EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
Kikwete anaonewa sana humu, watu wanamchukia bila sabab lakini ni mtendaji hodari sana. Kaibadilisha sana Tanzania, kuanzia mawasiliano, uchumi, maisha bora, viwanda, international relatuon, utalii, demokrasia mpaka the way ya thinking ya watu imekuwa bora kuliko wakati wowote ule.
"If somebody says, 'What is your wish?' I'd say, 'If I got a billion dollars a month in terms of government revenue, I can turn Tanzania into heaven", President Kikwete