako Mnadai HIV hakuna, mara ghafla unaleta habari kuwa HIV haisababishi AIDS.
Make up your mind young man.

Suala La HIV kusababisha AIDS ni lingine kabisa wala halijadiliwi hapa.

Wewe na huyo Google researcher wako mmedai HIV virus HAKUNA KABISA. So called Evidence mnatuletea Mipasho.

Ukiendelea kuleta maneno yako ya kipuuzi Utachafua Uzi sasa hivi.
Ficha Upumbavu wako waungwana wakuone wa maana..

Kisha unajikwaza kuwa unajua.
Kandamba wahed.

Yah! Nilijua utatukana tu, sababu ndio fani yako.

Me sina cha kuongea ila nawaachiwa watakao soma comment zetu hapo juu ndio watakaojua kati yetu mimi na wewe nani kandamba wa hed?

Nakuonya tena wewe sheikh wa mihadhara (usie na taufiq kichwani mwako)

Hapa tunajadili mambo ya kitaalam sio dini.
 
There we go.
Kwa primitive like yourself Dini SIO Jambo la Taaluma Ispokuwa Kudanganya watu Kuwa HIV hakuna ndio Utaalam.

Tafuta kazi ya kufanya kijana. Uongo ni haramu. Utaadhibiwa na aliyekuumba.
 
CC Max shimba.

Naona unamuita mumeo to the rescue.
Mipasho kwa mwanamme haifai kaka.
Mwenye Evidence hana haja ya kutafuta ushabiki wa kipumbavu.
Pole sana.
Nadhani siku nyingine utakoma kuropoka.
 
We Kitoabu soma uelewe.
Taarabu na mipasho sio hapa.

Wewe nilishakudharau kitambo.

Sisi watu wa pwani, tuna msemo mmoja "asiejua maana usimpe maana"

Kwahiyo kuhusu ww nishasahau .

Niko na mstaarabu mwenzangu Kahtan tukibadilishana kile kila mmoja wetu anacho kifaham, japo na yeye anaonyesha Ku panic lkn naimani tutaelewana tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ndio maana nikakuonya toka mwanzo kua "nenda kajadili mambo ya dini" huku hupawezi, hukusikia.

Ona sasa hapa, ndio umeandika nini?

Hapo hapo unakili kua HIV hasababishi AIDs lakini unatetea kua HIV yupo.

Lakini kumbuka nilikuomba unipe picha yake hapa, ukashindwa Fanya hivyo.

Sasa swali linakuja, kama HIV hausiki na kushusha kinga ya mwili, nini hasa tunachojadili hapa?

Kwani Max shimba aka mzee wa upako yuko wapi sikuhizi?

Mkuu,

Naamini ulipitia ule uzi wa "Upimaji wa HIV, coincidences". Moja kati ya michango yangu ilikuwa kuweka picha ya kirusi cha HIV. picha nilizoweka ni latest, from a high resonance electromagnetic microscope. Microscope hii hii ndio inayotumika kutoa picha ya vimelea vingine vingi ambavyo wewe unaamini existence yao,, the very same machine,,meaning sitegemei questions juu ya authenticity ya picha hizo. Tafadhali tembelea uzi ule tena upate hizo picha na ujiridhishe.
 
Mkuu Kahtan usisahau kuja na picha ya HIV iliyopigwa kutoka maabara yoyote ile hapa duniani ili kutetea madai yako.
 
There we go.
Kwa primitive like yourself Dini SIO Jambo la Taaluma Ispokuwa Kudanganya watu Kuwa HIV hakuna ndio Utaalam.

Tafuta kazi ya kufanya kijana. Uongo ni haramu. Utaadhibiwa na aliyekuumba.

Anh! Kahtan huyooo,kwenye ubora wakeeeee!
Ni mitusi tu leo hapa.
 
Mkuu itakua vizur ukileta hapa comment yangu yoyote niliyosema Ukimwi haupo.

Kinyume na hapo utakua unaongopa na mtume (saw) amekea sana uongo.

Mm nasema ukimwi upo tena ulikuepo tangu bara la Africa halijagunduliwa.

Ninacho pinga ni sababu ya ugonjwa huo kutwishwa huyo HIV.
Usipo nielewa hapa nitautilia shaka uislam wako.
Hivi hapa unafanya Kusudi? Au kweli hunielewi!
Wapi nimeandika kuwa Wewe umesema "UKIMWI HAKUNA"! ?

Narudia mara ya Mwisho,
Wewe na mwenzako mmeleta madai kuwa HIV Viruses HAKUNA.
Au hujui tofauti baina ya HIV na AIDS?
Unapoteza wakati wangu bure.
Km hujajua tofauti hizo mbili hapa umeingia kimakosa.

Mimi Umri wangu nilionao hapa UONGO ni mwiko kabisa. Lkn Mtu akiniletea upumbavu huwa nampa mtu maneno yake vibaya sana.

Huwa simshambulii mtu muungwana hatta siku moja. Nadhani unanisoma kila mara mpk ukaamua kumuita huyo mgalatia hapa achafue uzi na kumtukana kiongozi unaemswalia hapo juu. Hii inaonyesha Uwezo wako wa kufikiri uko namna gani.
Nyie ndio wale mnaojiita waislamu lkn walalahoi.
Hilo tuliache manake ntakuvuruga vibaya hapa nipate dhambi buree.

Nakupa Muhsari wa malumbano haya.

Wewe na mwenzako mmedai HIV hakuna. Mimi na wengine tunakuonyesheni SOLID Evidence kuwa HIV wapo, we unadai picha Kitu ambacho Ktk sayansi ni utoto kabisa.
Manake Mtu anaweza kukuletea picha yyt akadai hio ndio A.B.C kisha Ukaanzisha malumbano mapya.

Baada ya kushindwa kuleta ushahidi wenye Mashiko sasa udai ati nimesema HIV inasababisha AIDS kitu ambacho SIJAKIANDIKA HATTA MARA MOJA HAPA na Kama Kipo Nionyeshe.

Baada ya mimi Kukuonyesheni udhaifu wa hoja zenu Unageuza Kibao na kuandika kuwa "KM HIV hakuna Sasa AIDS inatoka Wapi? Ina maana na Hio AIDS hakuna"
Hoja hio hapo juu ni UPUMBAVU uliopitiliza.
Km wewe unapinga UWEPO wa HIV leta Undisputed SCIENTIFIC EVIDENCE hapa tuisome.
La! Huna na unataka Kujua AIDS inasababishwa na nini ULIZA usaidiwe.

Sio kuleta 1+1 ktk science kisha ukatoa hitimisho unazotaka wewe hapa.
Namna gani kijana.! Shule gani umesoma wewe?
 
Mkuu Kahtan usisahau kuja na picha ya HIV iliyopigwa kutoka maabara yoyote ile hapa duniani ili kutetea madai yako.

Picha kwani kuna mtu anataka kukamatwa Ugoni hapa?
We mtu mzima kweli.?
 
Back
Top Bottom