Chanzo cha shetwan ( shetani ) ni nini katika uislam?

Fortyseven

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2020
Posts
1,471
Reaction score
2,674
Surat Al-Baqarah (2:34):

"Na tulipowaambia Malaika: Mumsujudieni Adam, wakasujudu isipokuwa Iblis. Alikataa na akajivuna, na alikuwa miongoni mwa makafiri."

Pia inatajwa katika:
  • Surat Al-A'raf (7:11–12)
  • Surat Sad (38:71–74)
  • Surat Al-Hijr (15: 28- 31)

Surat Sad (38:71–72):
"Mwenyezi Mungu alisema: Hakika Mimi ninamuumba mwanadamu kwa udongo. Basi nitakapomtengeneza na kumvuvia roho Yangu, basi angukieni kumsujudia."

Aya ya 73:
"Malaika wote wakasujudu wote pamoja,"

inakuwaje Allah anawaamuru malaika wamsujudie kiumbe aliyeumbwa kama wao ndugu zangu katika imani msaada tafadhal. @ everyone
 
Hapo kuna mistake 2 za Allah.

1 ,kasahau kwamba yeye pekee ndiye wa kuabudiwa,kwa amri ambayo agaitoa baadae ije ipingane na tukio hili lililomponza ibilis.

2. Agizo kawapa malaika,adhabu kapewa ibilis kwa kugomea amri,huu ulikuwa uonevu wa wazi.

Ilifaa amri iwataje wote.
 
Ww unaujua ukweli mna apo ulipotaja iyo aya ya mwanzo mbele yake ndo kwenye majibu sasa sijui lengo lako ni nini
kwann allah awaamuru viumbe wasujudie tena kiumbe ambaye si allah nisaidie tafadhal
 
Hapo kuna mistake 2 za Allah.

1 ,kasahau kwamba yeye pekee ndiye wa kuabudiwa,kwa amri ambayo agaitoa baadae ije ipingane na tukio hili lililomponza ibilis.

2. Agizo kawapa malaika,adhabu kapewa ibilis kwa kugomea amri,huu ulikuwa uonevu wa wazi.

Ilifaa amri iwataje wote.
Sibora kobaz wanejaribu kuiweka yenye mantiki kuliko uko kwa makafiri ambapo mnasema malaika walioasi hata wayahudi mnaowaiga hawana hiyo dhana kwenye dini Yao ya Judaism hawaamini Kabsa kama malaika anaweza asi
 
Surat Al-Baqarah (2:34):

"Na tulipowaambia Malaika: Mumsujudieni Adam, wakasujudu isipokuwa Iblis. Alikataa na akajivuna, na alikuwa miongoni mwa makafiri."

Pia inatajwa katika:
  • Surat Al-A'raf (7:11–12)
  • Surat Sad (38:71–74)
  • Surat Al-Hijr (15: 28- 31)

Surat Sad (38:71–72):
"Mwenyezi Mungu alisema: Hakika Mimi ninamuumba mwanadamu kwa udongo. Basi nitakapomtengeneza na kumvuvia roho Yangu, basi angukieni kumsujudia."

Aya ya 73:
"Malaika wote wakasujudu wote pamoja,"

inakuwaje Allah anawaamuru malaika wamsujudie kiumbe aliyeumbwa kama wao ndugu zangu katika imani msaada tafadhal.
Mbona bichwa lako la habari lina swali tofauti na lililo kwenye utumbo wako wa habari?
 
Shetan ni sifa:

"Na hivyo ndivyo tulivyowafanya kila Nabii kuwa na adui—mashetani miongoni mwa wanadamu na majinni..."Qur’an 6:112
ibilisi na shetan ni viumbe vi2 tofauti au xote ni sifa?
 
Ibilisi ni jina, shetan ni sifa. Ibilisi ni katika majinni.

Katika Qur’ani, Shetani (Iblis) anatambulika kuwa ni miongoni mwa majinni, si malaika. Hili linaelezwa wazi katika Surat Al-Kahf:

"Alikuwa miongoni mwa majinni, akamuasi Mola wake."Qur’an 18:50
 
Ibilisi ni jina, shetan ni sifa. Ibilisi ni katika majinni.

Katika Qur’ani, Shetani (Iblis) anatambulika kuwa ni miongoni mwa majinni, si malaika. Hili linaelezwa wazi katika Surat Al-Kahf:
sasa ilikuwaje allah anamuamuru jinni amsujudie kiumbe adam........???au wa kusujudiwa ni nani na nan kwa mujibubwa quruan tukufu
 
Hapo kuna mistake 2 za Allah.

1 ,kasahau kwamba yeye pekee ndiye wa kuabudiwa,kwa amri ambayo agaitoa baadae ije ipingane na tukio hili lililomponza ibilis.

2. Agizo kawapa malaika,adhabu kapewa ibilis kwa kugomea amri,huu ulikuwa uonevu wa wazi.

Ilifaa amri iwataje wote.
Aloooo
 
Surat Al-Baqarah (2:34):

"Na tulipowaambia Malaika: Mumsujudieni Adam, wakasujudu isipokuwa Iblis. Alikataa na akajivuna, na alikuwa miongoni mwa makafiri."

Pia inatajwa katika:
  • Surat Al-A'raf (7:11–12)
  • Surat Sad (38:71–74)
  • Surat Al-Hijr (15: 28- 31)

Surat Sad (38:71–72):
"Mwenyezi Mungu alisema: Hakika Mimi ninamuumba mwanadamu kwa udongo. Basi nitakapomtengeneza na kumvuvia roho Yangu, basi angukieni kumsujudia."

Aya ya 73:
"Malaika wote wakasujudu wote pamoja,"

inakuwaje Allah anawaamuru malaika wamsujudie kiumbe aliyeumbwa kama wao ndugu zangu katika imani msaada tafadhal.
Kwani shetani na Uislam si ni kitu kimoja tu?
 
Hawa si ni kitu kimoja tu au kuna tofauti?
 
Mungu hawezi kutoa hiyo kauli ya kwamba mwanadamu asujudiwe
 
Back
Top Bottom