Chanzo cha mto Nile kipo Tanzania?

Chanzo cha mto Nile kipo Tanzania?

Hahahahaaa. Ila hawa jamaa nawapenda jinsi wanavyojua ku-popularise series zao.

Nilivyosoma heading wanakuja East Africa, nikajua hawa hawaji kwa ajili ya kutest magari kwenye Safari Rally.

They like controversies. Kama kule Argentina walivyoweka plate number ya FKL walikuwa wanajua wanachotafuta.

"That is a proud moment - but there's a slope on it" - Jeremy Clarkson.

"You're right, it's definitely higher on that side" - Richard Hammond.

Kumbe walifanya hiyo? wakimaanisha "Falkland Islands"? Wachokozi.
 
kagera river na ruvubu river source yake ni Burundi,na ndiyo source ya nile river

Waganda wanavutia kwao
Ethiopia pia
na sisi hatuvutii kwetu
wewe unavutia sana Burundi,why? una asili ya huko?
 
Na kama kweli victoria ndio chanzo, kuna sehemu nimeona hii...

"Geological studies have shown that the lake has dried up completely a few times in the past. The last time was approximately 17,300 years ago"

Je civilisation ya misri kuna nyakati zozote ilifutika?

Hapo kwenye red possibly hapana kwa sababu kama civilization ilikuwa inategemea maji ya Mto Nile, Ziwa Victoria, kama kweli ni chanzo, basi siyo chanzo pekee cha Mto Nile.
 
Kwa nini watu wengi wanaupindisha ukweli kuhusu mto nile,

watanzania ni kujifariji , kusema kwamba mto nile chanzo chake ni tanzania.

ukweli kuhusu huu mto huu unaanzia afrika ya mashariki kwa maana ya kwamba ziwa victoria limeingia uganda na kenya,
ni bora ikaudwa tume yakukusanya mapato yanatokana na utalii kupitie ule mto yagawanywe katika nchi hizi tatu.

kwa nini mnasema mto nile unaanzia tanzania???
 
Waganda wanavutia kwao
Ethiopia pia
na sisi hatuvutii kwetu
wewe unavutia sana Burundi,why? una asili ya huko?
umeanza,halafu nimegoogle wanasema source ipo Rwanda,mimi navyoona source itakuwa kati hapo Burundi nikicosider Ruvubu river na tributary wake kagera river
 
Kumbe walifanya hiyo? wakimaanisha "Falkland Islands"? Wachokozi.

Yes, tena kwenye plate number wakaweka na mwaka wa ile vita baina ya Argentina na Uingereza. Cheki picha.

Journalist who first noted Top Gear controversial H982 FKL number plate slammed idea it was an accident and said 'no one can think it was a casual thing'.

Journalist who first spotted controversy slams claims it was a coincidence.
Reporter Carlos Cristofalo first questioned the plate on September 19.
It led to the Top Gear crew being chased out of Argentina by enraged locals.
They later claimed any reference to the 1982 conflict was coincidental.

21EBCE7B00000578-0-image-a-49_1419516066012.jpg

1413023066721_wps_10_image001_png_Jeremy_Clark.jpg

21E26EF600000578-2886973-image-a-54_1419519694031.jpg

Source: Journalist who first noted Top Gear controversial H982 FKL number plate slams idea it was an accident | Daily Mail Online
 
umeanza,halafu nimegoogle wanasema source ipo Rwanda,mimi navyoona source itakuwa kati hapo Burundi nikicosider Ruvubu river na tributary wake kagera river
I still insist utazame kipindi kile sababu hadi huko Rwanda na hiyo Ruvubu river walifika....
 
ulisoma shule gani mpaka usijue kuwa chanzo cha mto nile ni ziwa victoria

Wewe uliesoma shule unajua tofauti ya 'the source' na 'a source' ?
umesoma thread nzima au unajiabisha tu hapa?
 
Chanzo cha mto NILE ni Lake Victoria na milima ya Ethiopia ndio maana Egypty ilipinga sana mradi wa maji kutoka victoria
 
Kwa nini watu wengi wanaupindisha ukweli kuhusu mto nile,

watanzania ni kujifariji , kusema kwamba mto nile chanzo chake ni tanzania.

ukweli kuhusu huu mto huu unaanzia afrika ya mashariki kwa maana ya kwamba ziwa victoria limeingia uganda na kenya,
ni bora ikaudwa tume yakukusanya mapato yanatokana na utalii kupitie ule mto yagawanywe katika nchi hizi tatu.

kwa nini mnasema mto nile unaanzia tanzania???

Mbona ipo na inaitwa Lake Victoria Basin Commission na wanayo protocol for sustainable development...
 
