Chanzo cha mto Nile kipo Tanzania?

Chanzo cha mto Nile kipo Tanzania?

Inasemekana kuna underground sources nyingi sana zinai feed Victoria na nyingi zaidi zipo Tanzania kuliko mito tunayoiona juu. Makes a lot of sense to me.

I doubt that. Lake Victoria has a maximum depth of 83 meters and an average depth of 40 meters. Pretty shallow.

Hizi habari umezipata wapi?

Lake Victoria - Wikipedia, the free encyclopedia

Lake Victoria receives its water primarily from direct precipitation and thousands of small streams. The largest stream flowing into this lake is the Kagera River, the mouth of which lies on the lake's western shore. Lake Victoria is drained solely by the Nile River near Jinja, Uganda, on the lake's northern shore.[SUP][4][/SUP]
 
Mwisho wa mto ni kule maji yanapoelekea/yanapofikia. kivipi victoria ni mwisho wa mto nile? Nahisi unachanganya kati ya mwanzo na mwisho!!!!!!
hapana,hapa sikuwa serious mate,victoria sio mouth ya river Nile
 
Ujue watu wengine wakiangalia ramani Misri imekaa juu, Ziwa Victoria lipo chini wanafikiri maji yanatiririka kutoka baharini huko Misri yanakuja kuishia ziwani.

Hahahahaaaaaaa! Dah! Aisee nacheka hadi mdau ananiuliza kunani!!!!

Mmmh! nahisi huyo mdau aliteleza tu kusema vile.
 
Huyo ni Mrundi, unajuwa Burundi pale mtu akikwambia "niuzie" ndiyo anamaanisha ninunulie.

Usishangae akichanganya mwanzo na mwisho ndiyo yale yale ya niuzie na ninunulie!

Hapo sasa.
urakoze madame,amahoro?
 
Mbona tunabaguana?hizi nchi zilikuwa moja,ni wakoloni tu walitugawa

Karibu hatukubagui....wengine we have a thing na wanawake wa kinyarwanda lol

ila hizo post ni kama TZ huipendi that much...ni kama una favor Burundi na Rwanda first ,Uganda second..TZ ya mwisho hivi kwako...
 
Egypt wanapokea watalii zaidi ya milioni 3 ambao baadhi yao wanaenda tazama Nile
sisi tumelala tu

Tumelala karibu kwenye sekta yote ya Utalii..Tungeweza kutengeneza noti za ukweli sana aise, maana wazungu hawana haya mambo, na ni lazima wayaone, tumeshika makali, tatizo kuanzia waziri, naibu, katibu, wakurugenzi mpaka wafanyakazi wao WIZARA YA UTALII, wako dolo, wao kuwaza kuiba ngozi za wanyama, wanyama wenyewe, pembe za faru na tembo, tena hapa juzi manyang'au wamenifanya nisikie aibu sana, wameanza kutumia mifupa ya mbuzi, kondoo na ng'ombe kuchonga vinyago, nikajiuliza kama sisi wabongo ni namba wani katika kluwa wavivu kufikiri na kubuni!

Tuna "Attractions" nyingi mno, sana tu, ila mpaka leo tumeng'ang'ana na vile vilivyo obvious, milima, maporomoko, wanyama, mifupa ya ancestors, mandhari...LIST ni ndefu mno mkuu...
 
hahahaa! Tukuulize wewe ndo ulienda shule gani. Ziwa victoria limesambaa mpaka ethiopia eh?

sio limesambaa unatakiwa ujue wapi lilikotokea naona haujawahi kushika atlasi
 
The Boss, hii Ni topic nzito Sana and it needs a bible of explanation, just, think from the Congo river . To Burundi then Rwanda . Harafu Victoria . Upande mwingine n the Nile . It's more geographical na earth movements. Seismological survey ina all the answers you can possibly need. Ndo maana Uganda wana mafuta . Sisi hakuna , inategemea na earth movement kule chini kukoje, every river has a source na source Ya Nile iko upande wa pili wa Victoria , n Sawa na lake tanganyika, **** trench chini yake inatokea Japan. Hizi n geographical facts. Otherwise you ll need to understand how we find oil or gas, KWA nn irag has the purified oil ever.

Acha waganda waseme yao, but the know the fact. N Sawa na Kenya kasema klm n yao

why hao wazungu ndo waje kutuambia kitu kiko pale miaka yote?
mbona hata kutangaza tu kwenye utalii hatutangazi?
huoni kuna mysteries hapo?

mbona hatugombani na uganga wanapotangaza wao chanzo chao cha Nile?
 
The Boss, hii Ni topic nzito Sana and it needs a bible of explanation, just, think from the Congo river . To Burundi then Rwanda . Harafu Victoria . Upande mwingine n the Nile . It's more geographical na earth movements. Seismological survey ina all the answers you can possibly need. Ndo maana Uganda wana mafuta . Sisi hakuna , inategemea na earth movement kule chini kukoje, every river has a source na source Ya Nile iko upande wa pili wa Victoria , n Sawa na lake tanganyika, **** trench chini yake inatokea Japan. Hizi n geographical facts. Otherwise you ll need to understand how we find oil or gas, KWA nn irag has the purified oil ever.

Acha waganda waseme yao, but the know the fact. N Sawa na Kenya kasema klm n yao

Lake Tanganyika na Japan connection....very interesting ..tunahitaji kujifunza zaidi naona..
 
sio limesambaa unatakiwa ujue wapi lilikotokea naona haujawahi kushika atlasi

Kumbe halikuwa pale lilipo?

Well, hebu tufafanulie ni wapi lilikotokea hilo ziwa.

B'se lazima atlas itakuwa inaonyesha movement ya hili ziwa kutoka huko lilikokuwa hadi hapa lilipo sasa.
 
Ukitazama hiko kipindi utaona hii ishu ni 'very controversial ' kama alivyosema EMT
hata tukiwaonesha mto Kagera ni sawa tu
but kupitia hiko kipindi kuna mto mkoa wa Mara ndo wanadai huo ndo 'real source'
tunaweza onyesha huo mto
mbona hao waingeeza wametoka Uingereza kupitia Rwanda na Uganda na still wakaja ku claim huo mto?

Ukisoma historia ya chanzo halisi cha mto Nile hakuna jibu sahihi isipokuwa utapata vyanzo vikuu viwili ambavyo ni White n' Blue Nile na mlolongo wa nchi...

Kwa kuzingatia hilo ndio maana kuna mapatano ya nchi zote za bonde la mto Nile hata zile ambazo mto umepita tu...
 
Last edited by a moderator:
Ujue watu wengine wakiangalia ramani Misri imekaa juu, Ziwa Victoria lipo chini wanafikiri maji yanatiririka kutoka baharini huko Misri yanakuja kuishia ziwani.

Hahah sasa si yangefurika huku kwetu...
 
Back
Top Bottom