de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,457
- 22,803
Nimekuelewa ila Kuna kitu personal nataka tuongee sio unacho kiwazia lakini😂 kuna pattern za uandishi hapa ambazo unazo ila kuzi elewa zaid inabidi tuongeeMbona hua unaandika vizuri sana tu
Shida sio kwamba hawakuelewi
Wewe hua unakuja na hitimisho hutaki mtu aseme tofauti na wewe
Ndio kupingana inavutia na kufanya mjadala uwe mzuri ila kwako hua tofauti hutaki kabisa mtu aende kinyume na mawazo yako
Wakati mimi nikifungua uzi wangu sitaki kua final say sababu watu wengi wanao comment wanajua sana kuliko mimi
Na hua naodoka na faida nyingi sana kwenye mada zangu