Karaoke
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 871
- 1,697
sasa ilikuwaje allah anamuamuru jinni amsujudie kiumbe adam........???au wa kusujudiwa ni nani na nan kwa mujibubwa quruan tukufu wewe unachanganya kati ya kuabudu na kusujudu
Wewe unachanganya kati ya kuabudu na kusujudu.