Character yupi wa Prison break alikuvutia?

Huu uzi nimeuona juzi nikashangaa, vitu vya miaka 10 iliyopita vimekumbukwa.

Leo ndo nimejua kumbe PB imeingia sokoni ikiwa imetafsiriwa.
Asimilia kubwa walioangalia prison break walioangalia iliyotafsiriwa kipindi hicho kwenye vibanda umiza.
 
mfano mimi nimeiangalia 2006 wakati nasubiri matokeo yangu ya kuendelea na masomo...tena sio cd ilikuwa ni kwa pc...bro wangu alikuwa na movie za series na single kama zote...mfano wa single move ilikuwa hell raise,saw,wrongturn 1,the bat,drag me to hell n.k kibongo bongo ilikuwa kanumba inaitwa deception sijui..(hapo sijataja za vibanda umiza kama deadly herous,prey,earstern condors,drive n.k)
Umejuaje kuhusu hizo asilimia kubwa?

Nafikiri inategemea na rika na lini umeangalia hiyo series.

Kwa walioianza miaka hiyo kabla ya 2010 waliangalia ambazo hazijatafsiriwa.
 
mfano mimi nimeiangalia 2006 wakati nasubiri matokeo yangu ya kuendelea na masomo...tena sio cd ilikuwa ni kwa pc...bro wangu alikuwa na movie za series na single kama zote...mfano wa single move ilikuwa hell raise,saw,wrongturn 1,the bat,drag me to hell n.k kibongo bongo ilikuwa kanumba inaitwa deception sijui..(hapo sijataja za vibanda umiza kama deadly herous,prey,earstern condors,drive n.k)
Nimeangalia 2007 tena kwa kununua DVD og kwenye kibox pamoja pale Salmacone kulikuwa na duka LA movies og karibu na makao makuu ya Toto Africans
 
sasa enzi zile zilikuwa zimetafriwa? Labda ya yesu tu tena ile ya mwanzo.. sio ile ya mel gbson mpya (nasikia imefungiwa sijui)
 
Back
Top Bottom