Ni Jinja, UgandaNilitazama kipindi cha TOP GEAR naona mwisho wanadai kuipata the 'true source ya mto Nile' kuwa iko Tanzania
kuna anaejua more kuhusu hili?
Top Gear (series 19) - Wikipedia, the free encyclopedia
Tena sio ziwa Victoria ni mto malagalasi then ukaingia Victoria ukaibukia huko ndo ukawa Nileulisoma shule gani mpaka usijue kuwa chanzo cha mto nile ni ziwa victoria