ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,746
- 42,179
- Thread starter
- #21
Ni kweli bwasheeWema una mipaka yake ukivuka mipaka unabadilika kuwa ugoigoi
Ni kweli bwasheeWema una mipaka yake ukivuka mipaka unabadilika kuwa ugoigoi
Hapana hata havihusiani kabisaMtu mwema ataonekana mwema mpaka pale atakapochoka kuvumilia ubaya wa wabaya.
Bwashee unampokea mtu kama atakavyokuja,Yeah ni mbaya kwa wabaya na mwema kwa wema , kipi haujakielewa hapo?
KaribuInasikitisha sana
Mtu mwema hawi mwema kwa wema au kwa sababu huyu ni mbaya mwenzangu basi ni mwema mwenzangu, hakuna kanunu ya namna hiyo.Yeah ni mbaya kwa wabaya na mwema kwa wema , kipi haujakielewa hapo?
Kabisa usitabirike , kuna aina ya watu ukitabirika wanakupanda kichwani, na mwisho wa siku unaonekana goigoiBwashee unampokea mtu kama atakavyokuja,
Unaishi kama Kinyonga tu,unabadilika kutokana na mazingira.
Labda nikupe mfano utanielewa lets say mwanaume anamwanamke mwenye tabia njema tu, lakini yeye anamtesa anamcheat na vitu kahizo unadhani huyu mwanamke haitafika stage awe mbaya pia?Hapana hata havihusiani kabisa
Mtu kuvumilia ubaya wa wengine hakumfanyi uwe mwema
Kwa mfano Mimi nikikutongoza ukanikataa,Yes, indeed
Wema na ubaya ni pande mbili katika shilingi moja , hakuna wema bila ubaya na hakuna ubaya bila wemaMtu mwema hawi mwema kwa wema au kwa sababu huyu ni mbaya mwenzangu basi ni mwema mwenzangu, hakuna kanunu ya namna hiyo.
Sasa kwanini awe mbaya na wakati kuna option ya kuondoka na kuanza moja?Labda nikupe mfano utanielewa lets say mwanaume anamwanamke mwenye tabia njema tu, lakini yeye anamtesa anamcheat na vitu kahizo unadhani huyu mwanamke haitafika stage awe mbaya pia?
Ukiweka goti naweka ugoko , ubaya ubwelaSasa kwanini awe mbaya na wakati kuna option ya kuondoka na kuanza moja?
Hivi hujui kua ubaya kumla mwenye nao?
Ndio maana humu kwenye jukwaa huwa mnasema mtu anakuwa mbaya sababu ya trauma au mambo aliyipitia hazaliwi akiwa mbaya, au unapindisha ukweli ili hoja zako ziwe valid.Sasa kwanini awe mbaya na wakati kuna option ya kuondoka na kuanza moja?
Hivi hujui kua ubaya kumla mwenye nao?
Huwezi kuniona mtu mbayaKwa mfano Mimi nikikutongoza ukanikataa,
Hapo wewe unakua ni mtu mwema au mtu mbaya?
Maana yangu ni kuaCoz hujaiweka hoja yako specific kua huo ubaya na wema tunaupima kwenye angle gani.
Asantee karibuMuda ndio Mwalimu
Katika mtazamo huo, ubaya ni suala la uchaguzi sio asili. One is an entity and another is not.Wema na ubaya ni pande mbili katika shilingi moja , hakuna wema bila ubaya na hakuna ubaya bila wema
Hoja zangu sio sheriaNdio maana humu kwenye jukwaa huwa mnasema mtu anakuwa mbaya sababu ya trauma au mambo aliyipitia hazaliwi akiwa mbaya, au unapindisha ukweli ili hoja zako ziwe valid.