Character Never Lies! Utamtambuaje Mtu Mwema au Mbaya?

Character Never Lies! Utamtambuaje Mtu Mwema au Mbaya?

Back to the mada, watu wema ambao bado ni wema ni wachache sana sana sanaaa kwa sababu wengine hubadilishwa na dissapointments au maumivu baada ya watu kuuchukulia wema wake kama gap la kumtumia.

Ila kuna ambao hayo yote hayawabadilishi na kukutana na mtu wa aina hii. Kwa life time si ajabu ukakutana na mmoja, wawili, watatu na ukibahatika sana labda wanne.

Wengi wanafake kuwa wema ili wapate maslahi au wawatumie watu. Ila siku maslahi yasipopatikana, wanajivua gamba. Na hii yawezekana ikawa ndio idadi kubwa ya watu. Arifu watu wana roho mbaya sana
Shukran kaka 😊🙏🙏
 
Ndio wale watu wanaojifanya wema sana kwako ila muhudumu wa bar au restaurant anamfokea ama kumtukana.

Mtu helpless na ambaye hajamfanyia chochote.

Watu wenye roho mbaya na wanaigiza wema huwa hawajifichi uhalisia wao pale wanaposema au wanapowatendea watu ambao hawana msaada kwao.

Na hiyo alert yako muhimu, nimeichukua pia maana ni dalili kuu ya manipulators
Upo sahihi kabisa kaka mtu ana m treat vibaya mfanyakazi wake wa ndani

Anamdhalilisha kwa maneno tena hata mbele yako

Ila anakuambia wewe kaa ujisikie upo nyumbani🙌🙌🙌🙌
 
Swali lako tamu dada ShesRise. Jibu ni kwamba kiasili kila binadamu anaweza kufanya wema na ubaya.

Hivyo tabia za binadamu si imara sana zinaweza kubadilika badilika. Mfano mtu anaweza kukufanyia ubaya lakini akafanya wema kwa ndugu yake.

Labda tuulize namna ya kuishi na binadamu?
 
Binafsi ukiniangalia matendo yangu utajidanganya...mimi nina tabia tofauti kwenye kila mazingira,kuna sehemu likitajwa jina langu watu wanapoteana na kuna sehemu watu wanajua mimi ni seraph kama sio kerubi
 
Upo sahihi kabisa kaka mtu ana m treat vibaya mfanyakazi wake wa ndani

Anamdhalilisha kwa maneno tena hata mbele yako

Ila anakuambia wewe kaa ujisikie upo nyumbani🙌🙌🙌🙌
Hicho kiunzi huwa hawakivuki na bahati mbaya wengi huwa hatushtuki. Kuwa kama sisi tukijikuta kwenye position hiyo hiyo, watatutendea yale yale..
 
Binafsi ukiniangalia matendo yangu utajidanganya...mimi nina tabia tofauti kwenye kila mazingira,kuna sehemu likitajwa jina langu watu wanapoteana na kuna sehemu watu wanajua mimi ni seraph kama sio kerubi
Binadamu unatakiwa kuwa hivi...

Si kila mtu anastahili wema wako 👏🏾👏🏾
 
Swali lako tamu dada ShesRise. Jibu ni kwamba kiasili kila binadamu anaweza kufanya wema na ubaya.

Hivyo tabia za binadamu si imara sana zinaweza kubadilika badilika. Mfano mtu anaweza kukufanyia ubaya lakini akafanya wema kwa ndugu yake.
Swali tamuu😊 Exactly
Labda tuulize namna ya kuishi na binadamu?
Ndio share hapa kaka
 
Pamoja na yote kila mtu ana ile tabia kuu inayo mtambulisha yeye ni nani

Na nikukumbushe tu kuna watu ni wabingwa wa kujua mambo

Hata pale unapodhani una act kua una tabia fulani kuna watu hua wako mbele ya mda wanakuona kabisa una act japo sio lazima wa kuambie
Sio lazima kuna namna hao mabingwa huwa wana misinterprete tabia za baadhi ya watu,

Mfano mimi huwa siongeiongei nikikutana na watu sijawazoe hapo utasikia wakisema yule dada anaringa kumbe sina maringo yoyote sijakuzoea tu sasa nakosa mambo ya kuongea,..

Mimi kama kinyonga tu
 
Sawa kipenzi ni vizuri kweli kutotabirika
Hiyo pia ni ulinzi kwa mtu mwenyewe

Asante dear karibu tena😘
 
Swali tamuu😊 Exactly

Ndio share hapa kaka
Kuishi na binadamu, kwanza kipaumbele chako kiwe kufanya mambo kwa usahihi. Badala ya kufanya mambo kutafuta sifa au kuiga iga.

Ok mambo sahihi haya hapa
Heshimu watu kama walivyo.
Usiingilie mambo Yao binafsi
Fuata utaratibu wa kijamii.
Jilinde dhidi ya uovu wao
Huenda Kuna zaidi tutajifunza kwenye jamii
 
Back
Top Bottom