ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,749
- 42,227
- Thread starter
- #41
Inawezekana YesHili jambo ni pana
Mtu anaweza kuwa mwema ila wewe ukamfanya awe mbaya na ukamwona mbaya siku zote pasipo kujua ni wewe ulimfamya awe hivyo.
Ukimtendea mtu mabaya akashindwa kusamehe na kuamua kulipa kwa nguvu ile ile kulingana na matendo yako lazima utamuona mbaya tu