EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
ulisoma shule gani mpaka usijue kuwa chanzo cha mto nile ni ziwa victoria
Hahahaa! Tukuulize wewe ndo ulienda shule gani. Ziwa Victoria limesambaa mpaka Ethiopia eh?
ulisoma shule gani mpaka usijue kuwa chanzo cha mto nile ni ziwa victoria
Lakini ujue hata kama lake victoria ndo chanzo cha Nile,haiwezi kuwa Tanzania lazima itakuwa upande wa Uganda kwenye maporomokoInawezekana hili la Nile hatulijui kabisa
hatuna taarifa hata kama 'source ya Nile ni big deal kiutalii duniani'
mmmmmh enzi zako za 70s,source ni wapi?
Lakini ujue hata kama lake victoria ndo chanzo cha Nile,haiwezi kuwa Tanzania lazima itakuwa upande wa Uganda kwenye maporomoko
Hapa unatudanganya alievuta maji ni Mkapa,Lowasa akiwa waziri wa maji
haiwezi kuwa Tanzania,itakuwa milimani huko Rwanda na BurundiVicky kuna point unai miss hapa kabisa
sijasema Lake Victoria ni source ya Nile
na wala kwenye hiko kipindi hawakusema ni lake Victoria
waliipata source nyingine ambayo ni kama chem chem au mto uliokufa hivi...
so naamini hapo umeelewa now....sipo kabisa kwenye Lke Victoria....
mimi mwenyewe nilikua najua source ni mto Kagera maybe..wao walienda Mara wakapata mto mwingine au chem chem ingine.....mbali na ziwa Victoria....
hahahaha Kariakoo Dar,siyo escrow kwa Jk na Ruge?Source Kariakoo, Dar.
Halafu kuna watu wanajidai "oooh Kikwete kafanya nini?", waulizeni wanaopata maji ya Victoria sasa hivi Kikwete kafanya nini.
sasa imagine wanakuja Tanzania utawapeleka wapi,na uwaambie hii ndo possible source ya Nile?Still 'disputable' so hata tukisema ni TZ na watalii wakaja hakuna shida
sasa imagine wanakuja Tanzania utawapeleka wapi,na uwaambie hii ndo possible source ya Nile?
Uganda wanajinadi
Burundi wanajinadi
Ethiopia wanajinadi..
hata Rwanda nao wameanza
Why sisi hatujinadi kabisa?
Inawezekana hili la Nile hatulijui kabisa
hatuna taarifa hata kama 'source ya Nile ni big deal kiutalii duniani'
Mkuu hao wengine wanajinadi kwa kuwa wana sehemu za kuonesha kuwa ndio vyanzo....
Je sisi tutaonesha nini; ziwa lenyewe, mto Mara au Kagera?
Unaiweza sana kazi ya public relation officer.
Lakini interest yangu ni baada ya JK kuondoka madarakani utakuwa "public relation officer" wa nani.
Atakayekuhitaji baada ya JK lazima price tag yako itakuwa juu.
Tunawapeleka huko Mara kwenye huo mto ambao hao jamaa wa Uingereza wame claim ni source...
au mto Kagera au kwenye mabonde ya ufa huko jirani na ziwa Victoria...
Labda mto kagera,ila kumbuka pia mto kagera chanzo cheke kipo BurundiTunawapeleka huko Mara kwenye huo mto ambao hao jamaa wa Uingereza wame claim ni source...
au mto Kagera au kwenye mabonde ya ufa huko jirani na ziwa Victoria...
hahahaha Kariakoo Dar,siyo escrow kwa Jk na Ruge?
Unakumbuka wakati wa genocide ya Rwanda miili ya watu ilikuwa inakuja na mto Kagera na kuingia ziwani?
Hapo mtu anaweza kudai kuwa kama source ya Nile ni mto Kagera, basi watalii wapelekwe Rwanda yanakotoka maji yaliyoleta ile miili ya watu unless waliileta mpaka mpakani na kuirushia kwenye mto.