Nilitazama kipindi cha TOP GEAR naona mwisho wanadai kuipata the 'true source ya mto Nile' kuwa iko Tanzania
kuna anaejua more kuhusu hili?

Top Gear (series 19) - Wikipedia, the free encyclopedia

Bado kuna mabishano makali mno kuhusu hili swala, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi bado wanapigia haki hii, ila wengine wanadai kuna chem chem inayotengeneza mto Ruvyironza, wanadai ndio source...
Ila yote kumi, Misri ndio mpaka sasa walio na haki ya matumizi ya maji ya River Nile! Kichekesho..
 
hii ishu ni very sensitive kiutalii.....tunapaswa kuizuia Uganda kujitangaza kuwa na chanzo cha Nile kama kweli kiko kwetu

Mkuu hata kama moja ya vyanzo vya mto Nile ni bonde la ziwa Victoria lakini bado hakuna nchi yenye umiliki wa 100% wa Victoria pamoja na sehemu kubwa ya ziwa hili kuwa Tanzania Bara...

Hivyo kama ziwa Victoria ni chanzo halisi cha mto Nile basi Uganda kama nchi nao wana sehemu ya kujinadi kuwa ni moja ya chanzo...
 
Uganda wanajinadi
Burundi wanajinadi
Ethiopia wanajinadi..
hata Rwanda nao wameanza

Why sisi hatujinadi kabisa?
 
Sasa hapa my point ni hii kama hiyo source ni disputable
na wapo wanaodai iko TZ including hao Waingereza
kwa nini sisi hatutumii hilo kujitangaza tupate watalii kama Uganda invyofanya?

Who cares? Mbona hakuna dispute kuwa mlima Kilimanjaro uko Tanzania, lakini wengine wanautumia kuvutia watalii kwao na hatusemi chochote?
 
Ikumbukwe kuwa Tanzania ilikuwa hairuhusiwi kutumia kwa kuyavuta kuyasafirisha maji ya Victoria mpaka kwa idhini ya Egypt.

Kikwete akafanya ubabe na kuyavuta kuyapeleka Shinyanga na Sasa Tabora na kwingine.

Alilianzisha Mkapa, Wamisri wakaja juu, wakakubaliana watakuja kuchimba visima badala ya kutumia Victoria maji kwao tyatappunguwa wakaleta mpaka mitambo ya kuchimbia visima, Mkapa akagwaya (sijui alipenyezewa rupia, maanake Mkapa nae ndiyo chanzo cha ufisadi wote mkubwa Tanzania).

Kikwete kuja akasema aahh, ujinga huu, watu wetu wana shida ya maji, maji yako kwetu, halafu tusiwapelekee? akaamuru miradi ianzishwe na watu wapelekewe maji. Naam, sasa hivi tunaona maji yakisambazwa kutokea Victoria kwenda Shinyanga na Tabora kwa ubabe wa Kikwete.

Halafu kuna watu wanajidai "oooh Kikwete kafanya nini?", waulizeni wanaopata maji ya Victoria sasa hivi Kikwete kafanya nini.
 
Who cares? Mbona hakuna dispute kuwa mlima Kilimanjaro uko Tanzania, lakini wengine wanautumia kuvutia watalii kwao na hatusemi chochote?

Inawezekana hili la Nile hatulijui kabisa
hatuna taarifa hata kama 'source ya Nile ni big deal kiutalii duniani'
 
Ikumbukwe kuwa Tanzania ilikuwa hairuhusiwi kutumia kwa kuyavuta kuyasafirisha maji ya Victoria mpaka kwa idhini ya Egypt.

Kikwete akafanya ubabe na kuyavuta kuyapeleka Shinyanga na Sasa Tabora na kwingine.

Alilianzisha Mkapa, Wamisri wakaja juu, wakakubaliana watakuja kuchimba visima badala ya kutumia Victoria maji kwao tyatappunguwa wakaleta mpaka mitambo ya kuchimbia visima, Mkapa akagwaya (sijui alipenyezewa rupia, maanake Mkapa nae ndiyo chanzo cha ufisadi wote mkubwa Tanzania).

Kikwete kuja akasema aahh, ujinga huu, watu wetu wana shida ya maji, maji yako kwetu, halafu tusiwapelekee? akaamuru miradi ianzishwe na watu wapelekewe maji. Naam, sasa hivi tunaona maji yakisambazwa kutokea Victoria kwenda Shinyanga na Tabora kwa ubabe wa Kikwete.

Halafu kuna watu wanajidai "oooh Kikwete kafanya nini?", waulizeni wanaopata maji ya Victoria sasa hivi Kikwete kafanya nini.
Hapa unatudanganya alievuta maji ni Mkapa,Lowasa akiwa waziri wa maji
 
Back
Top Bottom