Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

Tatizo kubwaunaleta majibu mepesi...MTU kamsodoma mtoto....unatuambia habari za mtuhumiwa asiyeonekana???????
Tatizo hampendi kuchimbua mambo, ndiyo maana kuna kipindi waumini waliuziwa misamaha ya dhambi ili kusimamisha project za Vatican. Kuuwawa kwa wanasayansi mashughuri kwasababu tu dini ilikuwa ikilisha watu ujinga ili project ziendelee. Je mesaya hakulisha maskini na kuhudumia wagonjwa? Cjawahi kuona mahari mesaya anakusanya sada. Maana anajua mungu ni tajiri.
 
Roman Catholic hawajahalalisha, lakini wamebobea mapadre katika mchezo huu
mimi sio mkatoliki, lakini sidhani kama mapadre wanawazidi mashehe katika hili. madrassa huko watoto wanamalizwa. kitu pekee ambacho naweza kuhisi juu ya mapadre ni uhusiano wao na masister na wahudumu wengine wa kanisa, na kwamba wana watoto wengi tu mtaani huko na wanawalea kisiri.
 
Dig deeper, dini inabeba sehemu kubwa ya utamaduni, na watu waliosambaza dini walifanikiwa kisambaza utamaduni wao kwa kitumia walimu waliotumwa na mungu kueneza upendo. Lakini badala yake opportunist wakaona nafasi ya slogani ya divide and rule. Region is not after God religion is after power. Mungu angelikuwa na dini hakika angegawa pumnzi kwa watu wa dini yake tu kama wafanyavyo wanadamu wengi.
Bado kaka
Fikra yako haijatoa maana sahihi
 
Dini ni mfumo kamili wa maisha ya Binaadam
na mfumo huu,alieupanga na kuuchagua ni yule Muumba mbingu na ardhi,ambae ndie aliemuumba mwanadam
 
Alileta Mitume wake na Manabii
akateremsha na vitabu

Mitume,wakawa ni walimu bora katika kumfundisha huyu mwanaadam yale yote yanayopatikana katika Vitabu
 
wakaweka mfumo wa kuishi
kuanzia upendo wa kweli

mpaka katika ngazi ya Ibada
ni Ibada ipi sahihi na ipi si sahihi
 
Mapenzi ya jinsia moja umeanza muda mrefu sana tangu karne ya 8. Bahati nzuri kipindi hiki hakukuwa na media kama sasa. Ni kipindi ambacho biashara ya utumwa ilishamiri sana.

Wanaume ndio walikuwa wanahitajika zaidi kuliko wanawake. Hivyo basi kutokana na kusafiri muda mrefu kwenye majahazi, historia iliyofichwa inaeleza wale MABWANA walikuwa wanawafanyia vibaya kinyume na maumbile wale watumwa.

Unabisha? Hii ilitokana na kukaa muda mrefu njiani, chakula kikuu kilikuwa biriani ambayo ina mafuta mengi sana. Biriani ilipunguza gharama sana muda mwingi watumwa waliishia kunywa maji...

Back to topic: Fuatilia maeneo mengi ambayo wamepita wale MABWANA na kukaa muda mrefu kuna haya mambo sana..
Huo utafiti haupo sahihi.
 
Waarabu ndo nasikia walikuwa Washenzi Kweli Kweli, yaani hao jamaa nasikia walikuwa ni Nyoko sana.
 
Nenda Zanzibar unguja-jang'ombe utapata majawabu....wanzanzibar wengi wenye uwezo watoto wao wasoma bara ukipotea stepu tu anakuwa shoga..
Inawezekana maana hapa dar wapo mashoga wengi tu na wametoka mikoani sio pwani na kule znz wapo wengi pia mjini na vijiji vyenye mahoteli ya kitalii...nungwi.kiwengwa nk
Kuna mashoga mpaka wa kimasai na wametokea bara sijui inakuaje hii??
 
Back
Top Bottom