Personally, sijawahi ku experience gubu la my aunties, so ni watu wema kwangu at least kwenye aspect hiyo, kwa wengine hawaonekani kuwa wema.Siachi mashangazi tuna gubu😂
Nakupenda mwanangu
Upo kwangu ☺️
Personally, sijawahi ku experience gubu la my aunties, so ni watu wema kwangu at least kwenye aspect hiyo, kwa wengine hawaonekani kuwa wema.Siachi mashangazi tuna gubu😂
Nakupenda mwanangu
Upo kwangu ☺️
Mimi nitakua auntie mwenye gubu😎Personally, sijawahi ku experience gubu la my aunties, so ni watu wema kwangu at least kwenye aspect hiyo, kwa wengine hawaonekani kuwa wema.
Bad side ovu yu.Mimi nitakua auntie mwenye gubu😎
Umewaza mbali sana ☺️☺️🤗🤣🤣Bad side ovu yu.
Your good side unaonekana unapenda sana mastory angalau kwenye maandishi. Hope kipindi cha ku date ulikuwa unachangamsha sana simu ya uncle with your endless sms notifications.
Hivi naonekana jeBad side ovu yu.
Your good side unaonekana unapenda sana mastory angalau kwenye maandishi. Hope kipindi cha ku date ulikuwa unachangamsha sana simu ya uncle with your endless sms notifications.
McheshiHivi naonekana je
Mpaka umewaza hivyo we kijana 😎
Wow thank you ☺️Mcheshi
Mchangamfu
Talkative sijui ndio mzungumzaji sana tuseme.
Not only great thinker but also Deep thinker
Wengine ni alivyo au malezi aliyokulia. Ila sometimes mtu akiwa performer na sna attitude hizo, office inachangamka maana wabongo pia kusipokuwa na hizo figures. Mambo yanaenda tu tunavyotakaKuna msaidizi wetu kazini ana hzo pigo tukiwa tumetoka out.
Hiyo attitude huwa inanipa maswali sana kuhusu tabia nzima ya mtendaji.
Hii inaitwa: "Newton's Third law of motion".Hakuna wema bila ubaya ,na hakuna ubaya bila wema, binafsi mimi ni mtu mbaya kwa wabaya na mwema kwa watu wema.
Sahihi kaka asante karibu tena😊Human Nature:-
1.Jinsi wewe ulivyo - Hii haibadiliki
2.Jinsi watu wanavyokuona - Hapa kuna 1 2 3 Action ,Cut ,One Take
3.Jinsi wewe unavyojiona - Mwamba ngoma huvutia kwake
Kuwa Mbaya au Wema inategemea huyo mtu na watu wengine wanavyomchukulia ,kuna watu wanasema jamaa ana roho nzuri sana lakini ukakutana na mtu mwingine akasema jamaa ni noma rohombaya sana ,sas kwa mtu kama huyo utamuweka kwenye kundi gani?
Kuna mwingine anakuactia ubaya kwasababu ulimfanyia uhuni ingawa yeye kama yeye ana roho safi tu.
SawaYanalandana
Yeahni ngumu kuwatambua
Ila unakuwaga na point za maana, very bright ndio maana nakupendaKwenye ubishi niombee 🤦🏻♀️😂
Lakini nadhani ubishi ni my love language, mimi kama sikujali, hata ukosee sitakurekebisha, kimya kama sipo. I have 0 business telling someone i don’t care about what to do…
Ila kama nakujali, nikikuona kuna kitu unakosea tutaparangana mnooo.
Dah asante 🤦🏻♀️Ila unakuwaga na point za maana, very bright ndio maana nakupenda
Leo tupo wote Argentina? Au una usingizi? 😆Dah asante 🤦🏻♀️
Nakupenda pia 🤍
Nilikuwa nimetingwa, nimeingia kuchungulia humu tu…Leo tupo wote Argentina? Au una usingizi? 😆