Katika dunia ya sasa kila kitu kinaweza kuigwa vyema tu ila kabla ya kuchunguza unatakiwa kuwaelewa watu hawa;
Introvet; huyu unaweza kaa nae muda mrefu na bado ukaamini ana roho mbaya kisa tu huelewi yeye ni mtu wa aina gani.
Extrovet; anaweza kua anakufanyia wema kwa lengo la wengine waone ila katika nafsi yake sio kusudio lake anaweza kufurahia anguko lako lakini si kwasababu ya ukaribu laah hapana ni kwasababu aliona ulichokua nacho wewe hukustahili.
Ni vyema kuelewa saikolojia ya mtu kwanza sio kupima wema wa mtu kwa matatizo yako hapana wengine wanaogopa kujitoa sana kwa watu kwasababu ya husda na hulka ya mwanadamu ilivyo ndomaana leo hii mtu akiwa na misimamo yake binafsi katika kuendesha maisha yake huonekana kua na roho mbaya hapana ni dunia kwasasa inataka tuishi ivyo.
ShesRise_1